Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 62: Mstari 62:
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani==

Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika Mus'haf (Msahafu), haukufanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w), bali ulifanywa na Masahaba. [56] Moja ya sababu zinazothibitisha mtazamo huu, ni tofauti ya mpangilio wa Sura katika misahafu tofauti ya Masahaba; [57] kama vile Mus'haf (Msahafu) wa Imamu Ali uliopangwa kulingana na mpangilio wa kushuka kwa Sura ulivyokuwa. [58] Toleo la sasa la Qur’ani lililopo miongoni mwa Waislamu ni toleo lililokusanywa kwa amri ya Khalifa wa tatu, ambaye ni Othman ibn Affan, [59] na kuidhinishwa na Imam Ali na Maimamu wengine wa Ahlul-Bayt (a.s). [60]
Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika Mus'haf (Msahafu), haukufanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w), bali ulifanywa na Masahaba. [56] Moja ya sababu zinazothibitisha mtazamo huu, ni tofauti ya mpangilio wa Sura katika misahafu tofauti ya Masahaba; [57] kama vile [[Mus'haf wa Imamu Ali]] uliopangwa kulingana na mpangilio wa kushuka kwa Sura ulivyokuwa. [58] Toleo la sasa la Qur’ani lililopo miongoni mwa Waislamu ni toleo lililokusanywa kwa amri ya Khalifa wa tatu, ambaye ni [[Othman ibn Affan]], [59] na kuidhinishwa na [[Imam Ali]] na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] wengine wa Ahlul-Bayt (a.s). [60]

Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa Qur’ani wanaamini kuwa mpangilio wa sasa wa sura za Qur’ani ulifanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w). [61] Baadhi ya watafiti hawa wanaamini kuwa; Sura za Qur’ani zimewekwa kwa namna maalumu iliyounda fungamano lenye mlingano na uhusiano maalumu kati yao. [62] Kikundi kingine kinadai kuwa; Mpangilio wa Sura za Qur’ani ni mchanganyiko wa amri kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) pamoj na ijtihadi (uamuzi wa kibinafsi) wa Masahaba waliokabidhiwa jukumu la kukusanya Qur’ani na Othman. [63]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits