Michango ya mtumiaji Saasamar

A user with 122 edits. Account created on 13 Juni 2023.
Tafuta michangoTanuaKunja
⧼contribs-top⧽
⧼contribs-date⧽
(mpya | zamani) Tazama (50 ya karibu zaidi | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

17 Machi 2024

  • 17:3117:31, 17 Machi 2024 tofauti hist +18,680 P Bismillahi al-Rahmani al-RahimUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Bismillahi بسم الله الرحمن الرحيم : ni Aya ya Qur’ani anayo patikana mwanzoni mwa kila Sura, isipokuwa Suratu al- Tawba tu. Kuna Riwaya kadhaa zinazo elezea sifa za Aya hii; kati ya sifa zake ni kule kuhesabiwa Aya hii kuwa ni moja ya Aya bora na kubwa zaidi zilizoko ndani ya Qur’ani Tukufu. Wanazuoni Waislamu wanaichukulia بسم الله الرحمن الرحيم kuwa ni moja ya maneno na mbiu muhimu zaidi katika Uislamu na wanapen...'
  • 17:3017:30, 17 Machi 2024 tofauti hist +9,903 P Haki za Wazazi WawiliUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Haki za wazazi wawili: Ni zile haki wanazostahiki kupewa baba na mama kutoka kwa watoto wao. Kuzingatia na kuchunga haki hizi kumetajwa kuwa ni miongoni mwa maagizo muhimu ya Mwenye Ezi Mungu, na kwamba baada ya haki ya Mwenye Ezi Mungu kwa waja wake, haki za wazazi ndiyo haki zinazo chhuchukuliwa nafasi ya pili juu ya shingo za watoto. Miongoni mwa haki za baba na mama kwa watoto wao zilizotajwa katika vyanzo vya kidini, ni; kuwafanyia hisani, kuwaheshimu...' ya kisasa

13 Machi 2024

  • 17:5417:54, 13 Machi 2024 tofauti hist +6,420 P Mazungumzo Kati ya Mungu na Nabi Musa (a.s)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' Mazungumzo Kati ya Mungu na Nabi Musa (a.s): ni yale mazungumzo yaliokuwa yakijiri baina ya Mwenye Ezi Mungu na Nabii Musa (a.s), ambayo yanasemekana kuwa yalifanyika moja kwa moja bila ya kupitia Malaika fulani au mfikishaji fulani wa ujummbe wa Mwenye Ezi Mungu. Suala hili la mazungumzo baina ya Mwenye Ezi Mungu na mja wake bila ya kutumika Malaika fulani, linahisabiwa kuwa ni sifa na hadhi maalumu kwa Nabi Musa peke yake. Suala hili limezungumzwa wazi...' ya kisasa
  • 15:5015:50, 13 Machi 2024 tofauti hist +12,190 P Lauhu Al-MahfudhiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Lauhu Al-Mahfudhi ( لوح المحفوظ): Ni mahali halisia pa Qurani, ambapo ndani yake kumeandikwa matukio yote ya ulimwengu, ambayo hayawezi kubadilika na kwenda kinyume na yaliomo ndani ya “Luhu al-Mahfudhi” hiyo. Kuielewa “Luhu al-Mahfudhi” ni muhimu katika kuelewa uhalisia wa Qurani. Hii ni kwa sababu ya kwamba; Kulingana na baadhi ya wafasiri, “Luhu al-Mahfudhi” ni kituo cha msingi kwa vitabu vyote vya mbinguni, ikiwa ni pamoja na Qur...' ya kisasa

12 Machi 2024

  • 14:0614:06, 12 Machi 2024 tofauti hist +7,618 P Al-Hassan wa Al-Hussein Sayyidaa Shabaabi Ahlu al-JannahUkurasa ulianzishwa kwa kuandika '“Al-Hassan wa Al-Hussein Sayyidaa Shabaabi Ahlu al-Jannah اَلْحَسَنُ و اَلْحُسَینُ سَیِّدَا شَبَابِ أَهْلِ الْجَنَّة” ni Hadithi ya bwana Mtume (s.a.w.w) kuhusiana na ubora na hadhi ya Imamu Hassan na Imamu Hussein (a.s) juu ya watu wa Peponi. Baadhi ya wanazuoni wa Kishia, waielewa na kuifasiri dhana ya Hadithi hii kwa maana ya kwamba; Maimamu wawili hawa pia ni bora zaidi kuliko watu wengine waliomo...' ya kisasa

11 Machi 2024

  • 16:1216:12, 11 Machi 2024 tofauti hist +16,410 P Ujauzito wa Bibi Mariamu (s.a)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ujauzito wa Bibi Mariamu (Bikira Maria) (s.a) ni muujiza uliotokea katika mazingi maalumu kabisa, ambapo Bibi Mariamu binti wa Imrani (s.a), alipata ujauzito bila kushiriki tendo la ndoa na mwanamme yeyote yule, na matokeo yake ikawa ni kuzaliwa kwa Nabii Isa (Yesu) (a.s). Tukio hili la ujauzito wa Bibi Mariamu (s.a), limeelezwa wazi kabisa katika Qurani na Injili huku kukiwa na hali fulani ya kufanana juu ya sifa za Bibi Mariamu (s.a) ndani ya riwaya ya v...'

10 Machi 2024

  • 14:2514:25, 10 Machi 2024 tofauti hist +5,994 P QiblaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Qibla Qibla ni mwelekeo unaotakiwa kuchungwa na kuelekewa wakati wa kufanya baadhi ya matendo ya kidini na hata baadhi ya matendo ya kawaida. Qibla kimejadiliwa katika sura na milango mbalimbali ya fiqh, kama vile mlango sala, dhabihu (vichinjwa), mazishi na hija. Kila dini ina qibla chake. Kwa Waislamu, qibla chao ni Kaaba ilioko Makka. Kwa Wayahudi ni Mwamba wa Hekalu la Mlima Moria (Beitul Muqaddas). Kwa Wakristo ni upande wa mashariki. Kwa mujibu wa fi...' ya kisasa

7 Machi 2024

  • 09:1209:12, 7 Machi 2024 tofauti hist +6,065 P ZaburiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Zaburi ni kitabu cha mbinguni kilichoteremshwa alicho teremshiwa nabii Daudi (a.s). Zaburi haikuja na amri na sheria mpya kutoka kwa Alla, ila ndani mna nasaha na mawaidha, dua, na maombi mbali mbali. Kulingana na aya za Qur’an, Nabii Daudi amefadhilishwa zaidi na kupandishwa daraja zaidi kuliko manabii wengine kutokana na Zaburi aliyo teremshiwa na Mola wake. Kulingana na baadhi ya Hadithi, Zaburi ni moja ya amana na hazina za Maimamu ambayo ndani yake...'
  • 09:1109:11, 7 Machi 2024 tofauti hist +7,283 P Sirdabu takatifuUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sirdabu takatifu au Sardabu ya Ghaiba ilioko chini ya nyumba ya Imamu Hasan Askari (a.s), iko kaskazini magharibi mwa Haramu ya Askariyyaini huko Samarra. Utakatifu wa mahali hapa unaoaminiwa na Mashia, unatokana na ukweli wa kwamba; Eneo hilo lilikuwa ndio makazi ya Imamu Hadi (a.s), Imamu Askari (a.s), na Imamu wa Zama (Mahdi) (a.f). Baadhi ya waandishi wa Sunni wanawatuhumu Mashia kwa kuamini kwamba; Sirdabu ya Ghaiba ndio mahali anapoishi Imamu Mahdi...'
  • 09:0909:09, 7 Machi 2024 tofauti hist +4,582 P Ibara ya Kun FayakunUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ibara isemayo: “Kun Fayakun کُنْ فَیَکونُ” inamaanisha kauli ya amri ya kukiamrisha kitu fulani kwa kiambia: “Kuwa! Nacho kikawepo”. Ibara iirejelea matakwa ya Mwene Ezi Mungu katika uumbaji wake wa vitu mbali mbali kwa mapenzi Yake. Kauli hii imetajwa mara kadhaa katika Quran, hadithi, na mashairi ya Kifarsi. Wafasiri wa madhehebu ya Imamiyyah (Shia Ithnaashariyyah) wanaijengea kauli hii taswira ya kwamba; Matakw ya Mwenye Ezi Mungu,...'
  • 09:0809:08, 7 Machi 2024 tofauti hist +8,588 P Aya ya Sa’ala SaailunUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya “Sa’al Sa’ilun سَأَلَ سائِل”au Aya ya “Adhabun waaqiun عذاب واقع”: Ni jina maarufu za Aya mbili za mwanzoni mwa za Suratu al-Ma’arij. Kiuhalisia Aya hizi zinahusiana na ombi la kushuka kwa adhabu kutoka kwa Mungu lililo ombwa na mtu mmoja ambaye asiye amini Mungu. Kulingana na maelezo ya wafasiri; Baada ya mtu huyu kuomba ombi hilo, Mwenye Mungu alismhushai jiwe juu ya kichwa kutoka mbinguni na kumuua papo hapo. Wafa...'
  • 09:0609:06, 7 Machi 2024 tofauti hist +7,271 P Aya ya AnfaluUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya Anfalu: Ni Aya ya Kwanza ya Suratu al-Anfalu. Aya hii kiuhalisia inakusudia kutoa tangazo la wazi ya kwamba; Mwenye Ezi Mungu na Mtume wake (s.a.w.w) ndio wamiliki wenye haki kamili juu ya mali zote zisizomilikiwa na watu fulani ikiwemo ngawira zinazokusanywa kutoka vitani. Mwanazuoni maarufu aitwaye Tabatabai pamoja na Makarim Shirazi, wote waili wakiwa ni wafasiri wa Qur’ani, wameihisabu mali ya ngawira kuwa ni miongoni mwa mali za anfali. Ila...'
  • 09:0509:05, 7 Machi 2024 tofauti hist +7,889 P Aya ya Amman YujiibuUkurasa ulianzishwa kwa kuandika ' Aya ya “Amman Yujiibu آیه اَمَّن یُّجیب”: Ni kifungu cha Aya ya 62 ya Suratu An-Naml kinacho eleza ya kwamba; Mwenye Ezi Mungu ndiye msikivu pekee wa maombi anayetatua matatizo ya binadamu. Ibara ya Aya hiyo ni kama ifuatavyo: “اَمَّن یُّجیبُ المُضطَرَّ اِذا دَعاهُ وَ یَکشِفُ السُّوءَ؛” “Je, yupo yule anayejibu kilio cha mwenye dhiki anapomwomba na kuyaondoa maovu; au kwa lugha...'
  • 09:0409:04, 7 Machi 2024 tofauti hist +5,556 P Aya ya FitraUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya Fitra ambayo ni Aya 30 ya Suratu al-Ruum: Inaonyesha wazi ya kwamba mwanadamu ana asili ya kiroho ni maumbile ya kufungama na dini. Kulingana na maoni ya wafasiri wa dini ya Kiislamu, ni kwamba; dini ya Kiislamu ni dini imefumwa kwa mfumo wa shria ziendazo sawa na matqwa ya fitra (dhati na asili) ya mwanadamu. Katika kitabu cha majma’u al-Bayani, neno “hanifa” lililotumika katika Aya hiyo limefasiriwa likiwa na maana ya kuwa imara katika dini...'
  • 09:0109:01, 7 Machi 2024 tofauti hist +51,170 P UghulatiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ughulati “غُلُوّ”: Ni kule muumini kuwa na imani za kupindikia mipaka na kutoka nje ya uwiano wa mizani ya dini, ambapo muumini huwa na imani za zisizo za wastani kuhusiana na haki za Manabii na Maimamu. Kuwa na msimamo wa kupindukia mipaka (Ughulati) ni miongoni mwa nyenendo potovu za dini ambazo pia zlikuwepo mara kwa mara katika historia ya mwanadamu. Baadhi ya mifano ya msimamo kupindukia mipaka (Ughulati) ni pamoja na: kuamini kuwa Nabii au...' ya kisasa
  • 08:5908:59, 7 Machi 2024 tofauti hist +23,388 P ShufaaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Shufaa شفاعة‏ (Uombezi) ni mojawapo ya imani za pamoja kati ya Waislamu. Maana ya shufa ni kuomba msamaha kwa niaba ya watu wengine mbele ya Mwenye Ezi Mungu, yaani kwa lungha nyengine ni kuwaombea wengine msahaha mbele ya Allah. Hata hivyo, kuna tofauti za maoni miongoni mwa wanazuoni wa Kiislamu kuhusiana na maana halisi ya dhana ya shufaa na mipaka yake. Madhehebu ya Imamiyah, Murji'ah na Ash'ari yanaamini kuwa; Shufaa pia huunajumuisha watu wal...' ya kisasa
  • 08:5808:58, 7 Machi 2024 tofauti hist +21,969 P MaghulatiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Maghulati “غُلات” ni watu wanaompa Imamu Ali (a.s) na wanawe sifa za kiungu au za kinabii na kuzidisha au kutia chumvi katika wasifu wao. Vitabu vinavyochunguza madhehebu mbalimbali vinatafautiana katika kuorodhesha idadi ya madhehebu ya Maghulat; idadi ndogo kabisa iliorikodiwa kuhusiana nao tisa na idadi kubwa ikiwa ni mia moja. Baadhi ya madhehebu maarufu ya Maghulat yaliyotajwa katika vitabu hivyo ambayo yamenasibishwa na Shia ni pamoja na: Sa...' ya kisasa
  • 08:5508:55, 7 Machi 2024 tofauti hist +9,310 P Kadhmu al-ghaidhiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ibara ya Kadhmu al-ghaidhi کَظْمِ غَیْظْ: Inatoka katika lugha ya Kiarabu, ambayo humaanisha kuvumilia na kudhiti hasira, jambo ambalo ni mojawapo ya sifa bora za kimaadili katika Uislamu. Hadithi zinlihisabu jambo hili kuwa ni moja ya sababu zinazo pelekea mtu kuepukana na hasira pamoja na ghadhabu za Mwenye Ezi Mungu, na badala yake hupelekea mtu kuoppata radhi za Mola wake. Wanazuoni wa fani ya maadili wamejadili sifa hii chini kufungu kinac...'

6 Fubuari 2024

5 Fubuari 2024

  • 14:5814:58, 5 Fubuari 2024 tofauti hist +14,199 P MirathiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mirathi (urithi) ni mali au haki maalumu inayotolewa kwa warithi baada ya kifo cha mtu fulani ambaye wao wana husiana na kwa uhusiano maalumu wa kifamilia. Mali hii huwafikia wao baada ya wahusika wa maiti huyo kulipa haki na madeni ya marehemu. Warithi humilikishwa kisheria sehemu yao ya mirathi kulingana na tofauti zao katika daraja za mirathi. Mambo mawili kisheria (kifiqhi) ni lazima yazingatiwe katika sula la ugawaji wa mali ya urithi; la kwanza ni uk...'

4 Fubuari 2024

  • 14:3914:39, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +10,248 P Vita vya Imamu Ali (a.s) Nchini YemenUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sariyyah au safari ya kivita ya Imamu Ali (a.s) ya kuelekea nchini Yemen, ilikuwa ni jukumu lililotolewa na bwana Mtume (s.a.w.w) kwa Imamu Ali (a.s), kwa ajili ya kueneza Uislamu katika eneo hilo. Ripoti kadhaa zinasema kuwa; Imamu Ali (a.s) alifanya safari mbili au tatu kwenda nchini Yemen. Katika safari hizi, Imamu aliweza kulingania kabila za Hamdan na Madh-hij na kuzifanya zikubali kuingia katika Uislamu. Jambao ambalo lilikuwa ndio msingi wa kabila...'
  • 14:3814:38, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +10,371 P Hadithi ya Makarimu al-AkhlaqiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika '“إِنَّمَا بُعِثْتُ لِأُتَمِّمَ مَکَارِمَ الْأَخْلَاق،” “Inna maa bu’ith-tu liutammima makaarima al-akhlaaqi” (Hakika mimi nimetumwa kwa ajili ya kukamilisha maadili ya juu ya tabia njema): Ibara hii ni Hadithi itokayo kwa bwana Mtume (s.aw.w.), ambayo inafafanua kuwa; Malengo ya kutumwa kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kukamilisha tabia njema. Kulingana na Hadithi hii, bwana Mtume (s.a.w.w) amesema ya...'
  • 14:3514:35, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +14,403 P Aya ya Siqayatu al-HajjiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya Siqayatu al-Hajji ambayo ni Aya ya 19 ya Suratu al-Tawba: inatanguliza imani ya kumwamini Mwenye Ezi Mungu, Siku ya Hukumu (Kiama) na Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni amali bora zaidi kuliko kuwanywesha maji mahujaji na kushika funguo za Masjidi Al-Haram. Sababu za kuteremshwa kwa Aya hiyo zimetajwa kuwani, pale Abbas bin Abdu al-Muttalib alipojivunia kupokea mahujaji, na Shaiba bin Othman kujivunia kushika funguo za Al-Kaaba. Imamu Ali (...'
  • 14:3414:34, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +9,306 P Aya ya ShahidunUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya “Shahidun” ni Aya 17 Suratu Hud, nayo ni Aya inayohusina na uthibitisho wa kuthibitisha madai ya utume wa bwana Mtume (s.a.w.w) kupitia ushahidi wa Qur'ani, vitabu vitakatifu vilivyotangulia pamoja na waumini wenye imani ya kweli. Aya hii iliteremka ili kuimarisha imani ya Mtume (s.a.w.w) na kuthibitisha utume wake, baada ya washirikina kumtuhumu bwana Mtume (s.a.w.w) kwa kusema uwongo. Katika vyanzo vya Hadithi vya pande zote mbili za Shia na...'
  • 14:3214:32, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +7,347 P Aya ya Istirja’aUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya "Istirja’a": Ni Aya 156 ya Suratu al-Baqara ambayo inaashiria kurudi kwa watu mbele ya Mwenyezi Mungu. Aya hii inatajwa kuwa ni sunna iliyopendekezwa kusomwa wakati wa kufikwa na msiba na taabu fulani. Katika tafsiri za Kishia, kama vile “Tafsir Tibiani” na “Majma’a al-Bayani”, Aya hii imetajwa kuwa ni moja ya ishara mwanadamu kukiri utumwa na utiifu wake mbele ya Mwenye Ezi Mungu na kuamini Siku ya Kiyama. Ayatullahi Tabatabai katika ki...'
  • 14:3114:31, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +20,670 P Uimamu au UongoziUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Uimamu: Ni uongozi wa kidini na kidunia wa jamii ya Kiislamu na unaoshika na kuendeleza nafasi ilioachwa na Mtume (s.a.w.w) katika uongozi huo wa mambo ya kidini na kidunia. Mafundisho haya ya kushikamana na imani ya Uimamiu, ni sehemu ya imani ya Kiislamu ya madhehebu ya Kishia na ni moja ya tofauti kuu za imani kati ya Kishia na Sunni. Kuzingatia kwao umuhimu wa suala la Uimamu kumepelekea Waislamu hao wa madhehebu ya Shia kupewa jina la Imamiyyah. Hakun...'
  • 14:2914:29, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +9,441 P Kutendea Wema Wazazi WawiliUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kutendea wema wazazi wawili: Humaanisha kuwaheshimu baba na mama, kuwatukuza na kutenda aina yeyote ile ya matendo ambayo kimantiki huhesabiwa kuwa ni kwao. Katika Qur'an, suala la kuwatendea wema wazazi walili linawekwa sambamba na amri ya kumwabudu Mwenye Ezi Mungu. Wafasiri wa Qur'an wamifasiri amri hii kwa kuhusisha na aina zote za wazazi, iwe ni makafiri au Waislamu, na iwe ni watenda mema au watenda maovu. Katika vyanzo vya Hadithi za Kishia na Kisun...'
  • 14:2814:28, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +30,372 P Imamu Hadi (a.s)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ali bin Muhammad, anaye tambulikana kama Imamu Hadi au Imamu Ali al-Naqi (a.s) (aliyezaliwa mwaka 212 na kufariki 254 Hijiria), ni Imamu wa kumi wa Mashia na ni mwana wa Imamu Jawad (a.s). Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia mwaka 220 hadi 254. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na Mutawakkil. Kipindi chake kikubwa ch...'
  • 14:2714:27, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +11,331 P Aya za Bara-aUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya za Bara-a: Ni Aya za kwanza katika Suratu al-Tawba ambazo zimeelezea hukumu za mwisho kuhusu uhusiano wa Waislamu na washirikina. Katika Aya hizi, Mwenye Ezi Mungu amemuaru Mtume wake (s.a.w.w) na Waislamu kudhihirisha hasira na kujitenga kwao dhidi ya washirikina, kuachana na mikataba waliyofunga nao, na ikiwa washirikina hawataingia katika Uislamu, basi watamgaze vita dhidi yao. Aya hizi ziliwasilishwa kwa washirikina siku ya sikukuu ya kuchinja (Idu...'
  • 14:2714:27, 4 Fubuari 2024 tofauti hist +8,865 P Aya ya AmanaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Aya ya Amana (Ahzab: 72): Ni Aya inayo zungumzia wajibu (uzito) wa amana ambao Mungu ameuweka juu shingo ya mwanadamu. Kulingana na Aya hii, kwanza kabisa Mwenye Ezi Mungu aliitaka amana hiyo ichukuliwe mbingu, ardhi, pamoja na milima, lakini vitu hivyo havikukubali kubeba jukumu la amana hiyo. Ila binadamu aliikubali na kuwajibika nayo. Wafasiri wa Kiislamu wamejadili sana kuhusina na maana hasa ya amana hii, na ni kwa nini mbingu, ardhi, na milima hviik...'

13 Januri 2024

  • 19:5419:54, 13 Januri 2024 tofauti hist +18,319 P Nabii IbrahimuUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Nabii Ibrahimu, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ibrahimu Khalilu: Ni nabii wa pili miongoni mwa manabii wa Ulu al-Azmi. Ibrahimu aliteuliwa kuwa nabii kati ya watu wa Mesopotamia (baina ya mto Euphrates Tigris), kwa ajili ya kumlingania mtawala wa wakati huo (Namrudh), pamoja na watu waliokuwa wakiishi eneo hilo kwenye imani ya Mungu mmoja. Ni watu wachache tu miongoni mwao walikubali mwaliko wake, hivyo alipokata tamaa katika kuwalingania watu hao alih...'
  • 14:2814:28, 13 Januri 2024 tofauti hist +20,275 P Vita vya Mtume (s.a.w.w)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Vita vya bwana Mtume (s.a.w.w) ni vile vita vilifanyika baada ya Hijra ya bwana Mtume (s.a.w.w) kutoka Makka na kuhamia Madina, vita ambavyo vilifanyika kwa lengo la kulinda jamii ya Kiislamu na kuanzisha dola ya Kiislamu. Kulingana na baadhi ya wanazuoni, vita vyote hivi vilifanyika kutokana na ukiukaji wa mapatano na makubaliano uliofanya na Wapagani (Makafiri) au kutokana harakati zao za kijeshi dhidi ya Waislamu. Kwa hivyo, madai ya Wamagharibi kwamba...'
  • 14:2714:27, 13 Januri 2024 tofauti hist +20,063 P TaqwaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Taqwa (uchamungu): Ni hali maalumu au nguvu zilizoko katika roho ya mtu fulani, zinazompa yeye kinga ya kiroho na kimaadili; kwa njia ambayo ikiwa atajikuta katika mazingira ya dhambi, hali hiyo na zile nguvu za kiroho alizokuwa nazo humhifadhi na kumkinda na dhambi hizo. Katika Qur'ani, hadithi za Mtume (s.a.w.w) pamoja Riwaya za Maimamu Matakatifu ambao ni Maasmina (a.s) na pia kwenye maneno ya wanazuoni wa dini kuna masisisitizo makuwa juu ya umuhimu wa...'
  • 14:2514:25, 13 Januri 2024 tofauti hist +16,436 P Miqdad bin AmruUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Miqdad bin Amru, anayejulikana pia kama Miqdad bin Aswad (aliyezaliwa mwaka 33 Hijiria), alikuwa miongoni mwa masahaba wakubwa wa bwana Mtume (s.a.w.w) na ni miongoni mwa Mashia (wafwasi) wa kwanza wa Imam Ali (a.s). Miqdad alisilimu mwanzoni mwa Utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) naye alikuwa ni miongoni mwa watu wa kwanza kudhihirisha Uislamu wao. Alishiriki katika vita vyote vya mwanzo vya Uislamu. Miqdad hutajwa na kusifiwa sambamba na Salman Farsi, Amm...'
  • 14:2414:24, 13 Januri 2024 tofauti hist +8,328 P Kusema UwongoUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Uwongo: ni kusema maneno yaendayo kinyuma na uhalisia wa jambo lilivyo, tendo ambalo halikubali wala kupendeza mbele ya jamii, pia tendo kidini, huhisabiwa kuwa ni miongoni mwa dhambi kuu. Quran na Hadith, na inachukuliwa kama ufunguo wa maovu yote na muharibifu wa imani. Khulka hii ya kusema uwongo, imekemewa vikali ndani ya Qur’ani na Hadithi na kuhisabiwa kuwa ndio funguo ya maovu. Qur’ani na Hadithi zimelichukulia tendo hili kuwa; ni adui atokomeza...'
  • 14:2314:23, 13 Januri 2024 tofauti hist +2,760 P Udhu wa JabiraUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Udhu wa jabira: Ni mojawapo ya aina za udhu. Udhu huu na kwa ajili ya mtu mwenye jeraha au mvunjiko kwenye sehemu ya viungo vya mwili ambavo ni viungo vipaswavu kutiwa udhu wakati wa kutenda ibada maalumu. Udhu hufanyika iwapo mtu atashidwa kuosha viungo hivyo, au kupangusa juu yake kwa maji. Katika hali kama hiyo yabidi mtu atie udhu kama kawaida, na pale afikapo kwenye eneo la jaraha au mvunjiko huo, itabidi aweke kitambaa au plastiki juu yake, kisha apa...'
  • 14:2214:22, 13 Januri 2024 tofauti hist +2,874 P Udhu al-IrtimasiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Udhu al-Irtimasi (Udhu wa Kuchovya): Ni mojawapo ya njia za kutia udhu ambapo, baada ya mtu kutia nia, [1] Huingiza uso na kisha mikono yake ndani ya maji kwa nia ya kutia udhu. [2] Pia ni halali kwa mtia udhu kuingiza viungo ndani ya maji, kisha atie nia ya udhu, na kisha avito viungo hivyo nje ya maji. [3] Katika udhu wa al-Irtimasi, baada ya mtu kuingiza uso na mikono yake ndani ya maji, hufuatia tendo la kufuta kichwa na miguu. [4] "Irtimasi" ni neno l...'
  • 14:0714:07, 13 Januri 2024 tofauti hist +15,447 P Suratu al-QadriUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Suratu al-Qadri: Ni Sura ya themanini na saba ya Qur’ani tukufu ilioko katika juzuu ya 30 ya Qur’ani tukufu, na mojawapo ya Sura zilizo shuka katika mji wa Makka. Jina Qadri limetokana na Aya zake za mwanzo ambazo zinazungumzia kushuka kwa Qur'an katika usiku wa Qadri (Usiku Wenye Cheo) na umuhimu wa usiku huo. Suratu al-Qadri inazungumzia juu ya ukuu, fadhila na baraka za usiku wa Qadri na kushuka kwa Malaika wa rehema katika usiku huo. Mashia wanatum...'
  • 14:0514:05, 13 Januri 2024 tofauti hist +13,917 P Sheikh MufiduUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Muhammad bin Muhammad bin Nu’uman, maarufu kama Sheikh Mufid (alizaliwa mwaka 336 au 338 kufariki 413 Hijiria). Sheikh Mufid alikuwa mwanatheolojia na mwanazuoni wa Kiimamiyya (Shia Ithaasharia) katika karne ya nne na ya tano Hijria. Yasemekana kuwa; Sheikh Mufid alivumbua njia mpya ya ijtihad baada ya kutunga fani ya elimu ya usul al-fiqh, ambayo ilikuwa njia ya wastani kati ya mtazamo wa mkali wa kiakili uliopita budi na mtazamo iliotegemea Riwaya kavu...'

21 Disemba 2023

  • 16:5216:52, 21 Disemba 2023 tofauti hist +798 P Naqi (Lakabu)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Moja ya majina na lakabu maarufu zaidi za Imamu Ali al-Hadi (a.s.), ambaye ni Imamu wa kumi wa Shia, ni lakabu ya "Naqī". [1] Neno “Naqī" linamaanisha "aliye safi au aliye toharika". [2] Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh al-Saduqu katika kitabu chake "’Ilalu al-Sharai'i'", yeye (Imamu Ali al-Hadi (a.s),) aliitwa "Naqī" kwa sababu ya usafi na utakaso wa nafsi alionao ndani ya nafsi yake. [3] Katika Hadithi nyingine, inasemekana kwamba; kwa sababu mama...'
  • 16:4916:49, 21 Disemba 2023 tofauti hist +7,922 P Hadithu I’itilaaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hadithu I’itilaa: Ni Hadithi iliyo nukuliwa kutoka Mtume Muhammad (s.a.w.w.), inayo ashiria ubora wa dini ya Kiislamu juu ya dini nyingine na ukafiri kutokuwa na mamlaka ya utawala juu ya Muislamu. Watu kama vile Sayyid Hassan Baqer al-Bajuni (aliyezaliwa mwaka 1936 Hijiria) wanaamini kuwa; udhaifu wa mlolongo wa wapokezi wa Hadithi ya Hadithu I’itilaa, unaweza kufidiwa kuzibwa pengo lake, kwa kuwa wanazuoni wengi maarufu wameifanyia kazi na kuiamini H...'
  • 16:4716:47, 21 Disemba 2023 tofauti hist +2,920 P Kichinjwa cha Ahlu al-KitabUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kichinjwa cha Ahlu al-Kitab ni mnyama aliye chinjwa na wafwasi wa dini fulani miongoni mwa dini za watu walioshushiwa kitabu na Mwenye Ezi Mungu. [1] Kulingana na maelezo ya Sheikh Bahai (aliyafariki mwaka 1031 Hijiria), wengi wa wanazuoni wa madhehebu ya Shia kama vile Sheikh Tusi, [2] Sheikh Mufid, [3] na Sayyid Murtada, [4] wanaamini kuwa ni haramu kula nyama ya mnyama aliye chinjwa na watu Ahlu al- Kitab, [5] hata kama wataja jina la Mwenye Ezi Mungu w...'

11 Disemba 2023

  • 15:2815:28, 11 Disemba 2023 tofauti hist +4,529 P NushuzuUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Nushuzu: ni neon la Kiarabu lililotumiwa na Qurani, ambalo humaanisha uasi wa mwanamke wa kuto tekeleza majukumu ya kisheria kwa ajili ya mumewe. Kulingana na fatwa za wanachuoni, kuto rahisisha au kuto toa wasaa kwa mwanamke mbele ya mumewe katika kujibu mahitajio ya tendo la ndoa kwa mumuwe, huhisabiwa kuwa ni miongoni mwa ukiukaji wa haki za mume huyo, tendo ambalo kifiqhi hujulikana kwa jina la nushuzu. Kwa upande wa wanaoume; Kuto toa huduma za maisha...'
  • 15:2715:27, 11 Disemba 2023 tofauti hist +16,236 P Kuwakufurisha Ahlu al-Qiblah (Waislamu)Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kuwakufurisha Ahlu al-Qiblah au kuwakufurisha Waislamu: Humaanisha kitendo cha kundi fula la Waislamu kuwahisabu Waislamu wa kundi au mmoja kati yao kuwa ni kafiri. Ambapo natija yake huwa ni kujuzisha kuwaua na kutaifisha mali zao baada ya kuwapachika sifa hiyo ya ukafiri. Mawahabi kutokana welewe maalumu walionao kuhusiana na dhana ya tauhidi, kuzuru makaburi na kutawasali, imepelekea wao kuwakufurisha Waislamu wngine ambao wamekhitalifiana nao kinadhari...'
  • 15:2615:26, 11 Disemba 2023 tofauti hist +4,027 P SandaUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sanda: Sanda au kafani, ni vazi au nguo maalumu avishwazo maiti wa Kiislamu kabla ya kuzika. Uchache wa vazi hili aveshwalo maiti huwa ni vitambaa vitatu: kitambaa cha chini (hufungwa chini kama seruni), shati (ammbayo huanzia shingoni hadi magotini) na cha tatu ni kitambaa kirefu, ambacho huzongoreshwa nacho maiti kuanzia kichwani hadi miguuni. Ni wajibu kifaya kwa waislamu kumkafini maiti wa Kiislamu. Na si halali, kutumia vitambaa vilivyoibiwa au vit...'
  • 15:2515:25, 11 Disemba 2023 tofauti hist +6,074 P Josho la kugusa maitiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Josho la kujitoharisha kutokana na kumgusa maiti: Ni utaratibu na mfumo maalumu wa kuoga ambao hunafanywa kutokana na kugusa mwili wa mtu aliyefariki dunia. Josho hili huwa la lazima (wajibu) kwa yule ambaye amekugusa mwili wa maiti mwili wake tayari umesha poa (umeshakuwa bardi) na kabla ya maiti hiyo kuoshwa. Kwa mujibu wa maoni ya wanazuoni wa madhehebu ya Shia, josho hili ni josho la wajibu kwa atakaye tenda tendo hilo; lakini kwa upande wa wanazuoni...'
  • 15:2115:21, 11 Disemba 2023 tofauti hist +18,452 P Adhabu ya KaburiUkurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Adhabu ya kaburi ni; Shinikizo la mateso na dhiki anayopata mtu akiwa katika ulimwengu wa kaburini (ulimwengu wa Barzakh) baada ya kifo chake. Kulingana na Hadithi; kufitinisha, kutojali kuhusu usafi na kujitoharisha kutokana na uchafu (najisi), tabia za maodhi kwa mwanaume dhidi ya mkewe, mtu kutokuwa na adabu (kutokuwa natabia njema) na familia yake na kudharau sala, ni baadhi ya sababu zinazo sababisha adhabu ya kaburi. Kwa upande wa pili; Kutembelea Im...'
(mpya | zamani) Tazama (50 ya karibu zaidi | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)