Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
→Idadi ya Sura za Qur’ani
Mstari 46: | Mstari 46: | ||
==Idadi ya Sura za Qur’ani== | ==Idadi ya Sura za Qur’ani== | ||
Watafiti wengi wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qur’ani ni 114. [35] Hata hivyo, baadhi ya waandishi bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qurani ni 112, na wanauhisabu mtazamo huu kuwa ndio mtazamo maarufu wa Shia. [36] Kwa mtazamo wao, ni kwamba; | Watafiti wengi wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qur’ani ni 114. [35] Hata hivyo, baadhi ya waandishi bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qurani ni 112, na wanauhisabu mtazamo huu kuwa ndio mtazamo maarufu wa Shia. [36] Kwa mtazamo wao, ni kwamba; [[Surat al-Fil]] na [[Quraysh]] ni Sura moja, pia [[surat al-Dhuha]] na [[Inshirah]] kiasilia zilikuwa ni Sura moja, na siyo sura mbili tofauti. [37] Nadharia hii imetokana na juhudi za kuchanganya aina mbili za kanganyifu za Riwaya. [38] Kwa mujibu wa baadhi ya riwaya, mwenye kusali ni lazima asome Sura moja tu ya Qur'ani baada ya kumaliza kusoma [[Surat al-Hamd]]. [39] Ila kwa mujibu wa kundi jingine la Hadithi, ni kwamba; ikiwa mwenye kusali atasoma Suratu a-Fil baada ya kumaliza kusoma Suratu al-Hamd, basi ni lazima asome pia Surat Quraish, au kama baada ya Suratu al-Hamd ataamua kusoma Surat al-Duha, basi ni lazima aunganishe na Surat a-l Inshirah. [40] Baadhi ya watafiti wamekataa nadharia hii na wamependekeza njia nyingine ya kutatua riwaya hizi mbili kanganyifu. Kwa mujibu wao, ingawa katika sala ni lazima mtu kusoma Sura moja tu baada ya kumaliza Surat Al-Fatiha, ila huku hii imeondolewa juu ya surat al-Fil na Quraish, pamoja na Surat al-Duha na Inshirah. [41] Baadhi ya wafasiri wa Shia na Sunni pia wanaamini kuwa Surat al-Anfal na Tawba ni Sura moja, na bila kupunguza idadi ya Aya za Qur'ani, wanazihisabu idadi ya Sura za Qur'ani kuwa ni 113. [42] | ||
'''Idadi ya Sura za Qurani katika Hadithi za Sunni''' | '''Idadi ya Sura za Qurani katika Hadithi za Sunni''' | ||
Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za | Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za Qur'ani zimepelekea kupunguza au kuongeza Aya katika Qur'ani. [43] Kwa mujibu wa alivyosema [[Suyuti]], mwandishi wa kitabu cha Al-Itqan, ni kwamba; [[Mus'haf wa Abdullah bin Masud]] ulikuwa na sura 112, kwa sababu yeye aliiona kuwa [[Mu'awadhataini]] (Surat Al-Falaq na An-Nasi) kama ni dua tu, na si sehemu ya Qur'ani. [44] Pia, Suyuti anasema kuwa; [[Mus'haf wa Ubayya bin Ka'ab]] ulikuwa na sura 116, kwa sababu [[Ubayya bin Ka'ab]] alikuwa ameongeza Sura mbili ambazo zinaitwa [[Khal-‘u na Hafdu]] kwenye Qur'ani. [45] Baadhi ya wanazuoni wa Mashariki pia wameongeza idadi ya Sura za Qur'ani na kuzihesabu kuwa 116, jambo ambalo limetimia kwa njia ya kuzigawa nusu kwa nusu [[Surat al-Alaq]] na [[Muddathir]], na kuzifanya kila moja kuwa ni Sura mbili tofauti. [46] | ||
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== | ==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== |