Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:


'''Tukio la Karbala''' au '''tukio la Ashura''' (Kiarabu:  '''''واقعة کربلا أو واقعة عاشوراء''''') ni tukio la vita vya jeshi la Kufa dhidi ya Imamu Hussein (A.S) na masahaba zake huko Karbala. Tukio la Karbala lilitokea tarehe 10 Muharram mwaka wa 61 Hijiria, baada ya Imamu Hussein (A.S) kukataa kutoa kiapo cha utiifu cha kutawadhisha Yazid bin Muawiah kushika nafasi ya ukhalifa. Jambo hilo ndilo lililopelekea kuuawa shahidi Imamu na masahaba zake, kisha kutekwa kwa familia yakebaada ya vita hivyo.
'''Tukio la Karbala''' au '''tukio la Ashura''' (Kiarabu:  '''''واقعة کربلا''''' أو '''''واقعة عاشوراء''''') ni tukio la vita vya [[jeshi la Kufa]] dhidi ya [[Imamu Hussein (a.s)]] na [[masahaba zake]] huko [[Karbala]]. Tukio la Karbala lilitokea tarehe [[10 Muharram]] [[mwaka wa 61 Hijiria]], baada ya Imamu Hussein (a.s) kukataa kutoa [[kiapo cha utiifu]] cha kutawadhisha [[Yazid bin Muawiah]] kushika nafasi ya ukhalifa. Jambo hilo ndilo lililopelekea kuuawa [[shahidi]] Imamu na masahaba zake, kisha [[kutekwa kwa familia yake]] baada ya vita hivyo.


Tukio la Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio huilo adhimu. واقعة عاشورا
Tukio la Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio huilo adhimu.


Vuguvugu la Tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha Muawia bin Abi Sufian kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajabu ya mwaka wa 60 Hijria. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia (Yazid). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizka baada ya mateka wa Karbala kurudi Madina. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata kiapo cha utiifu cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (A.S). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina  na akaelekea Makka. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya Bani Hashimu na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake.
Vuguvugu la Tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[Muawia bin Abi Sufian]] kilichotokea mnamo [[mwezi 15 Rajabu]] ya [[mwaka wa 60 Hijiria]]. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia ([[Yazid]]). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizika baada ya [[Mateka wa Karbala|mateka wa Karbala]] kurudi [[Madina]]. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata kiapo cha utiifu cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (a.s). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina  na akaelekea Makka. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya Bani Hashimu na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake.


Imamu Husein (A.S) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu aliokupo katika mji huo, alipokea barua za maombi -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa watu wa Kufa. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (A.S) alimtuma Muslim bin Aqiil kwenda Kufa na Sulaiman bin Razin kwenda Basra. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (A.S) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (A.S) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe 8 Dhul-Hijjah.
Imamu Husein (a.s) alikaa Makka kwa takriban miezi minne. Wakati huu aliokupo katika mji huo, alipokea barua za maombi -ya kumwita nakumtaka awe ni kiongozi wao- kutoka kwa watu wa Kufa. Ili kupeleleza na kuelewa na kuhakikisha ukweli kuhusiana na maaandishi yaliomo ndani barua hizo, Imamu (a.s) alimtuma Muslim bin Aqiil kwenda Kufa na Sulaiman bin Razin kwenda Basra. Kutokana na kuwepo uwezekano wa kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) huko Makka kupitia mkono wa mawakala wa Yazid, pamoja na kuepo wito wa maombi wa watu wa mji wa Makufi na uthibitisho kutoka kwa mjumbe wa Imamu kwamba mwaliko wa watu wa Kufa ulikuwa ni sahihi, Imamu Hussein (a.s) aliamua kuondoka mjini Makka na kuelekea Kufa mnamo tarehe 8 Dhul-Hijjah.


Kabla ya Imamu Hussein (A.S) kufika Kufa, alikuwa tayari amesha pata  habari kuhusu khiana za watu wa Kufa, na baada ya kukutana na jeshi la Hur bin Yazid Riahi, Imamu aliuelekeza msafara wake  Karbala, ambako alikabiliana na jeshi la Umar bin Sa'ad, jeshi ambalo lilitumwa na Ubaidullah bin Ziad dhidi ya Imamu Hussein (A.S). Majeshi mawili hayo yalipambana mwezi 10 Muharram, siku ambayo inajulikana kama ni siku ya Ashura. Baada ya Imamu Hussein (A.S) na masahaba zake kuuawa mashahidi, jeshi la Omar bin Sa'ad liilikanyaga na kuiponda miili yao kwa farasi. Wakati wa jioni ya siku ya Ashura, jeshi la Yazid lilishambulia mahema ya Imamu Hussein (A.S) na kuyachoma moto, kisha kuwachukua mateka wale walionusurika katika vita hivyo. Miongoni mwa mateka hao ni; Imam Sajjad (A.S), ambaye hakupigana katika vita hivyo kutokana na maradhi, pamoja na bibi Zainab (A.S). Askari wa Omar bin Sa'ad walivichomeka vichwa vya mashahidi kwenye ncha za mikuki na kumfikishia Obaidullah bin Ziad vichwa hivyo pamoja na mateka wa vita hivyo huko mji wa Kufa, na hatimae wakampelekea Yazidi huko huko Syria.
Kabla ya Imamu Hussein (a.s) kufika Kufa, alikuwa tayari amesha pata  habari kuhusu khiana za watu wa Kufa, na baada ya kukutana na jeshi la Hur bin Yazid Riahi, Imamu aliuelekeza msafara wake  Karbala, ambako alikabiliana na jeshi la Umar bin Sa'ad, jeshi ambalo lilitumwa na Ubaidullah bin Ziad dhidi ya Imamu Hussein (a.s). Majeshi mawili hayo yalipambana mwezi 10 Muharram, siku ambayo inajulikana kama ni siku ya Ashura. Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuuawa mashahidi, jeshi la Omar bin Sa'ad liilikanyaga na kuiponda miili yao kwa farasi. Wakati wa jioni ya siku ya Ashura, jeshi la Yazid lilishambulia mahema ya Imamu Hussein (a.s) na kuyachoma moto, kisha kuwachukua mateka wale walionusurika katika vita hivyo. Miongoni mwa mateka hao ni; Imam Sajjad (a.s), ambaye hakupigana katika vita hivyo kutokana na maradhi, pamoja na bibi Zainab (a.s). Askari wa Omar bin Sa'ad walivichomeka vichwa vya mashahidi kwenye ncha za mikuki na kumfikishia Obaidullah bin Ziad vichwa hivyo pamoja na mateka wa vita hivyo huko mji wa Kufa, na hatimae wakampelekea Yazidi huko huko Syria.
Miili ya mashahidi wa Karbala ilizikwa usiku na watu kupitia kabila la Bani Asad baada ya jeshi la Omar Saad kuondoka katika eneo hilo la Karbala.
Miili ya mashahidi wa Karbala ilizikwa usiku na watu kupitia kabila la Bani Asad baada ya jeshi la Omar Saad kuondoka katika eneo hilo la Karbala.


Nafasi na Umuhimu Wake
== Nafasi na umuhimu wake ==
Tukio la Karbala ni moja ya matukio ya karne ya kwanza ya Hijiria ambapo Hussein bin Ali (A.S), mjukuu wa Mtume (S.A.W.W) na Imamu wa tatu wa Mashia, yeye pamoja na idadi ya masahaba zake waliuawa shahidi huko Karbala kwa amri ya Yazid bin Muawia kisha wanawake na watoto wao wakachukuliwa mateka. [1] Tukio hili linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu [chanzo kinahitajika] na ndio tokeo msingi la msimamo dhidi ya Bani Umayya [2] Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti, tukio hili liliwazuia Bani Umayya kupotosha dini ya Uislamu na Sunnah za bwana Mtume (S.A.W.W) [3] Shahidi Motahari anaamini ya kwamba; Miongoni mwa matukio mengi ya kihistoriani kuna matukio machache yenye riwaya za kweli, na kiwango madhubuti  kinazoaminiki kama tukio la Karbala. Kwa mujibu wa imani yake, hakuna tukio hata moja katika historia - hasa katika hstoria za mbali kama vile, za karne kumi na tatu au kumi na nne zilizopita - lenye mashiko na ithibati sahihi kama tukio la Karbala. Na hata wanahistoria wa Kiislamu wenye itibari zaidi na wanaoaminika kutoka karne ya kwanza na ya pili wamesimulia kadhia za tukio  hilo kupitia ithibati na bayana madhubuti, na maelezo ya nukuu zao ni yenye kuwafikiana na kukaribiana kwa kiasi kikubwa. [4] Mashia kila mwaka huadhimisha maombolezo ya tukio hili. Pia kuna kazi nyingi za sanaa na maandishi kuhusiana na tukio la Karbala.


Imamu Husein Kugoma kutoa Kiapo cha Utiifu kwa Yazid
Tukio la Karbala ni moja ya matukio ya karne ya kwanza ya Hijiria ambapo Hussein bin Ali (a.s), mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na Imamu wa tatu wa Mashia, yeye pamoja na idadi ya masahaba zake waliuawa shahidi huko Karbala kwa amri ya Yazid bin Muawia kisha wanawake na watoto wao wakachukuliwa mateka. [1] Tukio hili linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu [chanzo kinahitajika] na ndio tokeo msingi la msimamo dhidi ya Bani Umayya [2] Kwa mujibu wa baadhi ya watafiti, tukio hili liliwazuia Bani Umayya kupotosha dini ya Uislamu na Sunnah za bwana Mtume (s.a.w.w) [3] Shahidi Motahari anaamini ya kwamba; Miongoni mwa matukio mengi ya kihistoriani kuna matukio machache yenye riwaya za kweli, na kiwango madhubuti  kinazoaminiki kama tukio la Karbala. Kwa mujibu wa imani yake, hakuna tukio hata moja katika historia - hasa katika hstoria za mbali kama vile, za karne kumi na tatu au kumi na nne zilizopita - lenye mashiko na ithibati sahihi kama tukio la Karbala. Na hata wanahistoria wa Kiislamu wenye itibari zaidi na wanaoaminika kutoka karne ya kwanza na ya pili wamesimulia kadhia za tukio  hilo kupitia ithibati na bayana madhubuti, na maelezo ya nukuu zao ni yenye kuwafikiana na kukaribiana kwa kiasi kikubwa. [4] Mashia kila mwaka huadhimisha maombolezo ya tukio hili. Pia kuna kazi nyingi za sanaa na maandishi kuhusiana na tukio la Karbala.
Muawia katika uhai wake alifanya juhudi kubwa kwa ajili ya mwanawe, [5] jambo ambalo lilileta tija kwa Yazid daada ya kifo cha Muawiya (kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajab mwaka wa 60 Hijiria), ambapo kwa kutokana na juhudi hizo, watu kadhaa walimuunga mkono Yazid kwa kumpa kiapo cha utiifu baada ya kifo hicho cha baba yake.[6] Bila shaka, kwa mujibu wa makubaliano ya amani kati ya Muawiah na Imam Hassan (A.S), Muawiah hakuwa na haki ya kuteua mrithi wa kushika nafasi ya ukhalifa baada yake. [7] Kutokana na ukweli huo, Yazidi baada ya kifo cha baba yake aliazimia kuchukua kiapo cha utiifu kutoka kwa wakuu wa Waislamu waliokataa wito wa Muawia wa kumpa kiapo cha utiifu mwanawe. [8] Ili kutimiza azimio lake, Yazid aliamua kumwandikia barua Walid bin Utbah (mtwala wa Madina wawakati huo), na kumtaka achukue kiapo cha utiifu kwa mabavu kutoka kwa; Hussein bin Ali, Abdullah bin Omar, Abdul Rahman bin Abi Bakar na Abdullah bin Zubair na Abdullah bin Zubair. Yazid katika barua yake hiyo alimuamuru Walid bin 'Utba kumkata kichwa yeyote yule atakayekataa kutoa kiapo hicho miongoni mwao. Kwa mara ya pili Yazid alimwandikia Walid bin 'Utba barua nyengine na kumwamuru amwandikie barua ya orodha ya majina ya wanaomuunga mkono na wanaopingana naye, na aambatanishe kichwa cha Hussein bin Ali pamoja na majibu ya barua yake hiyo. [10] Walidi akashauriana na Marwani bin Hakam kuhusiana na matakwa hayo, [11] kisha akawamtuma Abdullahi bin Amru, Ibnu Zubair, Abdullah Ibn Omar na Abd al-Rahman Ibn Abi Bakar waende kwa Imamu Hussein (AS). [12]


Imamu Husein (A.S) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini [13] wa karibu yake. [14] Walid alimjuza Imamu Hussein (A.S) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid  kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (A.S). Husein (A.S) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.” [15] Imam (A.S) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.” [16] Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Husein (A.SA) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake. [17] Husein (A.S) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.[18] Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (A.S) akaamua kuondoka Madina. [19]


Kuondoka kwa Imamu Husein kutoka Mji wa Madina
== Imamu Hussein kugoma kutoa kiapo cha utiifu kwa Yazid ==
Takribani kabla ya siku mbili  ya kumalizika mwezi wa Rajab, na kwa mujibu wa riwaya nyingine, mwezi tatu Sha'ban, mwaka wa 60 Hijria [20], Imamu Hussein (A.S) aliondoka Madina yeye pamoja na watu 84 wa familia ya Ahlul Bait, na masahaba zake kuelekea Makka. [21] Kulingana na kauli ya Ibu 'Atham; Kabla ya Imamu Husseina kuondoka Madina, kwanza alikwenda kwenye kaburi la Mtume (S.A.W.W), la bibi Fatima (A.S) na kwenye kaburi la kaka yake (Imamu Hassani) (A.S), na baada ya kuagana nao, ndipo alipoondoka miji Madina. [22] Imamu Hussein (A.S) alifungama na wengi miongoni mwa watu wa karibu yake katika msafara wa kuondoka kwake Madina. Ukiachana Muhammad Hanafia, ambaye hakufungamana na Imamu Hussein (A.S) katika msafara huo (kutokana na ugonjwa wake), yeye alifungamana na watoto wake, ndugu zake wa kiume, ndugu zake kike pamoja na wapwa zake. [24] Mbali na familia ya Bani Hashim, pia kulikuwa na masahaba ishirini na mmoja wa Imamu Hussein (A.S) waliofungamana naye katika safari yake hiyo. [25]


Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Husein) (AS), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (A.S) alimwandikia wasia, unaosema:
[[Muawia]] katika uhai wake alifanya juhudi kubwa kwa ajili ya mwanawe, [5] jambo ambalo lilileta tija kwa Yazid daada ya kifo cha Muawiya (kilichotokea mnamo mwezi 15 Rajab mwaka wa [[60 Hijiria]]), ambapo kwa kutokana na juhudi hizo, watu kadhaa walimuunga mkono Yazid kwa kumpa kiapo cha utiifu baada ya kifo hicho cha baba yake.[6] Bila shaka, kwa mujibu wa makubaliano ya amani kati ya Muawiah na Imam Hassan (a.s), Muawiah hakuwa na haki ya kuteua mrithi wa kushika nafasi ya ukhalifa baada yake. [7] Kutokana na ukweli huo, Yazidi baada ya kifo cha baba yake aliazimia kuchukua kiapo cha utiifu kutoka kwa wakuu wa Waislamu waliokataa wito wa Muawia wa kumpa kiapo cha utiifu mwanawe. [8] Ili kutimiza azimio lake, Yazid aliamua kumwandikia barua Walid bin Utbah (mtwala wa Madina wawakati huo), na kumtaka achukue kiapo cha utiifu kwa mabavu kutoka kwa; Hussein bin Ali, Abdullah bin Omar, Abdul Rahman bin Abi Bakar na Abdullah bin Zubair na Abdullah bin Zubair. Yazid katika barua yake hiyo alimuamuru Walid bin 'Utba kumkata kichwa yeyote yule atakayekataa kutoa kiapo hicho miongoni mwao. Kwa mara ya pili Yazid alimwandikia Walid bin 'Utba barua nyengine na kumwamuru amwandikie barua ya orodha ya majina ya wanaomuunga mkono na wanaopingana naye, na aambatanishe kichwa cha Hussein bin Ali pamoja na majibu ya barua yake hiyo. [10] Walidi akashauriana na Marwani bin Hakam kuhusiana na matakwa hayo, [11] kisha akawamtuma Abdullahi bin Amru, Ibnu Zubair, Abdullah Ibn Omar na Abd al-Rahman Ibn Abi Bakar waende kwa Imamu Hussein (a.s). [12]
 
Imamu Husein (a.s) alikwenda Daru al-Marah (ikulu) huko Madina akiwa na watu thelathini [13] wa karibu yake. [14] Walid alimjuza Imamu Hussein (a.s) kuhusiana na tukio la kifo cha Muawia, kisha akamsomea barua ya Yazid, inayomtaka Walid  kuchukua kiapo cha utiifi kutoka kwa Husein bin Ali (a.s). Husein (a.s) akamwambia Walid: "Nadhani lengo lako ni kwamba; mimi nitoe kiapo hichco cha utiifu mbele ya watu." Waleed akajibu: “Bila shaka hayo ndio maoni yangu.” [15] Imam (a.s) akamjibu kwa kumwambia: “Basi nipe muda hadi kesho ili nifikirie kisha nikujulishe maoni yangu.” [16] Ilipofika wakati wa jioni wa siku iliyofuata; Mtawala wa Madina akawatuma maafisa wake wamfuate Hussein (a.s) nyumbani kwake ili wakachukue jibu lake. [17] Husein (a.s) akaomba aengezewe muda na asubiriwe hadi asubuhi, Walidi akakubali kumpa muhula wa usiku ule hadi asubuhi.[18] Ilipofikia asubiuhi, Imamu Hussein (a.s) akaamua kuondoka Madina. [19]
 
 
== Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina ==
 
Takribani kabla ya siku mbili  ya kumalizika mwezi wa Rajab, na kwa mujibu wa riwaya nyingine, mwezi tatu Sha'ban, mwaka wa 60 Hijria [20], Imamu Hussein (a.s) aliondoka Madina yeye pamoja na watu 84 wa familia ya Ahlul Bait, na masahaba zake kuelekea Makka. [21] Kulingana na kauli ya Ibu 'Atham; Kabla ya Imamu Husseina kuondoka Madina, kwanza alikwenda kwenye kaburi la Mtume (s.a.w.w), la bibi Fatima (a.s) na kwenye kaburi la kaka yake (Imamu Hassani) (a.s), na baada ya kuagana nao, ndipo alipoondoka miji Madina. [22] Imamu Hussein (a.s) alifungama na wengi miongoni mwa watu wa karibu yake katika msafara wa kuondoka kwake Madina. Ukiachana Muhammad Hanafia, ambaye hakufungamana na Imamu Hussein (a.s) katika msafara huo (kutokana na ugonjwa wake), yeye alifungamana na watoto wake, ndugu zake wa kiume, ndugu zake kike pamoja na wapwa zake. [24] Mbali na familia ya Bani Hashim, pia kulikuwa na masahaba ishirini na mmoja wa Imamu Hussein (a.s) waliofungamana naye katika safari yake hiyo. [25]
 
Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema:
إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب.
إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب.
Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (A.S). [26]
Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s). [26]
 
Imamu Husein (a.s) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28]
 
Imamu Hussein (a.s) aliwasili Makka mwezi 3 Shabani mwaka wa 60 Hijiria [29] na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji. [30] Njia ya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, Abwaa, Harsha, Raabigh, Juhfa, Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani. [31]
 
 
== Imam Husein kuwasili Makka ==
 
Imamu Husein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia (mwezi 3 Shaaban hadi mwezi 8 Dhul-Hijjah). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakaazi wa Makka walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba
Abdullah bin Zubair hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). Abdu llahi bin Zubair alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubair, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubair. [32]
 
 
Barua za mwaliko watu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s)
:''Makala Asili: [[Barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s)]]''
 
Wakati Imamu Hussein alipokuwa Makkah, Mashia wa Iraq walielewa ya kwamba Imam Husein (a.s) hakumpa Yazid bin Muawiyah kiapo cha utiifu cha kumtawaza kama ni khalifa wa Waislamu. Kwa hiyo, walikusanyika kwenye nyumba ya Suleiman bin Suradi Khuzai na kumwandikia barua Imamu na kumtaka aende mji wa Kufa. [33] Siku mbili baada ya kutuma barua hiyo, wakatuma tena barua 150 nyengine kwa Imamu Hussein (a.s), kila barua moja kati yake ilikiwa na sahihi ya mtu mmoja hadi wanne. [34]
Husein bin Ali (a.s) alikaa kimya bila kujibu barua hizo, hadi mmiminiko wa barua kutoka kwa watu hao wa mji wa Kufa ukafurutu ada, baada ya kufikia hali hiyo, Imamu Hussein (a.s) akawaandikia barua yenye ujumbe ufuatao:


Imamu Husein (A.S) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (A.S) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (A.S). Imamu (A.S) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (A.S) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28]
''...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- [[Imamu]] ni mtu atendaye kulingana na [[kitabu cha Mwenyezi Mungu]] tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili [[Mungu]].'' [35]


Imamu Hussein (A.S) aliwasili Makka mwezi 3 Shabani mwaka wa 60 Hijiria [29] na akakaribishwa na watu wa Makka pamoja na mahujaji. [30] Njia ya msafara wa Imamu Hussein (A.S) kutoka Madina kwenda Makka ilipitia vituo vifuatavyo: Dhu l-Hulayfa, Milal, Sayyala, 'Irqu Dhabyin, Zawhaa, Anaya, 'Araj, Lahr Jamal, Suqyaa, Abwaa, Harsha, Raabigh, Juhfa, Qadiid, Khaliis, 'Usfaan na Murru Al-Dhuhrani. [31]


Imam Husein Kuwasili Makka
'''Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa'''
Imamu Husein (A.S) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia (mwezi 3 Shaaban hadi mwezi 8 Dhul-Hijjah). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakaazi wa Makka walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba
Abdullah bin Zubair hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (A.S). Abdu llahi bin Zubair alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubair, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubair. [32]


Barua za mwaliko Watu wa Kufa kwa Imam Hossein (AS)
Imamu Husein (a.s) alimpa barua Muslim bin Aqiil, binamu yake, aende Iraq akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy, [37] au nyumba ya Muslim bin Ausajah. [38] Mashia wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua kiapo cha utiifu kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44]
Makala Asili: Barua za Watu wa Kufa kwa Imamu Husein (A.S)
Wakati Imamu Husein alipokuwa Makkah, Mashia wa Iraq walielewa ya kwamba Imam Husein (A.S) hakumpa Yazid bin Muawiyah kiapo cha utiifu cha kumtawaza kama ni khalifa wa Waislamu. Kwa hiyo, walikusanyika kwenye nyumba ya Suleiman bin Suradi Khuzai na kumwandikia barua Imamu na kumtaka aende mji wa Kufa. [33] Siku mbili baada ya kutuma barua hiyo, wakatuma tena barua 150 nyengine kwa Imamu Hussein (A.S), kila barua moja kati yake ilikiwa na sahihi ya mtu mmoja hadi wanne. [34]
Husein bin Ali (A.S) alikaa kimya bila kujibu barua hizo, hadi mmiminiko wa barua kutoka kwa watu hao wa mji wa Kufa ukafurutu ada, baada ya kufikia hali hiyo, Imamu Hussein (A.S) akawaandikia barua yenye ujumbe ufuatao:


...Mimi ninamtuma ndugu yangu ambaye ni binamu yangu naye ni mtu ninayemwamini kati ya watu wa nyumbani kwangu (familia yangu). Nimemwambia anijulishe kuhusiana hali halisi ilivyo, harakati zenu pamoja na itikadi zenu. Ikiwa ataniandikia kwamba; uhakika wa hali zenu unaendana sawa na maandishi ya barua zenu, basi bila shaka Mungu akipenda nitakuja mjini kwenu...-Eleweni ya kwamba- Imamu ni mtu atendaye kulingana na kitabu cha Mwenyezi Mungu tu, anayetekeleza uadilifu, anayeamini dini ya haki, na anayejitolea kwa ajili Mungu. [35]
Yazid, aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia  Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa Numan bin Bashir (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua Ubaidullah bin Ziad, ambaye alikuwa ni mtawala wa Basra wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa. [45] Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (a.s), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo. [46] Ripoti za historia zinaeleza juu ya hofu ya watu kutokana na propaganda za Ubaidullah, khofu ambayo iliwafnya watawanyike kwa haraka mno na kuachana na Muslim bin 'Aqiil, hadi ikafikia hali ya Muslim kuachwa peke yake akiwa hana maha pa kulala. [47] Hali hiyo ya iliendelea hatimaye baada ya mzozo fulani, alijisalimisha kupitia barua ya amani ya Muhammad bin Ash'ath [48] na kupelekwa ikulu. Ila Ibnu Ziad akaidharau na kuitupilia mbali barua ya amani ya Ibnu Ash'ath, kisha akaamuru wafuasi wake kumkata kichwa Muslim bin 'Aqiil. [49]


Muslim bin Aqiil Kutumwa Mji wa Kufa
Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia Omar bin Sa'ad, ambaye anatokana na kabila la Quraishi, kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makaazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Zubaala. [51]
Imamu Husein (A.S) alimpa barua Muslim bin Aqiil, binamu yake, aende Iraq akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy, [37] au nyumba ya Muslim bin Ausajah. [38] Mashia wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua kiapo cha utiifu kwa ajili ya Imamu Husein (A.S) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (A.S) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44]


Yazid, aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia  Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa Numan bin Bashir (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua Ubaidullah bin Ziad, ambaye alikuwa ni mtawala wa Basra wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa. [45] Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (A.S), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo. [46] Ripoti za historia zinaeleza juu ya hofu ya watu kutokana na propaganda za Ubaidullah, khofu ambayo iliwafnya watawanyike kwa haraka mno na kuachana na Muslim bin 'Aqiil, hadi ikafikia hali ya Muslim kuachwa peke yake akiwa hana maha pa kulala. [47] Hali hiyo ya iliendelea hatimaye baada ya mzozo fulani, alijisalimisha kupitia barua ya amani ya Muhammad bin Ash'ath [48] na kupelekwa ikulu. Ila Ibnu Ziad akaidharau na kuitupilia mbali barua ya amani ya Ibnu Ash'ath, kisha akaamuru wafuasi wake kumkata kichwa Muslim bin 'Aqiil. [49]


Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (A.S), alimuusia Omar bin Sa'ad, ambaye anatokana na kabila la Quraishi, kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makaazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Zubaala. [51]
== Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa ==


Safari ya Imamu Hossein (A.S) Kuelekea Mji wa Kufa
Imamu Husein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo siku ya nane ya Dhul-Hijjah [52] siku ambayo Muslim alisimama kwa ajili ya Hussein (a.s) mjini humo akiwa pamoja na watu 82, [53] ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo Kufa. [54]
Imamu Husein (A.S) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo siku ya nane ya Dhul-Hijjah [52] siku ambayo Muslim alisimama kwa ajili ya Hussein (A.S) mjini humo akiwa pamoja na watu 82, [53] ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo Kufa. [54]


Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Mufid, Imamu Husein (A.S) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka hijja na kwenda ibada ya umra kisha akavua ihram. [55] Hata hivyo kutokana na ushahidi wa kihistoria na simulizi kadhaa, kuna baadhi ya watafiti  waliosema kwamba; Tokea mwanzo Imamu Husein alikusudia kufanya ibada ya umra, na baada ya kumaliza ibada yake hiyo, aliondoka mjini Makka. [56]
Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Mufid, Imamu Hussein (a.s) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka hijja na kwenda ibada ya umra kisha akavua ihram. [55] Hata hivyo kutokana na ushahidi wa kihistoria na simulizi kadhaa, kuna baadhi ya watafiti  waliosema kwamba; Tokea mwanzo Imamu Husein alikusudia kufanya ibada ya umra, na baada ya kumaliza ibada yake hiyo, aliondoka mjini Makka. [56]


Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu Husein  (A.S) alikaa huko Makka, ambapo ilikuwa ikishakiwa ya kwamba; kuna uwezekano wa Imamu Hussein (A.S) kusafiri na kulekea mji Kufa, baadhi ya watu, akiwemo Abdullah bin Abbas, walikwenda kwake ili kumzuia asisafiri kuelekea Kufa, ila juhuidi zao hazikufanikiwa. [57]
Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu Husein  (a.s) alikaa huko Makka, ambapo ilikuwa ikishakiwa ya kwamba; kuna uwezekano wa Imamu Hussein (a.s) kusafiri na kulekea mji Kufa, baadhi ya watu, akiwemo Abdullah bin Abbas, walikwenda kwake ili kumzuia asisafiri kuelekea Kufa, ila juhuidi zao hazikufanikiwa. [57]


Baada ya Imamu Husein (A.S) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa 'Amru bin Said bin 'Aas - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Husein (A.S), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. [58]
Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa 'Amru bin Said bin 'Aas - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. [58]


Vituo vya Mapumziko vya Msafara Kutoka Makka hadi Kufa
'''Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa'''
Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (A.S) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo:


1- Bustan Banu Amir.
Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo:
2- Tan'im (Mahala ambapo Imamu Hussein (A.S)  aliuteke msafara uliokuwa ukiongozwa na Buhairu bin Risani al-Himyari, wakala wa Yazid huko Yemen ambaye alikuwa akimpelekea ngawira kutoka mji wa Safaya kwenda Syria).
3- Sifah: Mahala ambapo Imamu (A.S) alikutana mshairi maarufu Farazdaq.
4- Dhatu 'Irqi: Mahala ambapo Imam (A.S) alikutana na Bishru bin al-Ghalib na 'Aunu bin 'Abdullahi bin Ja'far.
5- Wadi l-Aqiq.
6- Ghamra.
7- Ummu Khirman.
8- Salah.
9- Afi'iyyah
10- Ma'adin al-Fuzan.
11- 'Umqu.
12- Sulailiyya.
13- Mughaitha Ma'awan.
14- Nuqra.
15- Haajir: Mahala ambapo Imamu (A.S) alimtuma Qais bin Mushir kwenda mji wa Kufa.
16- Sumaira.
17- Tuaz.
18- Ajfar: Mahala alipokutana Imamu Hussein (A.S) na  na 'Abdullah bin al-Muti'i al-'Adawi na kumnasihi Imamu (A.S) arejee na asiendelea na safari yake.
19- Khuzaimiya.
20- Zarud (Zuhayr bin al-Qain kuungana na msafara wa Imamu (A.S) na Imamu Hussein kukutana na watoto wa Muslim na kupokea habari za kuuawa shahidi Muslim na Hani.
21- Al-Tha'alabiyyah.
22- Batani.
23- Shuquuq.
24- Zubala: Alipopokea habari za kifo cha kishahidi cha Qais na kundi la watu kujiunga na msafara wa Imam (A.S) akiwemo Nafi'i bin Hilal.
25- Batnu al-'Aqaba: Mahapa ambapo Imamu (A.S) alikutana na 'Amru bin Luzan na ushauri wake kwa Imam (A.S) wa kumtaka kurejea.
26- 'Amiyyah
27- Waqisa.
28- Sharaf.
29- Birka Abu al-Misk.
30- Dhu Husam: Imamu Hussein (A.S) kukutana na jeshi la Hurru bin Yazid al-Riyahi.
31- Baidha: Mahala alipotoa Imamu (A.S) hotuba  maarufu kwa masahaba zake pamoja na Hurru.
32- Musaijad.
33- Hamam.
34- Mughaitha
35- Ummu Qar'wan.
36- 'Udhaibu al-Hijanaati (njia ya Kufa ilikuwa ni kutoka Udhaibu hadi Qadisiyyah na al-Hira, lakini Imamu (A.S) alibadilisha njia yake na hatiame akasimama Karbala.
37- Qasr Bani Muqatil: Mahala Imamu (A.S) alipokutana na Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi na kukataa kwake kumsaidia Imamu (A.S)
38- Qatqatana.
Karbala, Wadi Al-Taff: Imamu Hussein (A.S) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram mwaka wa 61 Hijiria. [59]


# Bustan Banu Amir.
# Tan'im (Mahala ambapo Imamu Hussein (a.s)  aliuteke msafara uliokuwa ukiongozwa na Buhairu bin Risani al-Himyari, wakala wa Yazid huko Yemen ambaye alikuwa akimpelekea ngawira kutoka mji wa Safaya kwenda Syria).
# Sifah: Mahala ambapo Imamu (a.s) alikutana mshairi maarufu Farazdaq.
# Dhatu 'Irqi: Mahala ambapo Imam (a.s) alikutana na Bishru bin al-Ghalib na 'Aunu bin 'Abdullahi bin Ja'far.
# Wadi l-Aqiq.
# Ghamra.
# Ummu Khirman.
# Salah.
# Afi'iyyah
# Ma'adin al-Fuzan.
# 'Umqu.
# Sulailiyya.
# Mughaitha Ma'awan.
# Nuqra.
# Haajir: Mahala ambapo Imamu (a.s) alimtuma Qais bin Mushir kwenda mji wa Kufa.
# Sumaira.
# Tuaz.
# Ajfar: Mahala alipokutana Imamu Hussein (a.s) na  na 'Abdullah bin al-Muti'i al-'Adawi na kumnasihi Imamu (a.s) arejee na asiendelea na safari yake.
# Khuzaimiya.
# Zarud (Zuhayr bin al-Qain kuungana na msafara wa Imamu (a.s) na Imamu Hussein kukutana na watoto wa Muslim na kupokea habari za kuuawa shahidi Muslim na Hani.
# Al-Tha'alabiyyah.
# Batani.
# Shuquuq.
# Zubala: Alipopokea habari za kifo cha kishahidi cha Qais na kundi la watu kujiunga na msafara wa Imam (a.s) akiwemo Nafi'i bin Hilal.
# Batnu al-'Aqaba: Mahapa ambapo Imamu (a.s) alikutana na 'Amru bin Luzan na ushauri wake kwa Imam (a.s) wa kumtaka kurejea.
# 'Amiyyah
# Waqisa.
# Sharaf.
# Birka Abu al-Misk.
# Dhu Husam: Imamu Hussein (a.s) kukutana na jeshi la Hurru bin Yazid al-Riyahi.
# Baidha: Mahala alipotoa Imamu (a.s) hotuba  maarufu kwa masahaba zake pamoja na Hurru.
# Musaijad.
# Hamam.
# Mughaitha
# Ummu Qar'wan.
# 'Udhaibu al-Hijanaati (njia ya Kufa ilikuwa ni kutoka Udhaibu hadi Qadisiyyah na al-Hira, lakini Imamu (a.s) alibadilisha njia yake na hatiame akasimama Karbala.
# Qasr Bani Muqatil: Mahala Imamu (a.s) alipokutana na Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi na kukataa kwake kumsaidia Imamu (a.s)
# Qatqatana.
Karbala, Wadi Al-Taff: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram mwaka wa 61 Hijiria. [59]


Akiwa njiani Imam Hussein (A.S), alijaribu kuwavutia  au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa Dhatu 'Irqi, ambapo Bishr bin Ghalib Al-Asadi alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (A.S) kuhusu Aya isemayo:  
Akiwa njiani Imam Hussein (a.s), alijaribu kuwavutia  au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa Dhatu 'Irqi, ambapo Bishr bin Ghalib Al-Asadi alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (A.S) kuhusu Aya isemayo:  
«یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم»
«یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم»
"Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao". [60] Imamu Hussein (A.S) akasema: "Kuna makundi mawili ya maimamu; kundi linalowalingania watu kwenye uwongofu na kundi linalowalingania kwenye upotovu." Hivyo basi yeyote yule atakayemfuata imamu wa uongofu atakwenda Peponi, na atakayemfuata imamu wa upotofu ataingia motoni. [61] Bishr bin Ghalib hakufuatana na Imam Hussein (A.S) katika mapambano yake dhidi ya dhulma. Inasemekana ya kwamba; baada ya kumalizika kwa tukio la Karbala, yeye alikuwa alikuwa akienda kulia kwenye kaburi la Imamu Husein (A.S) akidhihirisha majuto yake kwa kutomsaidia Imamu Hussein (A.S). [62]
"Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao". [60] Imamu Hussein (a.s) akasema: "Kuna makundi mawili ya maimamu; kundi linalowalingania watu kwenye uwongofu na kundi linalowalingania kwenye upotovu." Hivyo basi yeyote yule atakayemfuata imamu wa uongofu atakwenda Peponi, na atakayemfuata imamu wa upotofu ataingia motoni. [61] Bishr bin Ghalib hakufuatana na Imam Hussein (a.s) katika mapambano yake dhidi ya dhulma. Inasemekana ya kwamba; baada ya kumalizika kwa tukio la Karbala, yeye alikuwa alikuwa akienda kulia kwenye kaburi la Imamu Hussein (a.s) akidhihirisha majuto yake kwa kutomsaidia Imamu Hussein (a.s). [62]
 
Katika eneo laTha'albiyya, mtu mmoja aitwaye Abu Hirrah Al-Azdi alikuja kwa Imamu Hussein (a.s) na kumuuliza makusudio ya safari yake hiyo, na Imamu Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema:
 
Bani Umayya wamechukua mali yangu, nikavuta subra, wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenyezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali. [63]
 


Katika eneo laTha'albiyya, mtu mmoja aitwaye Abu Hirrah Al-Azdi alikuja kwa Imamu Hussein (A.S) na kumuuliza makusudio ya safari yake hiyo, na Imamu Hussein (A.S) akamjibu kwa kusema:
Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la Batnu al-Rummah, aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa Qais bin Musahhar Al-Saidawiy. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa Ubaidullah bin Ziad huko Qadisiyyah, ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Husein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Musahhar Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe hiamaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65]


Bani Umayya wamechukua mali yangu, nikavuta subra, wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenye Ezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali. [63]


'''Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda Mji wa Kufa'''


Imamu Husein (AS) alipofika eneo la Batnu al-Rummah, aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa Qais bin Musahhar Al-Saidawiy. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa Ubaidullah bin Ziad huko Qadisiyyah, ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Husein (A.S) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Husein (AS) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Musahhar Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (A.S) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (A.S) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenye Ezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe hiamaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65]
Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma Abdullah ibn Yaqtar, kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na Huswein bin Tamimi na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya mwana wa Marjana." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na Hani, zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la Zubaleh. [69]


Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar Kwenda Mji wa Kufa
'''Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra'''
Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (A.S) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma Abdullah ibn Yaqtar, kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na Huswein bin Tamimi na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (A.S) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (A.S), ambaye ni mjukuu wa Mtume (S.A.W.W) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya mwana wa Marjana." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na Hani, zilimfikia Imamu Hussein (A.S) akiwa kwenye makazi ya eneo la Zubaleh. [69]
:''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]''


Barua ya Imamu Husein kwa Gavana wa Basra
Makala Asili: Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra
Imam Hussein (A.S) aliwaandikia barua wazee (wakuu wa makabila) wa Basra na akaituma barua hiyo kupitia Salim bin Razien kwa viongozi wa makabila matano ya Basra (yaani: 'Aaliyah, Bakru bin Wael, Tamim, Abdu al-Qais, na Azdi). [70] Salim aliwasilisha nakala ya barua ya Imamu kwa kila mmoja wa viongozi wa Basra ambao ni; Malik bin Musmi'i Bakri, Ahnaf bin Qais, Mundhir bin Jaaruud, Mas'uud bin Amru, Qais bin Haitham, na Amru bin Ubaidullah bin Ma'amar. [71] Yaliyomo ndani ya barua hiyo yalikuwa ni wito wa kufuata Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume Muhammad (S.A.W.W), kwani Sunnah ilikuwa imeachwa na uzushi umechukua nafasi yake. Imamu aliahidi kuwaongoza kwenye njia iliyonyooka ikiwa watasikiliza maneno yake na kufuata maamrisho yake. [72]
Imam Hussein (A.S) aliwaandikia barua wazee (wakuu wa makabila) wa Basra na akaituma barua hiyo kupitia Salim bin Razien kwa viongozi wa makabila matano ya Basra (yaani: 'Aaliyah, Bakru bin Wael, Tamim, Abdu al-Qais, na Azdi). [70] Salim aliwasilisha nakala ya barua ya Imamu kwa kila mmoja wa viongozi wa Basra ambao ni; Malik bin Musmi'i Bakri, Ahnaf bin Qais, Mundhir bin Jaaruud, Mas'uud bin Amru, Qais bin Haitham, na Amru bin Ubaidullah bin Ma'amar. [71] Yaliyomo ndani ya barua hiyo yalikuwa ni wito wa kufuata Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume Muhammad (S.A.W.W), kwani Sunnah ilikuwa imeachwa na uzushi umechukua nafasi yake. Imamu aliahidi kuwaongoza kwenye njia iliyonyooka ikiwa watasikiliza maneno yake na kufuata maamrisho yake. [72]


Automoderated users, confirmed, movedable
7,580

edits