Nenda kwa yaliyomo

Kurasa mpya

Kurasa mpya
Ficha bots | Onyesha redirects

19 Machi 2025

  • 15:1915:19, 19 Machi 2025 Shahada ya Tatu katika Adhani na Iqama (hist | hariri) [baiti 17,361] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Shahada ya Tatu katika Adhani na Iqama: Shahada ya Tatu: ni kutoa ushuhuda juu ya nafasi ya Ali (a.s) baada ya shahadatain (Kushuhudia kuwa Mungu ni MMoja tu na Muhammad ni Mjumbe Wka), zoezi hili hutimia kwa kusema «أشهَدُ أَنّ عَليّاً ولِيُّ الله» au «أشهَدُ أَنّ عَليّاً حُجَّةُ الله», katika adhani pamoja na iqama. Kulingana na maoni maarufu ya wanazuoni wa taaluma ya fiqhi wa madhehebu ya Imami...')

18 Machi 2025

  • 15:2715:27, 18 Machi 2025 Mauaji yanayotokana na huruma (hist | hariri) [baiti 13,654] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' Mauaji yanayotokana na huruma (Euthanasia): Ni kitendo cha kuondoa maisha ya mtu kutokana na kumhurumia, kwa sababu ya ugonjwa usiotibika unaomletea mateso makali. Kitendo hichi kinaweza kufanyika kwa kutumia dawa ya kuua isiyo na maumivu, au kwa kuacha kutoa huduma msingi za matibabu. Njia ya kwanza katika zoezi hili inajulikana kwa jina la “active euthanasia” (mauaji ya haraka), huku njia ya pili ikiitwa “passive euthanasia” (mauaji taratibu). Z...')
  • 13:3213:32, 18 Machi 2025 Dhima za Kisheria (hist | hariri) [baiti 14,053] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Dhima za Kisheria “Kiarabu تکلیف الشرعی”: Ni wajibu na majukumu ya kidini ambayo Uislamu humtaka muumini kuyatekeleza. Kuna masharti maalumu yanayozingatiwa na mafaqihi, ili muumini akabiliwe na majukumu hayo. Masharti hayo ni; akili timamu, kubalehe, pamoja na kuwa na uwezo wa kutekeleza majukumu hayo. Mtu asiyekamilisha moja ya nguzo hizi, hawi ni miongoni mwa wahusika wanaotakiwa kutekeleza majukumu ya kisheria. Taklifa au majukumu ya kis...')
  • 10:3310:33, 18 Machi 2025 Saumu ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani (hist | hariri) [baiti 2,137] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Saumu ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani: ni zoezi la kufunga siku moja au zaidi kabla ya kuingia kwa mwezi wa Ramadhani. [1] Ingawa istilahi hii haihisabiwi kuwa ni miongoni mwa istilahi zenye nafasi katika vyanzo vya kifiqhi, ila ni istilahi mashuhuri iliozoeleka kijamii na kiutamaduni. Istilahi hii inahusishwa na saumu zinazofungwa katika siku za mwisho za mwezi wa Shaaban kama maandalizi ya kuukaribisha mwezi wa Ramadhani. [2] Kulingana na moja ya Riw...')

16 Machi 2025

  • 16:5416:54, 16 Machi 2025 Wajibu wa Kumshukuru Mneemeshaji (hist | hariri) [baiti 11,366] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Wajibu wa Kumshukuru Mneemeshaji: Wajibu wa kumshukuru Mneemeshaja (وجوب شکر مُنعِم) au mfadhili ni istilahi maalumu inayotumiwa na wataalamu wa taaluma ya wanatheolojia. Nayo ni ibara yenye maana ya kwamba; kuwepo kwa hisia ya wajibu ndani ya tabia ya mwanadamu, inayomlazimisha au kumpa msukumo wa kumshukru yule anayemneemesha mwanadamu. Wajibu huu wa kumshukuru mtoaji wa neema, umechukuliwa kama ni kanuni ya kiakili au hukumu ya kisharia am...')
  • 16:5116:51, 16 Machi 2025 Siyanati Maashita (hist | hariri) [baiti 2,338] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ṣiyaanati Maashṭa Mke wa Hazqil (Mu’min Aali Fir’aun) Taarifa za Jumla • Ukaribu wa Kifamilia: Mke wa Mu’min Aali Fir’aun • Kuzaliwa: Kipindi cha Utawala wa Farao (Firauna) • Mahali Alipoishi: Misri • Kifo: Aliuawa pamoja na watoto wake kwa amri ya Firauna kwa sababu ya imani yake kwa Mwenye Ezi Mungu Taarifa Nyingine • Asili: Msusi wa binti ya Farauna • Mhusika: Moja ya wanawake watakaofufuliwa baada ya kudhihiri kwa Imamu Mahdi (...') ilitengenezwa hapo awali na "Siyanati Maashita, Mke wa Hazkili"
  • 16:5016:50, 16 Machi 2025 Sheikh Naim Qasim (hist | hariri) [baiti 11,780] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Naim Qasim Taarifa Binafsi • Kazi: Katibu Mkuu Msaidizi wa Hizbullah nchini Lebanon • Tarehe ya Kuzaliwa: 1953 • Mahali pa Kuzaliwa: Beirut, Lebanon • Nchi ya Ukaazi: Lebanon • Baba: Muhammad Qasim Taarifa za Kisiasa • Kiongozi Mkuu: Sayyid Hassan Nasrallah Taarifa za Kidini na Itikadi • Dini: Uislamu • Madhehebu: Shia • Mwelekeo wa Kifiqhi: Ja’fari Tovuti Rasmi https://naimkassem.com.lb/index.php Uraia: Lebanon Sheikh Naim Qasim: Shei...')
  • 16:4916:49, 16 Machi 2025 Mhimili wa Muqawama (hist | hariri) [baiti 22,046] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mhimili wa Muqawama (Upinzani) au Jabhahatu Al-Muqawama: Mhimili wa Muqawama au Jabhahatu Al-Muqawama, ni jina maalumu linalotumiwa kurejelea muungano wa kikanda, unaojumuisha majeshi ya serikali na yasiyo ya kiserikali, hasa ya Kishia, ambayo yanahusika na shughuli mikakati ya kiupinzani dhidi ya ubeberu. Makundi haya ya kijeshi yanajumuisha nchi ya Iran, Syria (wakati wa utawala wa Hafidh na Bashar al-Assad), Iraq, Lebanon, Yemen, na Palestina. Malengo y...')
  • 16:4816:48, 16 Machi 2025 Kumait bin Zaid al-Asadi (hist | hariri) [baiti 7,296] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kumait bin Zaid Al-Asadi Taarifa Zake Jina Kamili Abū Mustajil Kumait bin Zayd Al-Asadi Harakati Zake Ushairi wa kuwasifu Ahlul Bait (a.s) Mahali alipoishi Iraq Mahali alipozikwa Kufa, Mava ya Bani Asadi Aliyeishi naye Imamu Sajjad (a.s), Imamu Baqir (a.s) na Imamu Sadiq (a.s) Madhehebu Shia Diwani ya Mashairi Mkusanyiko wa mashairi Sababu ya Umaarufu Mshairi wa kusifu Ahlul Bayt (a.s) Kumait bin Zaid al-Asadi (ali...')
  • 16:4616:46, 16 Machi 2025 Israeli (Lakabu) (hist | hariri) [baiti 1,445] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Israeli: ni lakabu ya Nabii 'Yakobo/Yaaquub.' Kulingana na tafsiri ya kitabu Majma‘u al-Bayan, neno 'Israeli' katika lugha ya Kiebrania humaanisha 'Mteule wa Mungu' au 'Mtumishi wa Mungu'. [1] Sheikh Tusi maana ya jina hili, anasema kwamba; 'Israeli' limeundwa kunatokana na maneno mawili; la kwanza ni 'Isra,' ambalo linamaanisha mtumishi, na la pili ni 'Il', linalomaanisha Mwenye Ezi Mungu, na hivyo 'Israeli' likawa na maana ya 'Mtumishi wa Mungu'. [2] K...') ilitengenezwa hapo awali na "Israeli"
  • 16:4416:44, 16 Machi 2025 Hadithi ya Rufu'a Al-Qalamu (hist | hariri) [baiti 19,538] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Taarifa za Hadithi • Mada: Kuturekodiwa kwa madhambi ya Mashia katika siku ya tisa ya Rabiul Awwal. • Mapokezi: Imepokewa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s), Imamu Jawad (a.s), na Mtume (s.a.w.w). • Msimulizii Mkuu: Yahya bin Muhammad bin Khurayj Al-Baghdadi. • Uhalali wa Sanad Yake: Haikubaliki. • Vyanzo vya Kishi'a: Al-Mukhtasar, Fawaid Al-Fawaid, na Bihar Al-Anwar. Hadithi Mashuhuri Hadithi ya "رفع القلم" (Rufu'a Al-Qalamu): Ni Hadithi...') ilitengenezwa hapo awali na "Hadithi ya "رفع القلم" (Rufu'a Al-Qalamu)"
  • 16:3916:39, 16 Machi 2025 Hadithi ya Khasifu an-Na'al (hist | hariri) [baiti 22,480] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hadithi ya Khasifu an-Na'al “Kiarabu خَاصِفُ‌النَّعْل” (kwa maana ya Mkarabati Viatu): Ni Hadithi yenye maana pevu kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w), inayozungumzia nafasi na fadhila pekee za Imamu Ali (a.s). Kauli hii ilitamkwa na bwana Mtume (s.a.w.w) katika mazingira ambayo Imamu Ali (a.s) alikuwa katika hali ya kutiatia viraka au kukarabati viatu vya bwana Mtume (s.a.w.w). Hiyo ndiyo ikawa sababu hasa ya yeye kupewa jina la Khas...')
  • 16:3716:37, 16 Machi 2025 Dua ya Arobaini na Moja ya Sahifa Sajjadiyya (hist | hariri) [baiti 4,714] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Nakala ya maandishi ya "Sahifa Sajjadiya", kwa mwandiko na hati za Sheikh Abdullah Yazdi, iliandikwa mnamo mwezi Shaaban mwaka 1104 Hijria Taarifa kuhusu Dua na Ziara • Mada: Kuomba stara kutokana na aibu ya dhambi na kuepukana nazo • Kutoka kwa Maasumu / Si kutoka kwa Maasumu: Kutoka kwa Maasumu • Imetoka kwa: Imam Sajjad (a.s) • Msimulizi: Mutawakkil bin Harun • Vyanzo vya Kishia: Sahifa Sajjadiya Maombi na Ziara Maarufu Dua ya Arobaini na...')
  • 16:3516:35, 16 Machi 2025 Aya ya Harithu (hist | hariri) [baiti 9,891] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Maelezo ya Aya Kigezo Maelezo Jina la Aya Aya ya Harith Mahala ilipo Suratu Al-Baqara Nambari ya Aya 223 Juzuu 2 Taarifa za Kimaudhui Sababu ya Uteremsho Kukataa imani ya Kiyahudi kuhusu vizuizi vya mahusiano ya ndoa. Mahali ilipoteremshwa Madina Mada Fiqhi , Kimaadili Ujumbe wake Hakuna vizuizi katika mahusiano ya ndoa. Aya ya Harithi Aya ya Harithu: ni sehemu ya Aya ya 223 ilioko katika Suratu Al-Baqara. Kiuhalisia Aya ni Aya yenye kuzungumzia mahusia...')
  • 16:3316:33, 16 Machi 2025 Muhaddatha (Lakabu) (hist | hariri) [baiti 4,795] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Muhaddatha “المحدثة”: Ni mojawapo ya majina ya heshima yanayotumika katika kumtaja Bibi Fatima (s.a). Jina hili lina maana ya "Mwanamke Asemezwaye na Malaika." Pia jina hili limeonekana kunukiliwa katika masimulizi ya kidini katika kuwataja wanawake wengine, kama vile; Bibi Mariam (s.a) na Sara. Inasemekana kwamba; Malaika walikuwa wakimweleza Bibi Zahra (s.a) mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na; kumfarij, kumuarifu na kumjulisha hali za Waumin...') ilitengenezwa hapo awali na "Muhaddatha"
  • 16:2916:29, 16 Machi 2025 Tahniki kwa mtoto mchanga (hist | hariri) [baiti 5,186] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Tahniki kwa mtoto mchanga (Kiarabu تحنيك المولود): Ni mila maalumu ya Kiislamu inayotekelezwa kwa kuweka kiasi kidogo cha maji au chakula kwenye kinywa cha mtoto mchanga punde tu baada ya kuzaliwa kwake. Kwa mujibu wa mafundisho ya wanazuoni wa Kishia, tahniki inapaswa kufanywa kwa kutumia maji ya Mto Furati pamoja na udongo mtakatifu wa Imamu Hussein (a.s) (udungo wa Karbala), kwa mujibu wa maoni yao, kufanya hivyo ni miongoni mwa amali za sun...')

11 Fubuari 2025

  • 20:0220:02, 11 Fubuari 2025 Barua ya Imam Ali (a.s) kwa Ash'ath ibnu Qais (hist | hariri) [baiti 9,615] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Barua ya Imam Ali (a.s) kwa Ash'ath ibnu Qais kutoka kwenye Nahj al-Balagha: Hii ni ile Barua ya Imam Ali (a.s) kwa Ash'ath ibn Qais, mwakilishi na kaimu mtendaji (gavana) wa Othman bin Affan huko Azerbaijan. Hii ni ile barua mashuhuri inayopatikana katika mkusanyiko wa semi hotuba na hekima za Imamu Ali (a.s) zilizoko kwenye kitabu kiitwacho Nahju Al-Balagha. Imamu Ali (a.s) katika barua yake hii, anamkumbusha Ash'ath juu ya matukio muhimu na hatari yaliy...')
  • 20:0020:00, 11 Fubuari 2025 Barua ya Imam Ali kwa Sahl bin Hunaif (hist | hariri) [baiti 2,412] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Barua ya Imam Ali kwa Sahl bin Hunaif: Barua ya Imam Ali kwa Sahl bin Hunaif ni miongoni mwa barua zake mashuhuri kwa watu mbali mbali. Barua hii aliiandika ili kumliwaza Hunaif baada ya baadhi ya wafuasi wa Sahl bin Hunaif kumwacha mkono Imamu Ali (a.s) na kujiunga na Mu’awiya. [1] Hii barua ya Imam Ali (a.s) ya kwa ajili ya Sahl, aliyekuwa gavana wake katika mji wa Madina, alaiyoiandika akimhimiza Sahl kutohuzunika kutokana na kuondoka kwa baadhi ya w...')
  • 19:5919:59, 11 Fubuari 2025 Barua ya Imamu Ali (a.s) kwa Shuraih (hist | hariri) [baiti 6,912] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Barua ya Imamu Ali (a.s) kwa Shuraih: Hii ni barua maalumu ya makemeo ya Imamu Ali (a.s) kwa Shuraih bin Harith, aliyekuwa qadhi wa wakati wa wakati huo mjini Kufa, ambaye ameshutumiwa kwa kununua nyumba kwa bei ghali. Katika barua hii, Imam Ali anamuwaidhi Shuraih na kumkumbusha thamani ya dunia na hisabati ya Siku ya Kiyama. Pia baurua yake hiyo ilitaraji kwamba; Shuraih, ambaye ni afisa wa serikali, ataelewa kuwa mtu kama yeye hatarajiwi kuwa na maisha...')
  • 19:5619:56, 11 Fubuari 2025 Barua ya Imamu Hussein (a.s) kwa Wakuu wa Basra (hist | hariri) [baiti 12,906] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Barua ya Imamu Hussein (a.s) kwa Wkuu wa Basra: Ilikuwa ni barua maalumu ya wito, iliyoandikwa na Imam Hussein (a.s.) kwa wakuu wa makbila ya Waarabu wa Basra, kabla ya janga la mauaji ya Karbala. Imam (a.s) katika barua hii aliwafikishia Warabu wa Basra ujumbe wake muhimu akiewaeleza kwamba; Ukhalifa ni haki pekee inayowastahikia Ahlul-Bait (a.s). Katika barua hii alifafanua akiwaambia kwamba; kukaa kimya kwa familia hii tukufu dhidi ya unyakuzi wa Ukhali...') ilitengenezwa hapo awali na "Barua ya Imamu Hussein (a.s) kwa Wkuu wa Basra"
  • 19:5419:54, 11 Fubuari 2025 Siddiqatu Al-Shahida (Lakabu) (hist | hariri) [baiti 3,698] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jina la "Siddiqatu Al-Shahida" ni ambatano la Majina mawili ya Bibi Fatima (a.s). Jina “Siddiqatu” linatoka katika msamiati wa Kiarabu wenye maana ya mwanamke mkweli mno kupita kiasi, [1] na jina “Shahida” lina maana ya mwanamke aliyekufa katika njia ya Mwenye Ezi ya Mungu. [2] Pia majina mawili haya ya "Siddiqa" na "Shahida" yanaonekana kuumika katika moja ya riwaya kutoka kwa Imamu Kadhim (a.s.), ambayo wanazuoni wamethibitisha usahihi wake, [3]...') ilitengenezwa hapo awali na "Jina la "Siddiqatu Al-Shahida""
  • 19:5319:53, 11 Fubuari 2025 Khasifun-Na'al (Lakabu) (hist | hariri) [baiti 3,508] Saasamar (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Khasifun-Na’al au Khasifu Al-Na’al (Mkarabati Viatu au Mfungafunga Viatu): Ni moja ya lakabu za Imam Ali (a.s), ambaye ni imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia ulimwenguni. [1] Lakabu hii imetokana na Hadithi inazojulikana kwa jina la Hadithi ya Khasifun-Na’al, ambayo kwa mujibu wake; Mtume Muhammad (s.a.w.w) ndiye aliyemwita Imamu Ali (a.s) kwa jina hili, jina ambalo alipewa pale alikuwa akirekebisha na kufungafunga au kutia viraka viatu...') ilitengenezwa hapo awali na "Khasifun-Na’al au Khasifu Al-Na’al"