Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sura'''<nowiki>: ni istilahi ya Qur'ani, imaanishayo mkusanyiko wa Aya za Qur'an zenye mwanzo na mwisho ulio wazi na maalumu, mara nyingi Sura za Qur’ani huanza na Bismillah ar-Rahman ar-Rahim. Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; Aya zote zilizoko katika Sura moja, zina uhusiano na zote kwa pamoja zinafuata au zinahusiana na mada kuu moja ya Sura hiyo. Kwa kuwa baadhi ya Sura za Qur'ani zina aina fulani kufanana, hilo limepelekea Sura hizo kugawanywa...') |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Sura''' | '''Sura''' (Kiarabu: {{Arabic|السورة}}) ni istilahi ya Qur'ani, imaanishayo mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] zenye mwanzo na mwisho ulio wazi na maalumu, mara nyingi Sura za Qur’ani huanza na [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]]. Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; Aya zote zilizoko katika Sura moja, zina uhusiano na zote kwa pamoja zinafuata au zinahusiana na mada kuu moja ya Sura hiyo. Kwa kuwa baadhi ya Sura za Qur'ani zina aina fulani kufanana, hilo limepelekea Sura hizo kugawanywa katika makundi mbalimbali kutokana na kufanana kwake huko. Kugawanya kwa Sura za Qur’ani wakati mwengine huwa ni kulingana na zama za kushuka kwake ([[Makka]] au [[Madina]]) {{Maelezo| Kuhusiana na suala la kuteremshwa kwa Qur’ani, ni kwamba; Kuna Sura zilizoteremshwa katika zama ambazo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Makka, nazo ndizo Sura ziitwazo Makkiyyah, na kuna Sura zilizoteremshwa wakati ambo Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa akiishi Madina, nazo ndizo ziitwazo Madaniyyah}} na wakati mwengine ni kulingana na idadi ya Aya, ambapo Sura hizo za Qur’ani zimegawanwa na kumepewa majina tofauti, kama vile ([[Sab’u Tiwal]], [[Mi-un]], [[Mathani]] na [[Mufassal]]). | ||
Kwa mujibu wa maoni maarufu ya watafiti wa Qur'an ni kwamba; Qur'an ina sura 114. Hata hivyo, waandishi wengine, bila kupunguza Aya zilizoko ndani ya Qur'an, wamedai kuwa idadi ya Sura za Qur'an ni 112 au 113. Hii ni kwa sababu baadhi yao wanaamini kuwa | Kwa mujibu wa maoni maarufu ya watafiti wa Qur'an ni kwamba; Qur'an ina sura 114. Hata hivyo, waandishi wengine, bila kupunguza Aya zilizoko ndani ya Qur'an, wamedai kuwa idadi ya Sura za Qur'an ni 112 au 113. Hii ni kwa sababu baadhi yao wanaamini kuwa [[Surat al-Tawba]] ni mwendelezo wa [[Surat al-Anfal]] na si miongoni mwa Sura zinazojitegemea. Wengine pia hawakuizingatia [[Surat al-Fil]] na [[Quraish]], wala [[Surat al-Duha]] na [[Inshirah]] kuwa ni Sura zinazojitegemea. Kila moja ya Sura za Qur'an imepewa jina maalum, na mara nyingi jina hilo huchukuliwa kutoka ndani ya maneno ya mwanzo ya Sura au kutoka kwenye maudhui yake. Watafiti wa Qur'ani wanaamini kuwa; Majina ya Sura za Qur’ani yalichaguliwa na bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] mwenyewe, na hairuhusiwi kuitwa kwa jina jingine. Lakini watafiti wengine wanapinga mtazamo huu, wakidai kuwa; Majina ya Sura yalikuja baada ya muda fulani, kutokana na matumizi ya mara kwa mara ya watu katika kuziita Sura hizo kwa majina hayo maalumu. | ||
Ni Sura ipi ya kwanza kabisa na ya mwisho kabisa iliyoteremshwa kwa bwana Mtume (s.a.w), ni miongoni mwa masuala yanayojadiliwa katika fani ya elimu za Qur'an (‘Ulumu al-Qur’ani). Kwa mujibu wa maoni ya baadhi watafiti wa Qur’ani, ni kwamba; | Ni Sura ipi ya kwanza kabisa na ya mwisho kabisa iliyoteremshwa kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]], ni miongoni mwa masuala yanayojadiliwa katika [[fani ya elimu za Qur'an]] (‘Ulumu al-Qur’ani). Kwa mujibu wa maoni ya baadhi watafiti wa Qur’ani, ni kwamba; [[Surat Fatihatu al-Kitab]] (Sura al-Fatiha), ndiyo ya kwanza kuteremshwa, na [[Surat al-Nasri]] ndiyo ya mwisho iliyoteremshwa kwa ukamilifu kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Kuna Hadithi nyingi zinazohusiana na [[faida za Sura za Qur'ani]] ndani ya vyanzo vya Hadithi vya Shia pamoja na Sunni. Hata hivyo, watafiti wamezitila shaka Hadithi nyingi kati ya hizo, na wakazijadili kwa upande wa kimapokezi (sanad) na pia kwa upande wa kimatini. | ||
== Maana ya Sura na Umuhimu Wake katika Tafiti za Kiislamu == | |||
Sura ni istilahi inayotumika katika Qur'ani, inayomaanisha mkusanyiko wa [[Aya za Qur'ani]] ambazo ni zenye mwanzo na mwisho maalum. Mara nyingi Sura za Qur’ani huanza kwa [[Bismillahi al-Rahmani al-Rahim]] (isipokuwa [[Surat al-Tawba]] ambayo haina Bismillahir Rahmanir Rahim). [1] Katika baadhi ya maandiko, Sura za Qur'an zimefananishwa na Sura za kitabu, [2] lakini baadhi ya watafiti wameona kuwa mlinganisho huu si sahihi, kwa sababu Sura za Qur'ani hazina sifa za sura za kitabu. [3] Miongoni mwa migawanyo mbalimbali ya Qur'ani, mgawanyo wake kupitia mfumo wa [[juzuu]] na [[hizb]], na mgawanyo wake kupitia mfumo wa Aya na Sura, ndio migawanyo pekee iliyokubalika kuwa ndiyo migawanyiko ya kweli ya Qur'ani yenye asili ya kiqur’ani. [4] | |||
Sura ndogo ndogo na katika baadhi ya matukio Sura refu za Qur'ani (kama vile [[surat An'aam]]) ziliteremshwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa mpigo mmoja (kwa mfumo wa Sura nzima). [5] Pia baadhi ya Sura zilteremshwa kwa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) kwa awamu mbali mbali, na mpangilio wa Aya zake uliwekwa kwa amri ya Mtume mwenyewe (s.a.w.w). [6] Inasemekana kwamba; Kugawanywa Qur’an’ kwa mfumo Sura ni suala lenye faida kadhaa, zikiwemo: kurahisisha kujifunza na [[Hifdh al-Qur’an|kuhifadhi Qur'ani]], kuleta hisia tofauti na shauku kwa msomaji wa Quran, kuweka pamoja Aya zinazohusiana, na kutofautisha Sura moja na nyingine ambazo zina mada tofauti. [7] | |||
Kuna maoni tofauti yaliyotolewa kuhusiana na suala la jinsi gani Aya za sura moja zinavyohusiana. [8] Wafasiri kama vile [[Sayyid Muhammad Hussein Tabatabai]], [[Sayyid Qutub]], na [[Muhammad Izzat Darwaza]], wanaamini kwamba; kila Sura ina aina fulani ya mshikamano na umoja fulani ambao unatofautiana na Sura nyingine. [9] Kwa mujibu wa maoni ya Tabatabai, mwandishi wa [[kitabu cha Al-Mizan]], ni kwamba; Sura za Qur’ani zina malengo tofauti, na kila moja inafuata maana na lengo maalum ambalo ndio kusudio maalumu linalo elezwa na Aya zote za Sura hiyo. [10] Imeelezwa ya kwamba; Katika karne ya ishirini, mtazamo huu ulikuwa ndio ulienea na ulio chukua nafasi katika zama hizo. [10] Kinyume chake, ni kwamba; Baadhi ya wafasiri wengine kama vile: [[Nasir Makarim Shirazi]], mwandishi wa kitabu cha tafsiri kiitwacho [[Tafsiri Nemune]], hawatilii maanani suala la kuwepo kwa mshikamano wa Aya zote za Sura moja, ila wao wanaamini kwamba, Sura moja inaweza kuelezea ndani mada tofauti. [12] | |||
'''Mgawanyo wa Sura | Pia imeelezwa kuwa; Mwanzoni mwa [[utume wa Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], neno Sura lilikuwa likirejelea sehemu tu ya Aya za Qur'ani zinazo fungamana kimaana. Kwa maana hii, [[Surat al-Baqara]] yenyewe itakuwa na idadi ya karibu ya Sura thelathini. [13] Hata hivyo, katika miaka ya mwishoni mwa maisha ya bwana Mtume (s.a.w.w), neno Sura lilianza kutumika kama tunavyolifahamu leo hii.[14] Majiid Ma'arif, mtafiti wa Kiislamu, anaamini kwamba; Jambo hili limeleta tofauti kati ya madhehebu ya [[Shia]] na [[Sunni]], kwani kwa mujibu wa [[fiqhi ya Kishia]], baada ya Surat al-Hamdu katika swala, ni lazima kusoma Sura moja kamili ya Qur'ani (isipokuwa haifai kusoma [[ Azaim al-Sujud|Sura zenye sajda]]), lakini katika fiqhi ya Kisunni, ni kwamba, baada ya kusoma Surat al-Hamdu katika swala, basi unaweza kusoma sehemu yoyote ile ya Qur'ani. [15] | ||
== Mgawanyo wa Sura == | |||
Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti. [17] | Baadhi ya Sura za Qur’ani, kwa sababu ya kufanana kwao, zimegawanywa katika makundi tofauti. [17] | ||
===Mwanyo wa Sura kulingana na Nyakazi za Kuteremshwa Kwao=== | |||
Kulingana na mtazamo maarufu wa wataalamu na watafiti wa Qurani, Sura za Qur’ani zinagawanywa katika makundi makuu mawili kulingana na wakati wa kuteremka kwao, nayo ni; | Kulingana na mtazamo maarufu wa wataalamu na watafiti wa Qurani, Sura za Qur’ani zinagawanywa katika makundi makuu mawili kulingana na wakati wa kuteremka kwao, nayo ni; Makkiyyah (za Makka) na Madaniyyah (za Madian). [18] Kwa msingi huu, kile kilichoteremshwa kabla ya Hijra ya bwana Mtume (s.a.w.w) kwenda Madina kinaitwa "Makkiyyah", na kile kilichoteremshwa baada ya kufika kwake Madina kinaitwa "Madaniyyah". Kwa hiyo, ikiwa Sura au Aya fulani imeteremka baada ya Hijra, hiyo itakuwa Madaniyyah, hata kama iliteremshwa kwenye mji au maeneo ya Makkah au katika hali ambayo Mtume (s.a.w.w) alikuwa yumo safarini, kama vile Aya zilizoteremshwa wakati wa Fat-hu Makka au Hijjatul Wida’a. [19] | ||
Baadhi ya wataalamu na watafiti wa Qurani, hawakuzigawa Sura za Makkiyyah na Madaniyyah kulingana na wakati wa kuteremka kwake, bali ni kulingana na mahali au walengwa wa Sura hizo. Kulingana na kipimo cha mahali, ni kwamba; Yale yote yaliyoteremshwa Makkah na vitongoji vyake kama vile Mina, Arafat, na Hudaybiyyah huitwa Makkiyyah, hata kama yaliteremshwa baada ya Hijra, na yale yote yaliyoteremshwa Madina na vitongoji vyake kama vile Badr na Uhud huitwa Madani. [20] Lakini kulingana na kipimo cha walengwa wa Sura hizo, ni kwamba; Yale yote yaliyolengwa kwa watu wa Makkah huitwa Makkiyyah na yale yote yaliyolengwa kwa ajili ya watu wa Madina huitwa Madaniyyah. [21] Kigezo cha kuwatambua walengwa kwa kile kilichoteremshwa, ni kamba; Aya yenye ibara isemayo: | Baadhi ya wataalamu na watafiti wa Qurani, hawakuzigawa Sura za Makkiyyah na Madaniyyah kulingana na wakati wa kuteremka kwake, bali ni kulingana na mahali au walengwa wa Sura hizo. Kulingana na kipimo cha mahali, ni kwamba; Yale yote yaliyoteremshwa Makkah na vitongoji vyake kama vile Mina, Arafat, na Hudaybiyyah huitwa Makkiyyah, hata kama yaliteremshwa baada ya Hijra, na yale yote yaliyoteremshwa Madina na vitongoji vyake kama vile Badr na Uhud huitwa Madani. [20] Lakini kulingana na kipimo cha walengwa wa Sura hizo, ni kwamba; Yale yote yaliyolengwa kwa watu wa Makkah huitwa Makkiyyah na yale yote yaliyolengwa kwa ajili ya watu wa Madina huitwa Madaniyyah. [21] Kigezo cha kuwatambua walengwa kwa kile kilichoteremshwa, ni kamba; Aya yenye ibara isemayo: Enyi watu huhisabiwa kuwa ni Makkiyyaha, na zile zenye ibara isemayo: Enyi mlioamini hushisabiwa kuwa ni Madaniyyah. [22] | ||
===Mgawanyo wa Sura kwa Kigezo cha Urefu na Ufupi wa Sara=== | |||
Sura za Qurani zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na urefu au ufupi wake. Kulingana na kigezo hicho, Sura za Qur’ani zimegawika katika makundi yafuatayo; Sura za Sab'un Tiwaal, Mi-un, Mathani, na Al-Mufassalaat. [23] | Sura za Qurani zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na urefu au ufupi wake. Kulingana na kigezo hicho, Sura za Qur’ani zimegawika katika makundi yafuatayo; Sura za Sab'un Tiwaal, Mi-un, Mathani, na Al-Mufassalaat. [23] | ||
# Sab'un Tiwaal: Sura hizi zimepewa jina hili kutokana na wa wingi Aya zake, nazo ni Sura saba: Al-Baqarah, Al-Imran, An-Nisa, Al-Ma'idah, Al-An'am, Al-A'raf, na Al-Anfal (au Surat Yunus badala ya Al-Anfal). [24] | |||
# Mi-un: Sura ambazo idadi ya Aya zake ni chini ya Sura za Sab'a Tawaal, lakini zina zaidi ya Aya mia moja, zikiwemo: Yunus (au Al-Anfal), At-Tawbah, An-Nahl, Hud, Yusuf, Al-Kahf, Al-Isra, Al-Anbiya, Ta-Ha, Al-Mu'minun, Ash-Shu'ara, na As-Saffat. [25] | |||
# Mathani: Kuna karibu ya Sura ishirini katika Qur’ani zenye idadi ya Aya chini ya mia moja, [26] mfano wa Sura hizo ni kama vile: Al-Qasas, An-Naml, Al-Ankabut, Ya-Sin, na As-Saad. [27] | |||
# Al-Mufassal: Nazo ni Sura ambazo zipo mwishoni mwa Qurani. [28] Sura hizi zimeitwa Mufassalaat, kutokana na kuwa ni Sura fupi na zimepambanuliwa baina yake kwa kupitia Bismillah, ambazo mpambanuko wake huonekana wazi kutokana na ufupi wake. [29] | |||
===Aina Nyengine za Mgawanyo wa Sura za Qur’ani=== | |||
Miongoni mwa aina nyingine za vigao vilitajwa kwa ajili ya Sura za Qurani ni: | Miongoni mwa aina nyingine za vigao vilitajwa kwa ajili ya Sura za Qurani ni: | ||
Mstari 47: | Mstari 46: | ||
3. '''مُسَبِّحات Musabbihaat''': Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34] | 3. '''مُسَبِّحات Musabbihaat''': Sura hizi ni kama vile: Al-Hadid, Al-Hashr, As-Saff, Al-Jumu'ah, na At-Taghabun ambazo zinaanza na tasbihi ya Mwenye Ezi Mungu. [34] | ||
==Idadi ya Sura za Qur’ani== | |||
Watafiti wengi wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qur’ani ni 114. [35] Hata hivyo, baadhi ya waandishi bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qurani ni 112, na wanauhisabu mtazamo huu kuwa ndio mtazamo maarufu wa Shia. [36] Kwa mtazamo wao, ni kwamba; Suratu al-Fil na Quraysh ni Sura moja, pia suratu al-Duha na Inshirah kiasilia zilikuwa ni Sura moja, na siyo sura mbili tofauti. [37] Nadharia hii imetokana na juhudi za kuchanganya aina mbili za kanganyifu za Riwaya. [38] Kwa mujibu wa baadhi ya riwaya, mwenye kusali ni lazima asome Sura moja tu ya Qurani baada ya kumaliza kusoma Suratu al-Hamd. [39] Ila kwa mujibu wa kundi jingine la Hadithi, ni kwamba; ikiwa mwenye kusali atasoma Suratu a-Fil baada ya kumaliza kusoma Suratu al-Hamd, basi ni lazima asome pia Suratu Quraish, au kama baada ya Suratu al-Hamd ataamua kusoma Suratu al-Duha, basi ni lazima aunganishe na Suratu a-l Inshirah. [40] Baadhi ya watafiti wamekataa nadharia hii na wamependekeza njia nyingine ya kutatua riwaya hizi mbili kanganyifu. Kwa mujibu wao, ingawa katika sala ni lazima mtu kusoma Sura moja tu baada ya kumaliza Suratu Al-Fatiha, ila huku hii imeondolewa juu ya suratu al-Fil na Quraish, pamoja na Suratu al-Duha na Inshirah. [41] Baadhi ya wafasiri wa Shia na Sunni pia wanaamini kuwa Suratu a-lAnfal na Tawba ni Sura moja, na bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanazihisabu idadi ya Sura za Qurani kuwa ni 113. [42] | Watafiti wengi wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qur’ani ni 114. [35] Hata hivyo, baadhi ya waandishi bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanaamini kuwa idadi ya Sura za Qurani ni 112, na wanauhisabu mtazamo huu kuwa ndio mtazamo maarufu wa Shia. [36] Kwa mtazamo wao, ni kwamba; Suratu al-Fil na Quraysh ni Sura moja, pia suratu al-Duha na Inshirah kiasilia zilikuwa ni Sura moja, na siyo sura mbili tofauti. [37] Nadharia hii imetokana na juhudi za kuchanganya aina mbili za kanganyifu za Riwaya. [38] Kwa mujibu wa baadhi ya riwaya, mwenye kusali ni lazima asome Sura moja tu ya Qurani baada ya kumaliza kusoma Suratu al-Hamd. [39] Ila kwa mujibu wa kundi jingine la Hadithi, ni kwamba; ikiwa mwenye kusali atasoma Suratu a-Fil baada ya kumaliza kusoma Suratu al-Hamd, basi ni lazima asome pia Suratu Quraish, au kama baada ya Suratu al-Hamd ataamua kusoma Suratu al-Duha, basi ni lazima aunganishe na Suratu a-l Inshirah. [40] Baadhi ya watafiti wamekataa nadharia hii na wamependekeza njia nyingine ya kutatua riwaya hizi mbili kanganyifu. Kwa mujibu wao, ingawa katika sala ni lazima mtu kusoma Sura moja tu baada ya kumaliza Suratu Al-Fatiha, ila huku hii imeondolewa juu ya suratu al-Fil na Quraish, pamoja na Suratu al-Duha na Inshirah. [41] Baadhi ya wafasiri wa Shia na Sunni pia wanaamini kuwa Suratu a-lAnfal na Tawba ni Sura moja, na bila kupunguza idadi ya Aya za Qurani, wanazihisabu idadi ya Sura za Qurani kuwa ni 113. [42] | ||
Mstari 55: | Mstari 54: | ||
Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za Qurani zimepelekea kupunguza au kuongeza Aya katika Qurani. [43] Kwa mujibu wa alivyosema Suyuti, mwandishi wa kitabu cha “'''''Al-Itqan'''''”, ni kwamba; Mus'haf wa Abdullah bin Masud ulikuwa na sura 112, kwa sababu yeye aliiona kuwa Mu'awadhataini (Suratu Al-Falaq na An-Nasi) kama ni dua tu, na si sehemu ya Qurani. [44] Pia, Suyuti anasema kuwa; Mus'haf wa Ubayya bin Ka'ab ulikuwa na sura 116, kwa sababu Ubayya bin Ka'ab alikuwa ameongeza Sura mbili ambazo zinaitwa Khal-‘u na Hafdu kwenye Qurani. [45] Baadhi ya wanazuoni wa Mashariki pia wameongeza idadi ya Sura za Qurani na kuzihesabu kuwa 116, jambo ambalo limetimia kwa njia ya kuzigawa nusu kwa nusu Suratu al-Alaq na Muddathir, na kuzifanya kila moja kuwa ni Sura mbili tofauti. [46] | Katika baadhi ya Hadithi za Sunni, tofauti na khitilafu za kuhesabu idadi ya Sura za Qurani zimepelekea kupunguza au kuongeza Aya katika Qurani. [43] Kwa mujibu wa alivyosema Suyuti, mwandishi wa kitabu cha “'''''Al-Itqan'''''”, ni kwamba; Mus'haf wa Abdullah bin Masud ulikuwa na sura 112, kwa sababu yeye aliiona kuwa Mu'awadhataini (Suratu Al-Falaq na An-Nasi) kama ni dua tu, na si sehemu ya Qurani. [44] Pia, Suyuti anasema kuwa; Mus'haf wa Ubayya bin Ka'ab ulikuwa na sura 116, kwa sababu Ubayya bin Ka'ab alikuwa ameongeza Sura mbili ambazo zinaitwa Khal-‘u na Hafdu kwenye Qurani. [45] Baadhi ya wanazuoni wa Mashariki pia wameongeza idadi ya Sura za Qurani na kuzihesabu kuwa 116, jambo ambalo limetimia kwa njia ya kuzigawa nusu kwa nusu Suratu al-Alaq na Muddathir, na kuzifanya kila moja kuwa ni Sura mbili tofauti. [46] | ||
==Uwekaji wa Majina ya Sura za Qurani== | |||
Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, suratu Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa ng'ombe wa Wana wa Israeli ndani ya Sura hiyo, na Suratu An-Nisa imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake. [47] Baadhi ya Sura za Qurani zina majina zaidi ya moja. Kwa mfano, Suyuti ameelezea idadi ya majina 25 tofauti kwa ajili ya suratu Al-Fatiha. [48] | Kila moja ya Sura za Qur’ani ina jina lake maalum, ambalo mara nyingi linatokana na maneno ya mwanzo ya Sura hiyo au kutoka kwenye maudhui na ujumbe uliomo ndani yake. Kwa mfano, suratu Al-Baqara imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa ng'ombe wa Wana wa Israeli ndani ya Sura hiyo, na Suratu An-Nisa imepewa jina hili kutokana na kutajwa kwa sheria zinazohusiana na wanawake ndani yake. [47] Baadhi ya Sura za Qurani zina majina zaidi ya moja. Kwa mfano, Suyuti ameelezea idadi ya majina 25 tofauti kwa ajili ya suratu Al-Fatiha. [48] | ||
Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana Mtume (s.a.w.w) kupitia ufunuo au ulifanywa na Masahaba baada yake. [49] Baadhi ya watafiti wa Qurani kama vile Al-Zarkashi na Al-Suyuti wanaamini kwamba; Uwekaji majina wa Sura za Qur’ani ulifanywa na bwana Mtume mwenyewe, na ni suala la | Kuna tofauti ya maoni; iwapo uwekaji majina haya ulifanywa kwa maagizo ya bwana Mtume (s.a.w.w) kupitia ufunuo au ulifanywa na Masahaba baada yake. [49] Baadhi ya watafiti wa Qurani kama vile Al-Zarkashi na Al-Suyuti wanaamini kwamba; Uwekaji majina wa Sura za Qur’ani ulifanywa na bwana Mtume mwenyewe, na ni suala la tawqifiyyun, [50] yaani haupaswi kubadilishwa majina hayo. [51] Kwa kutegemea hoja hii ya kwamba; Majina ya Sura za Qur’ani yamewekwa na bwamna Mtume (s.a.w.w) kwa mwongozo wa wahyi, na kuwepo umarufuku wa kuleta mabadiliko ndani yake, baadhi ya waandishi wameuelezea uwekaji wa majina ya Sura za Qur’ani kama ni sehemu ya miujiza ya kifasihi ya Qurani, wakidai kwamba; kusudio kuu na muhtasari wa Sura unaweza kueleweka kutoka kwa majina hayo. [52] | ||
Kinyume na mtazamo wa Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i na Abdullah Jawadi Amuli, baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu. [53] Kwa mtazamo wao ni kwamba; hata katika zama za Mtume (s.a.w.w), majina ya Sura nyingi yaliibuka kutokana na Masahaba kutumia majina hayo mara kwa mara. [54] Kwa mujibu wa maoni ya Jawadi Amuli, haiwezekani Sura yenye maarifa ya kiwango cha juu na hekima za kupindukia, ipewe jina la mnyama, au kwa mfano; Suratu al-An'am ambayo ina majadiliano na tafiti kahdaa kuhusiana na | Kinyume na mtazamo wa Sayyid Muhammad Hussein Tabataba'i na Abdullah Jawadi Amuli, baadhi ya wafasiri wa Shia wa karne ya kumi na nne, hawaamini kuwa majina ya Sura yaliteuliwa na bwana Mtume (s.a.w.w), na kwamba suala hili ni lenye umarufu mbele ya Mwenye Ezi Mungu. [53] Kwa mtazamo wao ni kwamba; hata katika zama za Mtume (s.a.w.w), majina ya Sura nyingi yaliibuka kutokana na Masahaba kutumia majina hayo mara kwa mara. [54] Kwa mujibu wa maoni ya Jawadi Amuli, haiwezekani Sura yenye maarifa ya kiwango cha juu na hekima za kupindukia, ipewe jina la mnyama, au kwa mfano; Suratu al-An'am ambayo ina majadiliano na tafiti kahdaa kuhusiana na tauhidi, iitwe kwa jina la al-An'am leneye maana ya “wanyama, au Surat al-Namli yenye visa kadhaa vya mitume ije kuitwa kwa jina la al-Namlu kwa maana ya mdudu chungu (sisimizi). [55] | ||
==Mpangilio wa Sura za Qur’ani== | |||
Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika | Watafiti wengi wanaamini kwamba mpangilio wa Sura za Qurani katika Mus'haf (Msahafu), haukufanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w), bali ulifanywa na Masahaba. [56] Moja ya sababu zinazothibitisha mtazamo huu, ni tofauti ya mpangilio wa Sura katika misahafu tofauti ya Masahaba; [57] kama vile Mus'haf (Msahafu) wa Imamu Ali uliopangwa kulingana na mpangilio wa kushuka kwa Sura ulivyokuwa. [58] Toleo la sasa la Qur’ani lililopo miongoni mwa Waislamu ni toleo lililokusanywa kwa amri ya Khalifa wa tatu, ambaye ni Othman ibn Affan, [59] na kuidhinishwa na Imam Ali na Maimamu wengine wa Ahlul-Bayt (a.s). [60] | ||
Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa Qur’ani wanaamini kuwa mpangilio wa sasa wa sura za Qur’ani ulifanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w). [61] Baadhi ya watafiti hawa wanaamini kuwa; Sura za Qur’ani zimewekwa kwa namna maalumu iliyounda fungamano lenye mlingano na uhusiano maalumu kati yao. [62] Kikundi kingine kinadai kuwa; Mpangilio wa Sura za Qur’ani ni mchanganyiko wa amri kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) pamoj na ijtihadi (uamuzi wa kibinafsi) wa Masahaba waliokabidhiwa jukumu la kukusanya Qur’ani na Othman. [63] | Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa Qur’ani wanaamini kuwa mpangilio wa sasa wa sura za Qur’ani ulifanywa kwa amri ya bwana Mtume (s.a.w.w). [61] Baadhi ya watafiti hawa wanaamini kuwa; Sura za Qur’ani zimewekwa kwa namna maalumu iliyounda fungamano lenye mlingano na uhusiano maalumu kati yao. [62] Kikundi kingine kinadai kuwa; Mpangilio wa Sura za Qur’ani ni mchanganyiko wa amri kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w) pamoj na ijtihadi (uamuzi wa kibinafsi) wa Masahaba waliokabidhiwa jukumu la kukusanya Qur’ani na Othman. [63] | ||
==Sura ya Kwanza na ya Mwisho Kushuka== | |||
Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za suratu al-Alaq, huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za Surat al-Muddathir, pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni suratu al-Fatiha. [64] Muhammad Hadi Ma'arifati, mwandishi wa kitabu | Kuna mitazamo mitatu kuhusu Sura ya kwanza kushuka kwa bwana Mtume (s.a.w.w). Kundi moja linasema kwamba; Sehemu ya mwanzo kushuka ilikuwa ni Aya za mwanzo za suratu al-Alaq, huku wengine wakiamini kwamba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni Aya za mwanzo za Surat al-Muddathir, pia kuna wengine wanaosema kwaba; Cha mwanzo kushuka kilikuwa ni suratu al-Fatiha. [64] Muhammad Hadi Ma'arifati, mwandishi wa kitabu Al-Tamhid, anaamini kuwa; Ingawa Aya za mwanzo za Surat al-‘Alaq ndizo Aya za kwanza kushuka, na kwamba Aya za mwanzo kushuka baada ya kipindi cha ulinganiaji wa chini kwa chini ni baadhi ya Aya za Suratu al-Muddathir, Ila Sura ya kwanza kabisa iliyoshuka kikamilifu, ilikuwa ni Surat al-Hamd (Fatihatul Kitab). [65] | ||
Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni Surat Baraa-a, huku wengine wakidai kuwa ni Suratu al-Nasri, na wengine wanasema kuwa ni | Pia kuna mitazamo tofauti kuhusiana na Sura ya mwisho kushuka kwa Mtume Muhammad (s.w.w.w); Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, Sura ya mwisho ilikuwa ni Surat Baraa-a, huku wengine wakidai kuwa ni Suratu al-Nasri, na wengine wanasema kuwa ni Surat al-Maida. [66] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa Imamu Sadiq ni kwamba; Sura ya mwisho kushuka ilikuwa ni Suratu al-Nasri. [67] Kwa kuwa Sura al-Nasr ilishuka kabla ya ufunguzi (ukombozi) wa mji wa Makka, na Suratu al-Tawba ni baada ya ukombozi wa Makka, hii imemfanya Muhammad Hadi Ma'arifati kuamini kwamba; ingawa Aya za kwanza za Surat Baraa-a zilishuka baada ya Surat al-Nasri, ila Sura ya mwisho iliyoshuka kikamilifu ilikuwa ni Surat al-Nasri. [68] | ||
==Faida za Sura== | |||
Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; Al-Kafi [69] na Thawab al-A'mal, [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73] | Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; Al-Kafi [69] na Thawab al-A'mal, [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73] | ||
== Rejea == | |||
{{Rejea}} | |||
==Vyanzo== | |||
{{Vyanzo}} |