Nenda kwa yaliyomo

Sidanat al-Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 12: Mstari 12:
== Kuhifadhi ufunguo wa Kaaba; jukumu la familia ya Bani Shaiba ==
== Kuhifadhi ufunguo wa Kaaba; jukumu la familia ya Bani Shaiba ==

Kabla ya Uislamu jukumu la kuhifadhi ufunguo wa Kaaba lilikuwa mikononi mwa Bani shaiba. [7]
Kabla ya [[Uislamu]] jukumu la kuhifadhi ufunguo wa Kaaba lilikuwa mikononi mwa Bani shaiba. [7] Baada ya kukombolewa Makka (Fat’h Makka), Mtume (s.a.w.w) alichukua ufunguo wa Kaaba kutoka kwa Othman bin Talha, mshikaji na mhifadhi wa funguo ya Kaaba wakati huo, na akaingia kwenye Al-Kaaba. Kisha akamrudishia ufunguo na kusema kwamba, ufunguo wa Al-Kaaba ubaki mikononi mwa watu wa familia hii na hawatachukua ufunguo kutoka kwao isipokuwa watu madhalimu. [8] Ni kwa msinguo huo ndioa maana, jukumu la kushika funguo za Al-Kaaba likabakia kuwa mikononi mwa watu wa familia hii. [9]
Baada ya kukombolewa Makka (Fat’h Makka), Mtume (s.a.w.w) alichukua ufunguo wa Kaaba kutoka kwa Othman bin Talha, mshikaji na mhifadhi wa funguo ya Kaaba wakati huo, na akaingia kwenye Al-Kaaba. Kisha akamrudishia ufunguo na kusema kwamba, ufunguo wa Al-Kaaba ubaki mikononi mwa watu wa familia hii na hawatachukua ufunguo kutoka kwao isipokuwa watu madhalimu. [8] Ni kwa msinguo huo ndioa maana, jukumu la kushika funguo za Al-Kaaba likabakia kuwa mikononi mwa watu wa familia hii. [9]

Katika baadhi ya riwaya, imeelezwa kwamba, baada ya Mtume (s.a.w.w) kuchukua ufunguo kutoka kwa Othman bin Talha, alitaka kumpa ami yake Abbas, ambapo ikashuka Aya hii: Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe. [10], hivyo Mtume akamrejeshea  Othman bin Talha ufunguo huo wa Kaaba. [11]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits