Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 54: Mstari 54:
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani==
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani==


Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, suratu Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa ng'ombe wa Wana wa Israeli ndani ya Sura hiyo, na Suratu An-Nisa imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake. [47] Baadhi ya Sura za Qurani zina majina zaidi ya moja. Kwa mfano, Suyuti ameelezea idadi ya majina 25 tofauti kwa ajili ya suratu Al-Fatiha. [48]
Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, surat Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa [[ng'ombe wa Wana wa Israeli]] ndani ya Sura hiyo, na [[Surat An-Nisa]] imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake. [47] Baadhi ya Sura za Qurani zina majina zaidi ya moja. Kwa mfano, Suyuti ameelezea idadi ya majina 25 tofauti kwa ajili ya [[surat Al-Fatiha]]. [48]


Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana Mtume (s.a.w.w) kupitia ufunuo au ulifanywa na Masahaba baada yake. [49] Baadhi ya watafiti wa Qurani kama vile Al-Zarkashi na Al-Suyuti wanaamini kwamba; Uwekaji majina wa Sura za Qur’ani ulifanywa na bwana Mtume mwenyewe, na ni suala la tawqifiyyun, [50] yaani haupaswi kubadilishwa majina hayo. [51] Kwa kutegemea hoja hii ya kwamba; Majina ya Sura za Qur’ani yamewekwa na bwamna Mtume (s.a.w.w) kwa mwongozo wa wahyi, na kuwepo umarufuku wa kuleta mabadiliko ndani yake, baadhi ya waandishi wameuelezea uwekaji wa majina ya Sura za Qur’ani kama ni sehemu ya miujiza ya kifasihi ya Qurani, wakidai kwamba; kusudio kuu na muhtasari wa Sura unaweza kueleweka kutoka kwa majina hayo. [52]
Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] kupitia ufunuo au ulifanywa na [[Masahaba]] baada yake. [49] Baadhi ya watafiti wa Qurani kama vile Al-Zarkashi na Al-Suyuti wanaamini kwamba; Uwekaji majina wa Sura za Qur’ani ulifanywa na bwana Mtume mwenyewe, na ni suala la [[tawqifiyyun]], [50] yaani haupaswi kubadilishwa majina hayo. [51] Kwa kutegemea hoja hii ya kwamba; Majina ya Sura za Qur’ani yamewekwa na bwamna Mtume (s.a.w.w) kwa mwongozo wa wahyi, na kuwepo umarufuku wa kuleta mabadiliko ndani yake, baadhi ya waandishi wameuelezea uwekaji wa majina ya Sura za Qur’ani kama ni sehemu ya [[miujiza ya kifasihi ya Qurani]], wakidai kwamba; kusudio kuu na muhtasari wa Sura unaweza kueleweka kutoka kwa majina hayo. [52]


Kinyume na mtazamo wa Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i na Abdullah Jawadi Amuli, baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu. [53] Kwa mtazamo wao ni kwamba; hata katika zama za Mtume (s.a.w.w), majina ya Sura nyingi yaliibuka kutokana na Masahaba kutumia majina hayo mara kwa mara. [54] Kwa mujibu wa maoni ya Jawadi Amuli, haiwezekani Sura yenye maarifa ya kiwango cha juu na hekima za kupindukia, ipewe jina la mnyama, au kwa mfano; Suratu al-An'am ambayo ina majadiliano na tafiti kahdaa kuhusiana na tauhidi, iitwe kwa jina la al-An'am leneye maana ya “wanyama, au Surat al-Namli yenye visa kadhaa vya mitume ije kuitwa kwa jina la al-Namlu kwa maana ya mdudu chungu (sisimizi). [55]
Kinyume na mtazamo wa [[Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i]] na [[Abdullah Jawadi Amuli]], baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu. [53] Kwa mtazamo wao ni kwamba; hata katika zama za Mtume (s.a.w.w), majina ya Sura nyingi yaliibuka kutokana na Masahaba kutumia majina hayo mara kwa mara. [54] Kwa mujibu wa maoni ya Jawadi Amuli, haiwezekani Sura yenye maarifa ya kiwango cha juu na hekima za kupindukia, ipewe jina la mnyama, au kwa mfano; [[Surat al-An'am]] ambayo ina majadiliano na tafiti kahdaa kuhusiana na tauhidi, iitwe kwa jina la al-An'am leneye maana ya wanyama, au [[Surat al-Namli]] yenye visa kadhaa vya mitume ije kuitwa kwa jina la al-Namlu kwa maana ya mdudu chungu (sisimizi). [55]


==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits