Kumbukumbu zote zilizo wazi
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za wikishia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 19:49, 19 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Hubbu al watan mina al imamu kitabu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hubbu Al-Watan Mina Al-Imaan Kiarabu حب الوطن من الایمان"''', yaani '''"Kupenda nchi ni sehemu ya imani.”''' Ni msemo maarufu unaohusishwa na maneno ya Mtume Muhammad (s.a.w.w). Hata hivyo, kwa mujibu wa watafiti mbali mbali kama Ayatullahi Makarim Shirazi, msemo huu haupatikani katika vyanzo asili vya Hadithi vya upande wa madhehebu yaShia, pia baadhi ya wanazuoni wameuhisabu msemo huu kuwa ni wa kutungwa na wala hauhusiani na kau...') Tag: KihaririOneshi
- 16:40, 16 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Niaba katika Hija (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Niaba katika Hija''': Ni dhana inayojulikana pia kwa jina la Hija ya niaba, nayo ni tendo la kutekeleza ibada ya Hija kwa niaba ya mtu mwingine. Kwa kufanikisha ibada hii kwa njia ahihi na kwa kufuata masharti yake maalumu ya kidini, wajibu wa amali ya Hija huondolewa kutoka kwa mtu anayefanyiwa ibada hiyo kwa njia ya niaba. Katika muktadha wa amali ya Hija ya farḍhi (siyo umra), yaruhusiawa mtu fulani kutekeleza Hija ya mtu mwengina kwa niaba yake,...') Tag: KihaririOneshi
- 16:39, 16 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Dhana ya Kuharakisha Faraja (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dhana ya Kuharakisha Faraja (تَعجیل الفَرَج): Ni dhana yenye lengo la kutatua changamoto na kusubiri tukio la kudhihiri kwa Imamu Mahdi (a.f).''' Dhana hii ya ''Ta'ajil al-Faraj'' '''(تَعجیل الفَرَج)''' -yenye maana ya kuharakisha faraja- kiuhalisia katika teolojia ya Kiimamu (madhehebu ya Shia Ithna Asharia), huwa inahusishwa na dhana ya kusubiri tukio la kudhihiri kwa Imamu Mahdi (a.f). [1] Kwa mujibu wa maelezo ya mwanazuoni...') Tag: KihaririOneshi
- 16:38, 16 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kuzungumza kwa Nabii Isa (a.s) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuzungumza kwa Nabii Isa akiwa katika maisha ya utotoni''': Suala la Nabii Isa kutamka na kuzungumza hali akiwa ni mtoto mchanga, ni moja ya mambo ya ajabu yanayokaribiana na hali ya miujiza. Tukio la Nabii wa Mwenyezi Mungu Isa (a.s) kuzungumza na watu hali akiwa ni mtoto mchanga, lilitendeka kwa ajili ya kumtetea mama yake (Bibi Maryam) (a.s) kutokana na tuhuma za uasherati. Katika tukio hli Nabii Isa (a.s) alionekena kumtetea mama yake, jambo lilifan...') Tag: KihaririOneshi
- 20:16, 12 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Ummu Ayman (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Umm Ayman''' ni mmoja wa Maswahaba wa Mtume (saww) na mama yake Usama bin Zayd, ambaye Mtume Muhammad (SAW) alimtambulisha kama mmoja wa wanawake wa peponi. Baada ya kifo cha Mtume (saww.), alikuwa pamoja na Imam Ali (a.s.) kwenda kwa Abu Bakar kwa ajili ya kuidai kurejeshwa Fadak na alitoa ushahidi kwamba Mtume (saww) alimpa Fatima Zahra (as) Fadak. Ummu Ayman alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kusilimu na kuingia katika Uislamu. Pia alikuwepo katika vit...') Tag: KihaririOneshi
- 14:41, 12 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Barua ya Imamu Ali (as) Kwa Malik Ashtar (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Barua ya Imam Ali (as) kwa Malik Ashtar''' ndiyo barua kubwa na yenye maelezo mengi zaidi ya Nahaj al-Balagha kuhusu suala la utawala na siasa au sera za kusimamia na kujongoza jamii. Katika barua hii kumebainishwa, kanuni, misingi, mbinu, sera na maadili ya usimamizi, utawala na uongozi. Uzingatiaji wa hali ya juu kwa tabaka lisilojiweza kimahitaji, haja ya kuainisha muda kwa ajili ya kukutana na watu, kuchagua washauri imara na wenye busara na kuzuia...') Tag: KihaririOneshi
- 10:50, 10 Disemba 2024 Bendera majadiliano michango created page Barua ya Imamu Ali (as) Kwa Imamu Hassan (as) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Barua ya Imam Ali (as) kwa Imam Hassan' (as)'' ni barua yenye maudhui ya masuala ya kimaadili ambayo Imam Ali (a.s.) alimwandikia mwanawe Imam Hassan (a.s.) baada ya vita vya Siffin. Barua hii imetathminiwa kuwa ya kina katika kueleza masuala ya kimalezi. Baadhi ya masuala muhimu yaliyozungumziwa katika barua hii ni: Kuelezea hatua za kujijenga na kujiboresha binafsi na thamani za kimaadili, maadili ya kijamii, kulea mtoto na njia yake ya malezi, udhar...') Tag: Visual edit: Switched
- 17:47, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutub al-Arba’ (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:47, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutub al-Arba' (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:45, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Vitabu vinne tegemezi (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:43, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kurubu Arbaa (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:43, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutub Arbaa (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:42, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutubu al-ar'baa (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:42, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutub al-Ar'baa (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:41, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kutubu al-Arbaa (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 17:33, 9 Disemba 2024 Rezvani majadiliano michango alihamisha ukurasa wa Aqilah Banī Hāshim hadi Aqilah Banī Hāshim (Lakabu)
- 17:29, 9 Disemba 2024 Rezvani majadiliano michango alihamisha ukurasa wa Lakabu ya Ruhullahi hadi Ruhullahi (Lakabu)
- 17:17, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Vitabu vinne (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)) Tag: New redirect
- 16:36, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Nadharia ya Uadilifu wa sahaba (Ukurasa umeelekezwa kwenda Uadifu wa Masahaba) Tag: New redirect
- 16:35, 9 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Nadharia ya uadilifu wa masahaba (Ukurasa umeelekezwa kwenda Uadifu wa Masahaba) Tag: New redirect
- 14:32, 8 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya kiislamu (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Kiislamu) Tag: New redirect
- 14:31, 8 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Kiislamu (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Kiislamu) Tag: New redirect
- 21:24, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kufariki Mtume Muhammad (s.a.w.w) (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kifo cha Mtume (s.a.w.w)) Tag: New redirect
- 20:51, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kashfu al-Murad (Ukurasa umeelekezwa kwenda Kashf al-Murad fi Sharh Tajrid al-I’tiqad (kitabu)) Tag: New redirect
- 20:49, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Tajrid al-I’tiqad (Ukurasa umeelekezwa kwenda Tajrid al-I'tiqad (Kitabu)) Tag: New redirect
- 20:48, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Kitabu Tajrid al-Itiqad (Ukurasa umeelekezwa kwenda Tajrid al-I’tiqad) Tag: New redirect
- 20:43, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Nasir Dini Tusi (Ukurasa umeelekezwa kwenda Khaaje Nasiru al-Din al-Tusi) Tag: New redirect
- 20:42, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Khawaja Nasir al-Din Tusi (Ukurasa umeelekezwa kwenda Khaaje Nasiru al-Din al-Tusi) Tag: New redirect
- 20:42, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Khawaja Nasir Dini Tusi (Ukurasa umeelekezwa kwenda Khaaje Nasiru al-Din al-Tusi) Tag: New redirect
- 20:41, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Khwaja Nasir al-Din Tusi (Ukurasa umeelekezwa kwenda Khaaje Nasiru al-Din al-Tusi) Tag: New redirect
- 20:33, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Ubaya na uzuri wa matendo (Ukurasa umeelekezwa kwenda Uzuri na Ubaya) Tag: New redirect
- 20:32, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Uzuri na Ubaya wa Matendo (Ukurasa umeelekezwa kwenda Uzuri na Ubaya) Tag: New redirect
- 20:25, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Shia Ithnaashariyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:24, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Teolojia ya Shia Ithnaashariyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:24, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Shia (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:23, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Teolojia ya Shia (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:22, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Teolojia ya Shia Imamiyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:22, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Imamiyya (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:21, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Shia Imamiyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:20, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Theolojia ya Imamiyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:20, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Teolojia ya Imamiyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 20:19, 7 Disemba 2024 TawakkalMS8 majadiliano michango created page Teologia ya Shia Imamiyyah (Ukurasa umeelekezwa kwenda Teolojia ya Shia Imamiyya) Tag: New redirect
- 16:42, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Sudair al-Sairafi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sudair al-Sairafi: (Msimulizi Mashuhuri wa Kishia)''': Sudair al-Sairafi anajulikana kama ni mmoja wa wasimulizi maarufu wa Hadithi wa Kishia na ni miongoni mwa masahaba wa karibu wa Imamu al-Baqir na Imamu al-Sadiq (a.s). Familia yake pia ilikuwa na mchango mkubwa katika nyanja ya usimulizi wa Hadithi, kwani baba na watoto wake walikuwa ni miongoni mwa wasimulizi mashuhuri wa Hadithi na ni miongoni mwa Mashia. Takriban kuna kiasi cha Hadithi tisini zin...') Tag: KihaririOneshi
- 16:40, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Mdhaifu wa kifikra (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mdhaifu wa kifikra “Mustadh'af Fikriyyun / مُستَضعَف فکری"''': Ni yule mtu mwenye uwezo dhaufu wa kifikra ambaye hana uwezo wa kiakili wa kutambua au kutofautisha kati ya haki na batili au hakupata fursa na wala hakuwa na uwezo wa kufikiwa na ujumbe wa dini ya Kiislamu. Hata hivyo, '''“Mustadh'af Fikriyyun / مُستَضعَف فکری"''' anayekusudiwa katika ibara hii, ni yule mtu ambaye kama Uislamu ungelimfikia basi asingekewa na pi...') Tag: KihaririOneshi
- 16:39, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Lakabu ya Ruhullahi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lakabu ya Ruhullahi Kiarabu''' “'''''روح الله'''''” ( '''Roho ya Mungu'''): Katika mila za Kiislamu na Kishia ''"Roho ya Mungu"'' ('''''روح الله'''''), ni jina litumikalo kama lakabuni moja maalumu kuhusiana na Nabii Isa (a.s). Lakabu hii imetajwa wazi katika Hadithi mbali mbali, pia inapatikana katika vitabu kadhaa vinavyozungumzia ziara (sala na salamu) zisomwazo kwa ajili ya watukufu fulani. [1] Miongoni mwa ibara zilizobeba j...') Tag: KihaririOneshi
- 16:38, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli''': Tukio la kuvuka bahari kwa Wana wa Israeli lilikuwa ni miongoni mwa matukio muhimu na ni muujiza wa kipekee uliowakomboa kutoka katika mateso yaliyokuwa yakiwasulubu walipokuwa nchini Misri. Tukio hili lilijumuisha kupasuka kwa bahari na kuruhusu Wana wa Israeli kuvuka salama, huku Firauna na majeshi yake wakizama katika maji bila ya kupata mwokozi. Kwa mujibu wa amri ya Mwenye Ezi Mungu, Nabii Musa (a.s) aliwaongo...') Tag: KihaririOneshi
- 16:37, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Maisha ya amani ya pamoja (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Maisha ya amani ya pamoja''': ni dhana inayobeba umuhimu wa kuishi kwa maelewano na mshikamano miongoni mwa watu wa imani, itikadi, na tamaduni tofauti. Dhana hii katika Uislamu, inahisabiwa kuwa ni moja ya msingi bora ya jamii na ndio lengo la juu kabisa la maisha ya kijamii. Dini ya Kiislamu inahimiza kuheshimu haki za walio wachache kidini, pia inawataka Waislamu kushirikiana nao kwa misingi ya heshima na uadilifu. Mafundisho ya Kiislamu yanasisitiza...') Tag: KihaririOneshi
- 16:33, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Ujirani mwema (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''ujirani mwema, unaojulikana kama''' "'''''حسن الجوار'''''": ni ndharia ilioko katika maandiko ya kiislamu, inayosisitiza tabia njema kwa majirani. aya ya 36 ya '''suratu an-nisa''', inatutaka tuwatendee wema majirani zetu. Pia tukirejea kwenye hadithi mbali mbali, tutakuta maelezo kadhaa yenye kusisitiza juu ya kuwatendea wema majirani na kutowafanyia ubaya majirani zetu. hadithi ambazo zinatutaka kuchunga heshima za jirani ni kama vile tuchu...') Tag: KihaririOneshi
- 16:31, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Asma bin Khaarjah al-Fazari (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Asma bin Khaarjah al-Fazari''' (aliyefariki mwaka wa 82 Hijria) alikuwa kiongozi mashuhuri na aliyekuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa katika mji wa Kufa, hasa katika kipindi cha matukio yaliyopelekea maafa ya tukio la Karbala. Asma alishiriki katika vita vya Siffin akiwa katika jeshi la Imam Ali (a.s). Hata hivyo, baada ya vita hivyo, alihamia Kufa na kuwa karibu na watawala wa Bani Umayya, akihudumu mara kwa mara katika mji mkuu wa utawala wao. Asma p...') Tag: KihaririOneshi
- 16:31, 7 Disemba 2024 Saasamar majadiliano michango created page Aqilah Banī Hāshim (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Aqilah Banī Hāshim''': Jina la '''Aqilah Banī Hāshim''', ni jina maalumu alilopewa Bibi Zainab (a.s.), ambaye ni binti wa Imam Ali (a.s). Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiarabu iitwayo Lisān al-‘Arab, ni kwamba; Pale jina au neno "‘'''''Aqilah'''''," linapohusishwa na mmoja wa watu wa kabila au kundi fulani, huwa na maana ya '''mkuu wa kabila'''. [1] Baadhi ya wanazuoni, akiwemo Ayatollahi Jawadi Amuli, wamesema kuwa; pale jina hili linapotumika...') Tag: KihaririOneshi