Nenda kwa yaliyomo

Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
d (Rezvani alihamisha ukurasa wa SALA YA MAITI hadi Sala ya maiti)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Swala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Sala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili ya [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa  sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo.

Swala ya maiti ni tofauti na sala nyingine; Sala hii huwa haina haisomwi [[Surat al-Fatiha]] ndani yake, haina [[rukuu]], haina [[sijda]], haina [[tashahhud]] (tahiyyatu) na wala haina [[salamu]], yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. [[Tohara]] (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa huwa haizingatiwi ndani ya sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali sala ya maiti bila ya kuwa na [[udhu]] au hata bila ya [[kukoga josho]] la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali sala ya maiti hali akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo.
Sala ya maiti ni tofauti na sala nyingine; Sala hii huwa haina haisomwi [[Surat al-Fatiha]] ndani yake, haina [[rukuu]], haina [[sijda]], haina [[tashahhud]] (tahiyyatu) na wala haina [[salamu]], yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. [[Tohara]] (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa huwa haizingatiwi ndani ya sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali sala ya maiti bila ya kuwa na [[udhu]] au hata bila ya [[kukoga josho]] la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali sala ya maiti hali akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo.

Sala ya mazishi inaweza [[kusaliwa kwa jamaa]] na pia yaweza kusaliwa furada (ya kila mtu kusali peke yake bila ya kuunga jamaa). Katika sala ya maiti, hata mtu akiisali sala hiyo kwa mfumo wa jamaa, yeye atawajibika kukariri au kusoma kila kisomwacho ndani ya sala hiyo. Yaani haitoshi imamu peke yake kusoma yasomwayo katika sala hiyo, watu wanaosali sala hiyo wanatakiwa nao kusoma kila kisomwacho ndani yake.

Swala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]] huwa ina [[takbira]] nne na hunamalizia kwa [[salamu]].
Sala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]] huwa ina [[takbira]] nne na hunamalizia kwa [[salamu]].

Automoderated users, confirmed, movedable
7,696

edits