Nenda kwa yaliyomo

Sarah : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sarah''' ni mke wa kwanza wa Ibrahim (as) na ndiye mama wa Is'haq (as). Kwa mujibu wa kile kilichokuja katika sura mbili za Qur'an Tukufu, Malaika walimpa bishara Nabii Ibrahim ya kuzaliwa mtoto ambaye atakuwa na jina la Is'haq. Nabii Ibrahim alikuwa na umri wa miaka 90 wakati anapewa bishara hiyo. Kutokana na kuwa, Malaika walizungumza na Bi Sarah (mke wa Nabii Ibrahim) kama ilivyokuwa kwa Bibi Maryam na Bibi Fatma, anafahamika kwa jina la Muhaddatha....')
 
No edit summary
Mstari 39: Mstari 39:
Katika hadithi zilizonukuliwa na Sheikh Saduq na Ali bin Ibrahim Qommi, kumeashiriwa husuda na muamala usio mzuri wa Sarah baada ya kuzaliwa Ismail, na subira ya Ibrahim kuhusiana na jambo hili. [36] Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa zama hizi wanasema, hadithi hizi ni dhaifu kimaana na kimapokezi. [37]

Kulingana na yale yaliyokuja katika Torati, Sarah alimtaka Ibrahim awafukuze Hajar na Ismail kutoka katika nyumba yake, lakini Ibrahim hakufurahishwa na ombi hili la Sarah. [38] Ingawa hatimaye, baada ya Mwenyezi Mungu kumtaka  afanye hilo, alifanya kwa mujibu wa takwa la Sarah. [39]

Hata hivyo, katika baadhi ya hadithi zingine inaelezwa kuwa, usimamizi na ulezi wa watoto wa Mashia na watoto wa waumini katika ulimwengu wa barzakhi umekabidhiwa kwa Sarah na Ibrahim ili wawaleee na kisha kuwakabidhi kwa wazazi wao. [40]'''Maandishi ya kooze'''
Hata hivyo, katika baadhi ya hadithi zingine inaelezwa kuwa, usimamizi na ulezi wa watoto wa Mashia na watoto wa waumini katika ulimwengu wa barzakhi umekabidhiwa kwa Sarah na Ibrahim ili wawaleee na kisha kuwakabidhi kwa wazazi wao. [40]
confirmed, movedable
768

edits