Nenda kwa yaliyomo

Sarah : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sarah''' ni mke wa kwanza wa Ibrahim (as) na ndiye mama wa Is'haq (as). Kwa mujibu wa kile kilichokuja katika sura mbili za Qur'an Tukufu, Malaika walimpa bishara Nabii Ibrahim ya kuzaliwa mtoto ambaye atakuwa na jina la Is'haq. Nabii Ibrahim alikuwa na umri wa miaka 90 wakati anapewa bishara hiyo. Kutokana na kuwa, Malaika walizungumza na Bi Sarah (mke wa Nabii Ibrahim) kama ilivyokuwa kwa Bibi Maryam na Bibi Fatma, anafahamika kwa jina la Muhaddatha.
'''Sarah''' ni mke wa kwanza wa [[Ibrahim (a.s)]] na ndiye mama wa [[Is'haq (a.s)]]. Kwa mujibu wa kile kilichokuja katika sura mbili za [[Qur'an Kareem|Qur'an Tukufu]], Malaika walimpa bishara Nabii Ibrahim ya kuzaliwa mtoto ambaye atakuwa na jina la Is'haq. Nabii Ibrahim alikuwa na umri wa miaka 90 wakati anapewa bishara hiyo. Kutokana na kuwa, Malaika walizungumza na Bi Sarah (mke wa Nabii Ibrahim) kama ilivyokuwa kwa [[Bibi Maryam]] na [[Bibi Fatma]], anafahamika kwa jina la Muhaddatha.
Miaka kadhaa mingi kabla ya kuzaliwa Is'haq, Bi Sarah alimpatia Ibrahim kanizi wake aliyejulikana kwa jina la Hajar ili amzalie watoto. Shekhe Swaduq amenuukuu hadithi ambazo zinaashiria husuda ya Sarah baada ya kuzaliwa Ismail. Pamoja na hayo, baadhi ya wahakiki wa zama hizi wametilia shaka maana, madhumuni na sanadi (mlologo wa mapokezi) ya hadithi iliyotajwa.

'''Maisha'''
Miaka kadhaa mingi kabla ya kuzaliwa Is'haq, Bi Sarah alimpatia Ibrahim kanizi wake aliyejulikana kwa jina la [[Hajar]] ili amzalie watoto. [[Sheikh Swaduq]] amenuukuu hadithi ambazo zinaashiria [[husuda]] ya Sarah baada ya kuzaliwa Ismail. Pamoja na hayo, baadhi ya wahakiki wa zama hizi wametilia shaka maana, madhumuni na sanadi (mlologo wa mapokezi) ya hadithi iliyotajwa.
 
== Maisha ==

Amin al-Islam Tabarsi [1] na Abul-Futuh Razi [2], miongoni mwa wafasiri wa Qur'ani wa Kishia katika karne ya 6 Hijria wanaamini kwamba, Sarah ni binti ya Haran bin Yahur na ni binamu yake Nabii Ibrahim (as); hata hivyo katika baadhi vya vyanzo vya Kishia imeelezwa kuwa, Sarah ni binti ya Nabii Lahij na binamu yake Nabii Ibrahim. [3] Katika vyanzo vya historia kuna kauli zingine kama vile, Sarah ni binti ya Batuael bin Nahur, [4] binti ya Labin bin Birthweil bin Nahur [5] na binti ya mfalme Harran. [6]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,396

edits