Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho
→Jinsi ya Kusali Sala ya Maiti
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
و اگر میت زن است: اَللّهُمَّ اِنَّ هذِهِ اَمَتُک وَابْنَةُ عَبْدِک و ابنَةُ اَمَتِکَ نَزَلَتْ بِک وَ اَنْتَ خَیرُ مَنْزوُلٍ بِهِ اَللّهُمَّ اِنّا لا نَعْلَمُ مِنْها اِلاّ خَیراً وَ اَنْتَ اَعْلَمُ بِهامِنّا اَللّهُمَّ اِنْ کانَتْ مُحْسِنَةً فَزِدْ فی اِحْسانِها وَ اِنْ کانَتْ مُسیئةً فَتَجاوَزْ عَنْها وَاغْفِرْ لَها اَللّهُمَّ اجْعَلْها عِنْدَک فی اَعْلا عِلِّیینَ وَاخْلُفْ عَلی اَهْلِها فِی الْغابِرینَ وَارْحَمْها بِرَحْمَتِک یا اَرْحَمَ الرّاحِمینَ[یادداشت ۵] [۱۱] | و اگر میت زن است: اَللّهُمَّ اِنَّ هذِهِ اَمَتُک وَابْنَةُ عَبْدِک و ابنَةُ اَمَتِکَ نَزَلَتْ بِک وَ اَنْتَ خَیرُ مَنْزوُلٍ بِهِ اَللّهُمَّ اِنّا لا نَعْلَمُ مِنْها اِلاّ خَیراً وَ اَنْتَ اَعْلَمُ بِهامِنّا اَللّهُمَّ اِنْ کانَتْ مُحْسِنَةً فَزِدْ فی اِحْسانِها وَ اِنْ کانَتْ مُسیئةً فَتَجاوَزْ عَنْها وَاغْفِرْ لَها اَللّهُمَّ اجْعَلْها عِنْدَک فی اَعْلا عِلِّیینَ وَاخْلُفْ عَلی اَهْلِها فِی الْغابِرینَ وَارْحَمْها بِرَحْمَتِک یا اَرْحَمَ الرّاحِمینَ[یادداشت ۵] [۱۱] | ||
پنجم← پایان نماز | پنجم← پایان نماز | ||
Hukumu za Sala ya | == Maoni ya Mafaqihi wa Kisunni == | ||
Kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]]; Sala ya maiti ina takbira nne. Sala hufungulia (huanza) kwa takbira ya kwanza, baada ya hapo husomwa Suratul Al-Fatiha. Baada ya takbira ya pili, husaliwa Mtume (s.a.w.w), baada ya takbira ya tatu, huombewa dua huyo maiti anayesaliwa, kisha hosomwa takbira ya nne na papo hapo hutolewa [[salamu]], na huo huwa ndio mwisho wa sala. | |||
== Hukumu za Sala ya maiti == | |||
Baadhi ya hukumu za kifiqhi za sala ya maiti ni: | Baadhi ya hukumu za kifiqhi za sala ya maiti ni: | ||
Sala ya maiti ni faradhi inayojitosheleza (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, wajibu huo wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14] | * Sala ya maiti ni faradhi inayojitosheleza (faradhi kifaya); Kwa hiyo, iwapo mtu mmoja ajitokeza na kuchukuwa jukumu la kumsalia maiti huyo, wajibu huo wa kumsalia maiti utawaepeka Waislamu wengine waliobaki. [14] | ||
Kwa mujibu wa maelezo ya Sahib Jawahar ni kwamba; Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni makruh (haikupendekezawa) kusalia maiti sala kadhaa. [15] Kwa mujibu wa fatwa za Ayatullah Sistani ni kwamba; Hakuna ithibati juu umakruhu (kutopendekezwa) kwa suala hilo, hasa kama maiti hiyo itakuwa ni maiti ya mwanazuoni na uchamungu, katu hakutakuwa na umakruhu juu ya kussalia yeye sala zaidi ya moja. [16] | * Kwa mujibu wa maelezo ya Sahib Jawahar ni kwamba; Maoni ya mafaqihi walio maarufu yanesema kuwa, ni makruh (haikupendekezawa) kusalia maiti sala kadhaa. [15] Kwa mujibu wa fatwa za Ayatullah Sistani ni kwamba; Hakuna ithibati juu umakruhu (kutopendekezwa) kwa suala hilo, hasa kama maiti hiyo itakuwa ni maiti ya mwanazuoni na uchamungu, katu hakutakuwa na umakruhu juu ya kussalia yeye sala zaidi ya moja. [16] | ||
Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | * Sala ya maiti inaweza kusaliwa kwa jamaa, na pia inaweza kusaliwa kwa mfumo wa furada (kila kusali bila ya kumfuata imamu). Lakini hata kama mtu asali sala hiyo kwa jamaa, ni lazima yeye asome takbira zote tano pamoja na kinachotakiwa kusomwa ndani ya sala hiyo, yaani kisomo cha imamu hakishelezi katika kuikamailisha sala ya maamuma wake (anayesali kwa kumfuata yeye). [17] | ||
Sala ya maiti ni faradhi kwa kila Muislamu ambaye amefikisha umri wa miaka sita. [18] | * Sala ya maiti ni faradhi kwa kila Muislamu ambaye amefikisha umri wa miaka sita. [18] | ||
Maiti aliye kafiri au mwenye uadui na na kizazi cha Mtume (S.A.W.W) huwa hasaliwi sala ya maiti. [19] | * Maiti aliye kafiri au mwenye uadui na na kizazi cha Mtume (S.A.W.W) huwa hasaliwi sala ya maiti. [19] | ||
Si lazima katika sala ya maiti, mtu kujitakasa kutokana na josho la wajiu, kama vile janaba, hedhi au nifasi, na wala si lazima mtu kuwa na udhu katika kumsalia maiti. [20] Bila shaka, ni bora zaidi iwapo mtu azingatia masharti yote ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo ya maiti. [21] | * Si lazima katika sala ya maiti, mtu kujitakasa kutokana na josho la wajiu, kama vile janaba, hedhi au nifasi, na wala si lazima mtu kuwa na udhu katika kumsalia maiti. [20] Bila shaka, ni bora zaidi iwapo mtu azingatia masharti yote ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo ya maiti. [21] | ||
Ni lazima maiti asaliwe kabla ya kuzikwa kwake [22] na iwe ni baada ya kukoshwa na kuvikwa sanda (kukafiniwa). [23] | * Ni lazima maiti asaliwe kabla ya kuzikwa kwake [22] na iwe ni baada ya kukoshwa na kuvikwa sanda (kukafiniwa). [23] | ||
Ikawa Mwislamu atazikwa bila ya kusaliwa, basi ni lazima Waislamu waende kusalia kaburini kwake. [24] | * Ikawa Mwislamu atazikwa bila ya kusaliwa, basi ni lazima Waislamu waende kusalia kaburini kwake. [24] | ||
Inawezekana kusaliwa sala moja ya maiti kwa ajili ya maiti kadhaa.[25] | * Inawezekana kusaliwa sala moja ya maiti kwa ajili ya maiti kadhaa.[25] | ||
Inachukiza (makruhu au hauikupendekezwa) kuwasalia maiti misikitini. [26] Baadhi ya mafaqihi wameuvua Msikiti wa Makka kuhusiana na hukumu hii, [27] ila wanazuoni wengine hawajakubaliana na nadharia ya manazuoni hao katika suala hilo. [28] | * Inachukiza (makruhu au hauikupendekezwa) kuwasalia maiti misikitini. [26] Baadhi ya mafaqihi wameuvua Msikiti wa Makka kuhusiana na hukumu hii, [27] ila wanazuoni wengine hawajakubaliana na nadharia ya manazuoni hao katika suala hilo. [28] | ||
Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje inapendekezwa na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | * Pia mtu anaweza kusala bila ya kuvua viatu, ingawaje inapendekezwa na ni bora zaidi kusali bila viatu. [29] | ||
== Sala za Maiti za Kihistoria == | |||
Sala ya maiti ya [[bibi Fatima Zahraa (a.s)]] na sala ya maiti ya maiti ya [[Imam Khomeini]] ni miongoni mwa sala za maiti, ambazo kila moja kati yake zina sura maalumu yenye mazingatio kwa walimwengu: kwa mujibu wa maandishi ya wanahistoria; [[Ali bin abi Talib (a.s)]] aliikosha maiti ya mkewe (bibi Fatima) (a.s) katika wakati wa usiku [30] kisha akamsalia wakati katika wakati huo huo wa usiku. [31] Kwa mujibu wa maelezo ya [[Tabarsi]]; Miongoni mwa watu wailoshiriki katika sala ya kumsalia bibi Fatima (a.s), ni: [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imam Hasan]], [[Imam Hussein]], [[Miqdad]], [[Salman Farsi]], [[Abu Dharr Al-Ghafari]], [[Ammar bin Yasir]], [[Aqiil bin Abi Talib]], [[Zubeir bin Awam]], [[Boraidah bin Husaib Aslami]] pamoja na baadhi ya watu wa okoo wa [[Bani Hashim]]. [32] | |||
Sala ya maiti ya bibi Fatima Zahraa ( | |||
Sababu hasa ya bibi Fatima kuoshwa, kusaliwa na pia kuzikwa wakati wa usiku, inatokana na kwamba; Fatima alimuusia Ali bin Abi Talib (a.s | Sababu hasa ya bibi Fatima kuoshwa, kusaliwa na pia kuzikwa wakati wa usiku, inatokana na kwamba; Fatima [[alimuusia]] Ali bin Abi Talib (a.s) kumzika usiku, ili watu waliomdhulumu wasihudhurie mazishi yake na wala wasipate nafasi ya kuusalia mwili wake. [33] | ||
Swala ya maiti ya Imam Khomeini ilikuwa ni moja ya sala zenye zlizohudhuriwa na watu wengi zaidi. Sala hiyo ilifanyika mnamo mwezi wa Khordad 1368 Shamsia, sawa na tarehe 5 June 1989 chini ya uongozi wa Ayatollah Gulpaygani. Mazishi ya Imam Khomeini yanachukuliwa kuwa ndio mazishi yaliohudhuriwa na watu wengi zaidi katika historia. [34] | Swala ya maiti ya [[Imam Khomeini]] ilikuwa ni moja ya sala zenye zlizohudhuriwa na watu wengi zaidi. Sala hiyo ilifanyika mnamo mwezi wa Khordad [[1368 Shamsia]], sawa na tarehe 5 June 1989 chini ya uongozi wa [[Ayatollah Gulpaygani]]. Mazishi ya Imam Khomeini yanachukuliwa kuwa ndio mazishi yaliohudhuriwa na watu wengi zaidi katika historia. [34] | ||
Masuala Yanayofungamana | Masuala Yanayofungamana |