Michango ya mtumiaji Bendera

A user with 531 edits. Account created on 13 Juni 2023.
Tafuta michangoTanuaKunja
⧼contribs-top⧽
⧼contribs-date⧽
(mpya | zamani) Tazama (50 ya karibu zaidi | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

9 Machi 2024

4 Machi 2024

28 Fubuari 2024

27 Fubuari 2024

19 Fubuari 2024

17 Fubuari 2024

  • 14:1614:16, 17 Fubuari 2024 tofauti hist +6,695 P Samaki mwenye magambaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na wasifu kuhusu mafuhumu na maana ya kifikihi na hivyo haiwezi kuwa kigezo cha amali na matendo ya kidini. Kwa ajili ya amali za kidini, rejea katika vyanzo vingine. '''Samaki mwenye magamba''' ni samaki ambaye ni halali kuliwa. Katika fikihi ya Kishia, samaki kuwa na magamba ni kigezo cha kuwa kwake halali. Baadhi ya wanazuoni wa fikihi wanaitambua hukumu hii kuwa ni mahususi na maalumu kwa Waislamu wa Shia Imamiyah. Katika hadithi...'

15 Fubuari 2024

  • 13:0713:07, 15 Fubuari 2024 tofauti hist +4,351 P Kuishi kinyumbaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kuishi kinyumba (White Marriage au Cohabitation)''' ni aina ya mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanaume na mwanamke ambayo yako nje ya misingi na sheria za ndoa. Katika utamaduni wa Kiarabu aina hii ya mahusiano inafahamika kwa jina la “kuwa pamoja”. Kwa mujibu wa wanazuoni wa fikihi wa Kishia aina hii ya mahusiano ni haramu na kisheria haihesabiwi kuwa ni ndoa; kwani hayajatimiza masharti ya lazima ya ndoa kama kusomwa tamko la kufunga ndoa na pand...' Tag: Visual edit: Switched
  • 12:3012:30, 15 Fubuari 2024 tofauti hist +25 SariyyaNo edit summary Tag: KihaririOneshi
  • 12:2812:28, 15 Fubuari 2024 tofauti hist +7,223 P SariyyaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala hii inahusiana na vita ambavyo Mtume (s.a.w.w) hakushiriki. Kwa maana kwamba, vita ambavyo Mtume hakushiriki vinajulikana kwa jina la Sariyya. Ili kujua kuhusiana na vita vyote vya Mtume angalia makala ya vita vya Mtume (s.a.w.w). Sariyya au Ba’ath ni vita vilivyopiganwa na Waislamu katika zama za uhai wa Bwana Mtume (s.a.w.w) bila ya Mtume kushiriki katika vita hivyo. Bali vilipiganwa kwa uongozi na ukamanda wa mmoja wa masahaba wa Mtume (s.a.w....' Tag: Visual edit: Switched
  • 12:0712:07, 15 Fubuari 2024 tofauti hist −2 d Ndoa ya Imamu Mahdi (a.f)Masahihisho aliyefanya TawakkalMS8 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rezvani ya kisasa Tag: Rollback

12 Fubuari 2024

8 Fubuari 2024

7 Fubuari 2024

4 Fubuari 2024

(mpya | zamani) Tazama (50 ya karibu zaidi | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)