Mwanzo


Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Kiarabu: شهر رمضان المبارك) ni mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiislamu ya Hijiria ambapo ndani yake Waislamu wamefaradhishiwa funga ya swaumu. Katika hadithi zimeelezwa fadhila mbalimbali za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwezi huu umetajwa kuwa ni mwezi wa kualikwa (kuwa katika ugeni) na Mwenyezi Mungu, mwezi wa rehema, maghufira, Baraka na machipuo ya Qur’ani. Kwa mujibu wa hadithi, katika mwezi huu milango ya mbinguni na ya peponi hufunguliwa huku milango ya motoni ikifungwa. Usiku wa cheo kitukufu ambapo Qur’ani ilishushwa ndani ya usiku huo, unapatikana katika mwezi huu. Baadhi ya vitabu vingine vya mbinguni kama Taurati na Injili pia vilishushwa ndani ya mwezi huu mtukufu. Ramadhani ndio mwezi pekee ambao jina lake limetajwa ndani ya Qur’ani.
Makala mengine yaliyoangaziwa: Muhammad bin Othman bin Said Amri – Mnafiki – Dua Makarim al-Akhlaq


- ... Kifo cha Fatima Zahra, binti ya Mtume (s.a.w.w) ni miongoni mwa vifo vilivyo na utata zaidi katika Uislamu na hata kaburi lake halijulikani lilipo?
- ... Kitendo cha kusengenya kimefananishwa na mtu kula nyama ya nduguye aliyekufa?
- ... Ramadhani, ndio mwezi pekee jina lake limekuja katika Qur'an?
- ... Aya ya 7 ya Surat al-Bayyinah ni miongoni mwa Aya ambazo zilizoteremka kuelezea fadhila na ubora wa Ali bin Abi Talib (a.s)?
- ... Shia ndio madhehebu inayoamini na kuitikadi kuwa Khalifa au Kiongozi baada ya Mtume (s.a.w.w) anapaswa kuchaguliwa na M.mungu kisha kuainishwa na Mtume?


- Jeshi la Omar bin Sa’d « Ni jeshi lililokuwa limekusanywa na Omar bin Sa’d kwa amri ya Ubaidullah ibn Ziyad na katika siku ya Ashura lilipigana na Imamu Hussein (a.s) na maswahaba zake katika jangwa la Karbala.»
- Mukhtar ibnu Abi Ubaid al-Thaqafi «Ni miongoni mwa tabiina (waliokutana na masahaba wa Mtume) ambaye alianzisha harakati na mapinduzi kwa ajili ya kulipiza kisasi cha damu ya Imamu Hussein (a.s).»
- Harakati za Imamu Hussein (a.s) «Ni harakati za Imamu Hussein (a.s) dhidi ya utawala wa Yazid bin Muawiya ili kuonesha upinzani wake dhidi ya utawala huo. »
- Imamu Hussein (a.s) «Ni Imamu wa tatu miongoni mwa Maimamu wa Kishia, alizaliwa mwaka wa 4 Hijiria na kuuwawa kishahidi mwaka wa 61 Hijiria katika tukio la Karbala. »
- Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s) «Ni mtoto wa tano wa Imamu Ali (a.s) na mtoto wa kwanza wa Ummul-Banina, ambaye alizaliwa mwaka wa 26 na kuuwawa kishahidi na jeshi la Yazid bin Muawiya mwaka wa 61 Hijiria.»
- Kizito kikubwa «Ni sifa ambayo aliitumia Mtume (s.a.w.w) kuielezea na kuitambulisha Qur'an Tukufu katika hadithi ya Vitizo viwili (Hadith al-Thaqalain).»
- Kizito kidogo «sifa ya kizazi cha Mtume (s.a.w.w) katika hadithi ya vizito viwili (Athaqalaini).»
- Akhera «Ni ulimwengu baada ya kifo na mauti na ni ulimwengu ujao baada ya maisha ya dunia.»
- Ulul-amri «Ina maana ya wenye mamlaka, na hao wenye mamlaka ni watu ambao ni wajibu kuwatii kwa msingi wa Aya ya Ulul-Amr. Istilahi hii imekuja na kuelezwa ndani ya aya ya 59 ya surat al-Nisaa.»
- Kafara ya swaumu «Ni adhabu ambayo huwekwa kutokana na kubatilisha na kuharibu funga ya mwezi wa Ramadhan, funga ya nadhiri ya muda maalumu na pia kadhwaa au malipo ya funga ya mwezi wa Ramadhani.»
- Safari ya Kisheria «Ni safari ambayo ndani yake msafiri analazimika kusali sala zake kwa kupunguza (Sala za rakaa nne azisali rakaa mbili) na hapaswi kufunga Swaumu.»
- Aya ya Kumswalia Mtume (s.a.w.w) «Ni Aya ya 56 ya surat al-Ahzab, ambayo inaashiria kwamba, Mwenyezi Mungu na Malaika wanamsalia Mtume (s.a.w.w) na inawataka waumini pia wamsalie Mtume.»




- Shahada ya Tatu katika Adhani na Iqama
- Mauaji yanayotokana na huruma
- Dhima za Kisheria
- Saumu ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani
- Wajibu wa Kumshukuru Mneemeshaji
- Siyanati Maashita, Mke wa Hazkili
- Sheikh Naim Qasim
- Mhimili wa Muqawama
- Kumait bin Zaid al-Asadi
- Israeli
- Hadithi ya "رفع القلم" (Rufu'a Al-Qalamu)
- Hadithi ya Khasifu an-Na'al
- Dua ya Arobaini na Moja ya Sahifa Sajjadiyya
- Aya ya Harithu
- Muhaddatha
- Tahniki kwa mtoto mchanga
- Barua ya Imam Ali (a.s) kwa Ash'ath ibnu Qais
- Barua ya Imam Ali kwa Sahl bin Hunaif
- Barua ya Imamu Ali (a.s) kwa Shuraih
- Barua ya Imamu Hussein (a.s) kwa Wakuu wa Basra