Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sura''' (Kiarabu: {{Arabic|السورة}}) ni istilahi ya Qur'ani, imaanishayo mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] zenye mwanzo na mwisho ulio wazi na maalumu, mara nyingi Sura za Qur’ani huanza na [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]]. Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; Aya zote zilizoko katika Sura moja, zina uhusiano na zote kwa pamoja zinafuata au zinahusiana na mada kuu moja ya Sura hiyo. Kwa kuwa baadhi ya Sura za Qur'ani zina aina fulani kufanana, hilo limepelekea Sura hizo kugawanywa katika makundi mbalimbali kutokana na kufanana kwake huko. Kugawanya kwa Sura za Qur’ani wakati mwengine huwa ni kulingana na zama za kushuka kwake ([[Makka]] au [[Madina]]) {{Maelezo| Kuhusiana na suala la kuteremshwa kwa Qur’ani, ni kwamba; Kuna Sura zilizoteremshwa katika zama ambazo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Makka, nazo ndizo Sura ziitwazo Makkiyyah, na kuna Sura zilizoteremshwa wakati ambo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Madina, nazo ndizo ziitwazo Madaniyyah}} na wakati mwengine ni kulingana na idadi ya Aya, ambapo Sura hizo za Qur’ani zimegawanwa na kumepewa majina tofauti, kama vile ([[Sab’u Tiwal]], [[Mi-un]], [[Mathani]] na [[Mufassal]]).
'''Sura''' (Kiarabu: {{Arabic|السورة}}) ni istilahi ya Qur'ani, imaanishayo mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] zenye mwanzo na mwisho ulio wazi na maalumu, mara nyingi Sura za Qur’ani huanza na [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]]. Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; Aya zote zilizoko katika Sura moja, zina uhusiano na zote kwa pamoja zinafuata au zinahusiana na mada kuu moja ya Sura hiyo. Kwa kuwa baadhi ya Sura za Qur'ani zina aina fulani ya kufanana, hilo limepelekea Sura hizo kugawanywa katika makundi mbalimbali kutokana na kufanana kwake huko. Kugawanya kwa Sura za Qur’ani wakati mwengine huwa ni kulingana na zama za kushuka kwake ([[Makka]] au [[Madina]]), {{Maelezo| Kuhusiana na suala la kuteremshwa kwa Qur’ani, ni kwamba; Kuna Sura zilizoteremshwa katika zama ambazo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Makka, nazo ndizo Sura ziitwazo Makkiyyah, na kuna Sura zilizoteremshwa wakati ambo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Madina, nazo ndizo ziitwazo Madaniyyah}} na wakati mwengine ni kulingana na idadi ya Aya, ambapo Sura hizo za Qur’ani zimegawanywa na kupewa majina tofauti, kama vile ([[Sab’u Tiwal]], [[Mi-un]], [[Mathani]] na [[Mufassal]]).

Kwa mujibu wa maoni maarufu ya watafiti wa Qur'an ni kwamba; Qur'an ina sura 114. Hata hivyo, waandishi wengine, bila kupunguza Aya zilizoko ndani ya Qur'an, wamedai kuwa idadi ya Sura za Qur'an ni 112 au 113. Hii ni kwa sababu baadhi yao wanaamini kuwa [[Surat al-Tawba]] ni mwendelezo wa [[Surat al-Anfal]] na si miongoni mwa Sura zinazojitegemea. Wengine pia hawakuizingatia [[Surat al-Fil]] na [[Quraish]], wala [[Surat al-Duha]] na [[Inshirah]] kuwa ni Sura zinazojitegemea. Kila moja ya Sura za Qur'an imepewa jina maalum, na mara nyingi jina hilo huchukuliwa kutoka ndani ya maneno ya mwanzo ya Sura au kutoka kwenye maudhui yake. Watafiti wa Qur'ani wanaamini kuwa; Majina ya Sura za Qur’ani yalichaguliwa na bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] mwenyewe, na hairuhusiwi kuitwa kwa jina jingine. Lakini watafiti wengine wanapinga mtazamo huu, wakidai kuwa; Majina ya Sura yalikuja baada ya muda fulani, kutokana na matumizi ya mara kwa mara ya watu katika kuziita Sura hizo kwa majina hayo maalumu.
Kwa mujibu wa maoni maarufu ya watafiti wa Qur'an ni kwamba; Qur'an ina sura 114. Hata hivyo, waandishi wengine, bila kupunguza Aya zilizoko ndani ya Qur'an, wamedai kuwa idadi ya Sura za Qur'an ni 112 au 113. Hii ni kwa sababu baadhi yao wanaamini kuwa [[Surat al-Tawba]] ni mwendelezo wa [[Surat al-Anfal]] na si miongoni mwa Sura zinazojitegemea. Wengine pia hawakuizingatia [[Surat al-Fil]] na [[Quraish]], wala [[Surat al-Duha|Surat al-Dhuha]] na [[Inshirah]] kuwa ni Sura zinazojitegemea. Kila moja ya Sura za Qur'an imepewa jina maalum, na mara nyingi jina hilo huchukuliwa kutoka ndani ya maneno ya mwanzo ya Sura au kutoka kwenye maudhui yake. Watafiti wa Qur'ani wanaamini kuwa, majina ya Sura za Qur’ani yalichaguliwa na bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] mwenyewe, na hairuhusiwi kuitwa kwa jina jingine. Lakini watafiti wengine wanapinga mtazamo huu, wakidai kuwa, majina ya Sura yalikuja baada ya muda fulani, kutokana na matumizi ya mara kwa mara ya watu katika kuziita Sura hizo kwa majina hayo maalumu.

Ni Sura ipi ya kwanza kabisa na ya mwisho kabisa iliyoteremshwa kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], ni miongoni mwa masuala yanayojadiliwa katika [[fani ya elimu za Qur'an]] (‘Ulumu al-Qur’ani). Kwa mujibu wa maoni ya baadhi watafiti wa Qur’ani, ni kwamba; [[Surat Fatihatu al-Kitab]] (Sura al-Fatiha), ndiyo ya kwanza kuteremshwa, na [[Surat al-Nasri]] ndiyo ya mwisho iliyoteremshwa kwa ukamilifu kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Kuna Hadithi nyingi zinazohusiana na [[faida za Sura za Qur'ani]] ndani ya vyanzo vya Hadithi vya Shia pamoja na Sunni. Hata hivyo, watafiti wamezitila shaka Hadithi nyingi kati ya hizo, na wakazijadili kwa upande wa kimapokezi (sanad) na pia kwa upande wa kimatini.
Ni Sura ipi ya kwanza kabisa na ya mwisho kabisa iliyoteremshwa kwa Bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], ni miongoni mwa masuala yanayojadiliwa katika [[fani ya elimu za Qur'an]] (‘Ulumu al-Qur’ani). Kwa mujibu wa maoni ya baadhi watafiti wa Qur’ani, ni kwamba, [[Surat Fatihatu al-Kitab]] (Sura al-Fatiha), ndiyo ya kwanza kuteremshwa, na [[Surat al-Nasri]] ndiyo ya mwisho iliyoteremshwa kwa ukamilifu kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Kuna Hadithi nyingi zinazohusiana na [[faida za Sura za Qur'ani]] ndani ya vyanzo vya Hadithi vya Shia pamoja na Sunni. Hata hivyo, watafiti wamezitila shaka Hadithi nyingi kati ya hizo, na wakazijadili kwa upande wa kimapokezi (sanad) na pia kwa upande wa kimatini.

== Maana ya Sura na Umuhimu Wake katika Tafiti za Kiislamu ==
==Maana ya Sura na Umuhimu Wake katika Tafiti za Kiislamu==

Sura ni istilahi inayotumika katika Qur'ani, inayomaanisha mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] ambazo ni zenye mwanzo na mwisho maalum. Mara nyingi Sura za Qur’ani huanza kwa [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]] (isipokuwa [[Surat al-Tawba]] ambayo haina Bismillahir Rahmanir Rahim). [1] Katika baadhi ya maandiko, Sura za Qur'an zimefananishwa na Sura za kitabu, [2] lakini baadhi ya watafiti wameona kuwa mlinganisho huu si sahihi, kwa sababu Sura za Qur'ani hazina sifa za sura za kitabu. [3] Miongoni mwa migawanyo mbalimbali ya Qur'ani, mgawanyo wake kupitia mfumo wa [[juzuu]] na [[hizb]], na mgawanyo wake kupitia mfumo wa Aya na Sura, ndio migawanyo pekee iliyokubalika kuwa ndiyo migawanyiko ya kweli ya Qur'ani yenye asili ya kiqur’ani. [4]

Mstari 15: Mstari 15:
Pia imeelezwa kuwa; Mwanzoni mwa [[utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], neno Sura lilikuwa likirejelea sehemu tu ya Aya za Qur'ani zinazo fungamana kimaana. Kwa maana hii, [[Surat al-Baqara]] yenyewe itakuwa na idadi ya karibu ya Sura thelathini. [13] Hata hivyo, katika miaka ya mwishoni mwa maisha ya bwana Mtume (s.a.w.w), neno Sura lilianza kutumika kama tunavyolifahamu leo hii.[14] Majiid Ma'arif, mtafiti wa Kiislamu, anaamini kwamba; Jambo hili limeleta tofauti kati ya madhehebu ya [[Shia]] na [[Sunni]], kwani kwa mujibu wa [[fiqhi ya Kishia]], baada ya Surat al-Hamdu katika swala, ni lazima kusoma Sura moja kamili ya Qur'ani (isipokuwa haifai kusoma [[ Azaim al-Sujud|Sura zenye sajda]]), lakini katika fiqhi ya Kisunni, ni kwamba, baada ya kusoma Surat al-Hamdu katika swala, basi unaweza kusoma sehemu yoyote ile ya Qur'ani. [15]

== Mgawanyo wa Sura ==
==Mgawanyo wa Sura==

Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti. [17]
Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti. [17]
Mstari 29: Mstari 29:
Sura za Qurani zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na urefu au ufupi wake. Kulingana na kigezo hicho, Sura za Qur’ani zimegawika katika makundi yafuatayo; Sura za Sab'un Tiwaal, Mi-un, Mathani, na Al-Mufassalaat. [23]

# Sab'un Tiwaal: Sura hizi zimepewa jina hili kutokana na wa wingi Aya zake, nazo ni Sura saba: Al-Baqarah, Al-Imran, An-Nisa, Al-Ma'idah, Al-An'am, Al-A'raf, na Al-Anfal (au Surat Yunus badala ya Al-Anfal). [24]
#Sab'un Tiwaal: Sura hizi zimepewa jina hili kutokana na wa wingi Aya zake, nazo ni Sura saba: Al-Baqarah, Al-Imran, An-Nisa, Al-Ma'idah, Al-An'am, Al-A'raf, na Al-Anfal (au Surat Yunus badala ya Al-Anfal). [24]
# Mi-un: Sura ambazo idadi ya Aya zake ni chini ya Sura za Sab'a Tawaal, lakini zina zaidi ya Aya mia moja, zikiwemo: Yunus (au Al-Anfal), At-Tawbah, An-Nahl, Hud, Yusuf, Al-Kahf, Al-Isra, Al-Anbiya, Ta-Ha, Al-Mu'minun, Ash-Shu'ara, na As-Saffat. [25]
#Mi-un: Sura ambazo idadi ya Aya zake ni chini ya Sura za Sab'a Tawaal, lakini zina zaidi ya Aya mia moja, zikiwemo: Yunus (au Al-Anfal), At-Tawbah, An-Nahl, Hud, Yusuf, Al-Kahf, Al-Isra, Al-Anbiya, Ta-Ha, Al-Mu'minun, Ash-Shu'ara, na As-Saffat. [25]
# Mathani: Kuna karibu ya Sura ishirini katika Qur’ani zenye idadi ya Aya chini ya mia moja, [26] mfano wa Sura hizo ni kama vile: Al-Qasas, An-Naml, Al-Ankabut, Ya-Sin, na As-Saad. [27]
#Mathani: Kuna karibu ya Sura ishirini katika Qur’ani zenye idadi ya Aya chini ya mia moja, [26] mfano wa Sura hizo ni kama vile: Al-Qasas, An-Naml, Al-Ankabut, Ya-Sin, na As-Saad. [27]
# Al-Mufassal: Nazo ni Sura ambazo zipo mwishoni mwa Qurani. [28] Sura hizi zimeitwa Mufassalaat, kutokana na kuwa ni Sura fupi na zimepambanuliwa baina yake kwa kupitia Bismillah, ambazo mpambanuko wake huonekana wazi kutokana na ufupi wake. [29]
#Al-Mufassal: Nazo ni Sura ambazo zipo mwishoni mwa Qurani. [28] Sura hizi zimeitwa Mufassalaat, kutokana na kuwa ni Sura fupi na zimepambanuliwa baina yake kwa kupitia Bismillah, ambazo mpambanuko wake huonekana wazi kutokana na ufupi wake. [29]

===Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani===
===Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani===
Mstari 40: Mstari 40:
‘Aza-im «{{Arabic|عَزائِم}}», Musabbihaat «{{Arabic|مُسَبِّحات}}», Hawamiim «{{Arabic|حَوامیم}}» , Mumtahinaat «{{Arabic|مُمتَحِنات}}», Haamidaat «{{Arabic|حامدات}}», Sura zinazoanzia na Qul «{{Arabic|قُل}}», Tawaasiin «{{Arabic|طَواسین}}», Mu’awwidhataini «{{Arabic|مُعَوَّذَتیْن}}», na Zahraawaan «{{Arabic|زَهراوان}}». [30]

* ‘Aza-im «{{Arabic|عَزائِم}}»: Sura zenye Sajda ambazo ni; Suratu al-Sajda, Fussilat, Najm, na Alaq, ambazo ikiwa mtu atakuwa katika hali ya kuzisoma au kusikiliza, papo hapo hupaswa kusudu Sajda mara moja pale isomwapo Aya yenye sijda ndani ya Sura hizo. [31]
*‘Aza-im «{{Arabic|عَزائِم}}»: Sura zenye Sajda ambazo ni; Suratu al-Sajda, Fussilat, Najm, na Alaq, ambazo ikiwa mtu atakuwa katika hali ya kuzisoma au kusikiliza, papo hapo hupaswa kusudu Sajda mara moja pale isomwapo Aya yenye sijda ndani ya Sura hizo. [31]
* Hawamiim «{{Arabic|حَوامیم}}»: Hii ni kuanzia Sura ya arobaini (Suratu Ghafir) hadi arobaini na sita (Sura Ahqaf) za Qurani ambazo zinaanza na herufi mbili zilizogawanywa; Ha Mim «{{Arabic|حم}}» [32] Katika Sura zote hizi, mara tu baada ya kutajwa kwa herufi hizo zilizogawanywa, Mwenye Ezi Mungu amelezea suala la kushushwa kwa Qurani. [33]
*Hawamiim «{{Arabic|حَوامیم}}»: Hii ni kuanzia Sura ya arobaini (Suratu Ghafir) hadi arobaini na sita (Sura Ahqaf) za Qurani ambazo zinaanza na herufi mbili zilizogawanywa; Ha Mim «{{Arabic|حم}}» [32] Katika Sura zote hizi, mara tu baada ya kutajwa kwa herufi hizo zilizogawanywa, Mwenye Ezi Mungu amelezea suala la kushushwa kwa Qurani. [33]
* Mumtahinaat «{{Arabic|مُمتَحِنات}}»: Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34]
*Mumtahinaat «{{Arabic|مُمتَحِنات}}»: Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34]

==Idadi ya Sura za Qur’ani==
==Idadi ya Sura za Qur’ani==
Mstari 78: Mstari 78:
Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; [[Al-Kafi (kitabu)|Al-Kafi]] [69] na [[Thawab al-A'mal]], [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73]

== Maelezo ==
==Maelezo==

<references group="Maelezo"/>
<references group="Maelezo" />

== Rejea ==
==Rejea==
{{Rejea}}
{{Rejea}}

==Vyanzo==
==Vyanzo==
{{Vyanzo}}
{{Vyanzo}}
confirmed, movedable
815

edits