Nenda kwa yaliyomo

Sura za Qur’ani : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 77: Mstari 77:

Katika vyanzo vikuu vya mwanzo vya Hadithi za Shia, kuna Hadithi kadhaa kuhusiana na faida za Sura za Qur’ani, na milango kadhaa katika vitabu kama vile; Al-Kafi [69] na Thawab al-A'mal, [70] imekusanya na kutafiti ndani yake aina hii ya Hadithi. Katika nyakati zilizofuata baadae, pia wanazuoni kadhaa waliandika kuhusiana na Hadithi hizi vitabuni mwao. [71] Katika vyanzo vya Hadithi za Sunni pia, kuna Hadithi nyingi kuhusiana na faida za Sura na Aya fulani za Qurani. [72] Hata hivyo, Hadithi hizi zimekabiliwa na tatizo la udhaifu wa ithibati katika asili mapokezi na matini yake na nyingi kati yake zimeelezwa kuwa ni Hadithi za kughushi (bandia). [73]

== Maelezo ==
<references group="Maelezo"/>

== Rejea ==
== Rejea ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits