Nenda kwa yaliyomo

Sarah : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
== Maisha ==
== Maisha ==


Amin al-Islam Tabarsi [1] na Abul-Futuh Razi [2], miongoni mwa wafasiri wa Qur'ani wa Kishia katika karne ya 6 Hijria wanaamini kwamba, Sarah ni binti ya Haran bin Yahur na ni binamu yake Nabii Ibrahim (as); hata hivyo katika baadhi vya vyanzo vya Kishia imeelezwa kuwa, Sarah ni binti ya Nabii Lahij na binamu yake Nabii Ibrahim. [3] Katika vyanzo vya historia kuna kauli zingine kama vile, Sarah ni binti ya Batuael bin Nahur, [4] binti ya Labin bin Birthweil bin Nahur [5] na binti ya mfalme Harran. [6]
[[Amin al-Islam Tabarsi]] [1] na [[Abul-Futuh Razi]] [2], miongoni mwa wafasiri wa Qur'ani wa Kishia katika karne ya 6 Hijria wanaamini kwamba, Sarah ni binti ya Haran bin Yahur na ni binamu yake [[Nabii Ibrahim (a.s)]]; hata hivyo katika baadhi vya vyanzo vya [[shia|Kishia]] imeelezwa kuwa, Sarah ni binti ya Nabii Lahij na binamu yake Nabii Ibrahim. [3] Katika vyanzo vya historia kuna kauli zingine kama vile, Sarah ni binti ya Batuael bin Nahur, [4] binti ya Labin bin Birthweil bin Nahur [5] na binti ya mfalme Harran. [6]
Ibn Qutayba al-Dinawari, mwanahistoria wa Kisunni wa karne ya 3, amenukuu kutoka kwenye Taurati kwamba Sarah ni mpwa wa Ibrahim. Kwa mujibu wa riwaya yake, Sarah na Lut (a.s.) ni kaka na dada wa baba (wamechangia baba), na ni watoto wa Haran ndugu yake Ibrahim [7] Ibn Kathir, mwanahistoria wa Kisunni (aliyefariki 774 Hijria), amekataa kauli na akazingatia kauli maarufu kwamba Sarah ni binamu yake Ibrahim.
Abdul-Sahib Husseini Amili, mwandishi wa kitabu "al-Anbiya Hayatuhum, Qisasuhum" anaamini kwamba Lut ni kaka wa Sarah kwa kuchangia mama, na si kaka yake kwa upande wa baba; kwa hiyo, Sarah si mpwa wa Ibrahim. Kulingana naye, Sara alikuwa binamu wa Ibrahim. [9]
Sarah, pamoja na Lut, walimwamini Ibrahim na wakawa waumini wa Mungu mmoja. [10] Pia aliolewa na Nabii Ibrahim (as). [11] Sarah ametambulishwa kuwa mmoja wa wanawake wazuri sana wa zama zake. [12] Sara alikuwa akimiliki ardhi ya kilimo na mifugo mingi na alikabidhi milki zake zote Ibrahim. [13]


'''Kuhajiri kwake kwenda Misri'''
Ibn Qutayba al-Dinawari, mwanahistoria wa [[Kisunni]] wa karne ya 3, amenukuu kutoka kwenye [[Torati]] kwamba Sarah ni mpwa wa Ibrahim. Kwa mujibu wa riwaya yake, Sarah na [[Lut (a.s)]] ni kaka na dada wa baba (wamechangia baba), na ni watoto wa Haran ndugu yake Ibrahim [7] Ibn Kathir, mwanahistoria wa Kisunni (aliyefariki 774 Hijiria), amekataa kauli na akazingatia kauli maarufu kwamba Sarah ni binamu yake Ibrahim. Abdul-Sahib Husseini Amili, mwandishi wa kitabu "al-Anbiya Hayatuhum, Qisasuhum" anaamini kwamba Lut ni kaka wa Sarah kwa kuchangia mama, na si kaka yake kwa upande wa baba; kwa hiyo, Sarah si mpwa wa Ibrahim. Kulingana naye, Sara alikuwa binamu wa Ibrahim. [9]


Baada ya da'awa na ulinganiaji wa Ibrahim juu ya kumuabudu Mungu mmoja huko Babylonia (Babeli), watu wachache tu ndio walimwamini, na kwa sababu hii, Ibrahim alihamia Sham pamoja na Sarah na Lut, lakini kutokana na kuenea kwa njaa, ukame na magonjwa, Sarah na mumewe Ibrahim (as) waliondoka na kwenda Misri. [14]
Sarah, pamoja na Lut, walimwamini Ibrahim na wakawa [[waumini wa Mungu mmoja]]. [10] Pia [[aliolewa]] na Nabii Ibrahim (a.s). [11] Sarah ametambulishwa kuwa mmoja wa wanawake wazuri sana wa zama zake. [12] Sara alikuwa akimiliki ardhi ya kilimo na mifugo mingi na alikabidhi milki zake zote Ibrahim. [13]
 
=== Kuhajiri kwake kwenda Misri ===
 
Baada ya da'awa na ulinganiaji wa Ibrahim juu ya kumuabudu Mungu mmoja huko [[Babylonia]] (Babeli), watu wachache tu ndio walimwamini, na kwa sababu hii, Ibrahim alihamia Sham pamoja na Sarah na Lut, lakini kutokana na kuenea kwa njaa, ukame na magonjwa, Sarah na mumewe Ibrahim (as) waliondoka na kwenda Misri. [14]
Kulingana na vyanzo vya historia, mfalme wa Misri alipata habari kuhusu uzuri wa Sarah [15], na Ibrahim akijibu swali alipoulizwa kwamba, ana uhusiano gani na Sarah, akamtambulisha kama dada yake. [16]
Kulingana na vyanzo vya historia, mfalme wa Misri alipata habari kuhusu uzuri wa Sarah [15], na Ibrahim akijibu swali alipoulizwa kwamba, ana uhusiano gani na Sarah, akamtambulisha kama dada yake. [16]
Kama alivyosema Ibn Athir ni kwamba, Ibrahim alikuwa akitambua kwamba, kama atasema Sarah ni mkewe, basi mfalme angetoa amri ya yeye kuuawa, ili amchukue Sarah. Ndio maana akaficha ukweli. [17]
Kama alivyosema Ibn Athir ni kwamba, Ibrahim alikuwa akitambua kwamba, kama atasema Sarah ni mkewe, basi mfalme angetoa amri ya yeye kuuawa, ili amchukue Sarah. Ndio maana akaficha ukweli. [17]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,396

edits