Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Tukio la Karbala au tukio la Ashura ni tukio la vita vya jeshi la Kufa dhidi ya Imamu Hussein (A.S) na masahaba zake huko Karbala. Tukio la Karbala lilitokea tarehe 10 Muharram mwaka wa 61 Hijiria, baada ya Imamu Hussein (A.S) kukataa kutoa kiapo cha utiifu cha kutawadhisha Yazid bin Muawiah kushika nafasi ya ukhalifa. Jambo hilo ndilo lililopelekea kuuawa shahidi Imamu na masahaba zake, kisha kutekwa kwa familia yakebaada ya vita hivyo. Tukio la Karbala...') |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
Tukio la Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio huilo adhimu. | '''Tukio la Karbala''' au '''tukio la Ashura''' (Kiarabu: '''''واقعة کربلا أو واقعة عاشوراء''''') ni tukio la vita vya jeshi la Kufa dhidi ya Imamu Hussein (A.S) na masahaba zake huko Karbala. Tukio la Karbala lilitokea tarehe 10 Muharram mwaka wa 61 Hijiria, baada ya Imamu Hussein (A.S) kukataa kutoa kiapo cha utiifu cha kutawadhisha Yazid bin Muawiah kushika nafasi ya ukhalifa. Jambo hilo ndilo lililopelekea kuuawa shahidi Imamu na masahaba zake, kisha kutekwa kwa familia yakebaada ya vita hivyo. | ||
Tukio la Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio huilo adhimu. واقعة عاشورا | |||
Vuguvugu la Tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha Muawia bin Abi Sufian kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajabu ya mwaka wa 60 Hijria. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia (Yazid). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizka baada ya mateka wa Karbala kurudi Madina. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata kiapo cha utiifu cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (A.S). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina na akaelekea Makka. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya Bani Hashimu na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake. | Vuguvugu la Tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha Muawia bin Abi Sufian kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajabu ya mwaka wa 60 Hijria. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia (Yazid). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizka baada ya mateka wa Karbala kurudi Madina. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata kiapo cha utiifu cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (A.S). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina na akaelekea Makka. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya Bani Hashimu na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake. |