Nenda kwa yaliyomo

Template Free:Mahdawiyya

Kutoka wikishia

Mahdawiyya (Umahdi), ni itikadi inayomini kudhihiri kwa Muslih (mleta mageuzi) kutoka kwa Watu wa Nyumba ya MtumeKigezo:S.a.w.w katika Mwisho wa Dunia, na kwamba atajaza ulimwengu usawa na uadilifu, na atadhihiri ili kusimamisha dini ya Mwenyezi Mungu na kueneza haki. Suala la Umaahdi ni miongoni mwa masuala ya msingi katika Uislamu, ambapo si jambo la kipekee kwa Mashia, bali Madhehebu ya Kiislamu yote yanakubaliana kwamba Mahdi (Mwenyezi Mungu aharakishe faraja yake) anatokana na kizazi kitukufu na kitoharifu cha Mtume wa Mwenyezi MunguKigezo:S.a.w.w. Mashia wakati mwingine humwita kwa jina la Mkombozi Aliyeahidiwa, na wakati mwingine Qaimu Aali Muhammad (Msimamaji kutoka Kizazi cha Muhammad),[1] Mashia na Waislamu kwa jumla wanaamini hivyo wakitegemea idadi kubwa ya riwaya zinazothibitisha itikadi hii. Miongoni mwa Hadithi kuhusiana na imani hii, ni ile iliyopokewa kutoka kwa MtumeKigezo:S.a.w.w ismayo kwamba: «Yeye (Mahdi) ni mtu anayetokana nami, jina lake ni kama jina langu, Mwenyezi Mungu atamhifadhi kupitia mimi, atafanya kazi kwa mujibu wa Sunna zangu, na ataijaza ardhi usawa, uadilifu, na nuru baada ya kuwa imejaa dhuluma, uonevu, na uovu.»[2] Kutokana na hili, Waislamu wameendelea kumsubiri Muslih huyu tangu kuondoka kwa Mtume MtukufuKigezo:S.a.w.w hadi leo hii.

Maudhui Yanayohusiana na Umaahdi

Anwani ya Mahdawiyya inajumuisha maudhui yafuatayo:

Kigezo:Div col end

Tanbihi

  1. ↑ Al-Sadr, Tarikh al-Ghaiba, j. 3, uk. 135.
  2. ↑ Al-Saduq, Ilal al-Sharai'i, j. 1, uk. 361.

Vyanzo na Rejea

  • Al-Sadr, Muhammad Muhammad Sadiq, Tarikh al-Ghaibah, Beirut, Dar al-Taaruf, 1412 Hijria.
  • Al-Saduq, Muhammad bin Ali, Ilal al-Shara'i, Najaf, Maktaba al-Haidariyya, 1385 Hijria / 1966 Miladia.

Kigezo:Theolojia ya Kiislamu


Kigezo:Kiolezo:Mahdawiyya Kigezo:Imamu Mahdi (a.f) Kigezo:Ismailiyya