Sidanat al-Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Sidanat al-Kaaba''' (Kiarabu: | '''Sidanat al-Kaaba''' (Kiarabu: ''سدانة الكعبة'') ina maana ya kutoa huduma na kusimamia mambo yanayohusiana na [[Kaaba]] kama vile kuhifadh na kutunzai funguo, kufunga na kufungua Kaaba, kupokewa wafanyaziara wa nyumba ya Mwenyezi Mungu, kusafisha na kubadilisha kitambaa cha kufunika Kaaba na kadhalika. Kabla ya [[Uislamu]] ufunguo wa Kaaba ulikuwa ukishikiliwa na kutunzwa na [[Bani Shaiba]]. Baada ya [[Fat’h Makka]], [[Mtume (s.a.w.w)]] aliacha mamlaka ya kushikilia ufunguo wa Kaaba kwa Othman bin Talha aliyekuwa akitunza funguo wakati huo na kwa amri ya Mtume jukumu hili likaachwa katika mamkala ya familia hiyo. | ||
Kwa mujibu wa vyanzo, [[Abbas ami yake Mtume]], aliona kuwa yeye ni mbora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la kutoa [[huduma ya maji kwa mahujaji]]. Familia ya Shaiba, nayo ambayo ilikuwa ikisimamia masuala yanayohusiana na Al-Kaaba, pia alijihesabu kuwa ni bora. Lakini [[Imam Ali (a.s)]] aliona kuwa yeye ni mbora wao kwa sababu [[aliamini]] kabla ya wengine na kisha [[akahama]] na kupigana [[jihadi]] katika njia ya Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu wa watafiti wa Kiislamu, baada ya tukio hili, [[Aya ya 19 ya Surat Tawba]] iliteremka na kuchukuliwa imani na jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni bora kuliko majukumu kuhusu Al-Kaaba. Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya kusimamia na kuendesha Kaaba. | Kwa mujibu wa vyanzo, [[Abbas ami yake Mtume]], aliona kuwa yeye ni mbora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la kutoa [[huduma ya maji kwa mahujaji]]. Familia ya Shaiba, nayo ambayo ilikuwa ikisimamia masuala yanayohusiana na Al-Kaaba, pia alijihesabu kuwa ni bora. Lakini [[Imam Ali (a.s)]] aliona kuwa yeye ni mbora wao kwa sababu [[aliamini]] kabla ya wengine na kisha [[akahama]] na kupigana [[jihadi]] katika njia ya Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu wa watafiti wa Kiislamu, baada ya tukio hili, [[Aya ya 19 ya Surat Tawba]] iliteremka na kuchukuliwa imani na jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni bora kuliko majukumu kuhusu Al-Kaaba. Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya kusimamia na kuendesha Kaaba. | ||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya Kaaba. [13] | Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya Kaaba. [13] | ||
Kwa mujibu wa vyanzo, siku moja Abbas, ami yake Mtume, aliona kuwa yeye ni bora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la [[kuwahudumia kwa maji mahujaji]]. Familia ya Shaiba, ambao ilikuwa na jukumu la kusimamia Kaaba (Sedanat al-Kaaba [14]), ikaijiona kuwa bora. [[Hamza]] akajihesabu kuwa mbora kwa sababu ya jukumu la ujenzi wa Al-Kaaba, na Ali (a.s.) pia akaona yeye ni mbora kuliko wao kwa sababu ya kuamini kabla ya wengine na kisha kuhama na kupigana jihadi. Aya ya kunywesha maji Mahujaji ikashusha | Kwa mujibu wa vyanzo, siku moja Abbas, ami yake Mtume, aliona kuwa yeye ni bora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la [[kuwahudumia kwa maji mahujaji]]. Familia ya Shaiba, ambao ilikuwa na jukumu la kusimamia Kaaba (Sedanat al-Kaaba [14]), ikaijiona kuwa bora. [[Hamza]] akajihesabu kuwa mbora kwa sababu ya jukumu la ujenzi wa Al-Kaaba, na Ali (a.s.) pia akaona yeye ni mbora kuliko wao kwa sababu ya kuamini kabla ya wengine na kisha kuhama na kupigana jihadi. Aya ya kunywesha maji Mahujaji ikashusha: | ||
<center>أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ لاَ يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ وَاللَّهُ لاَ يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ</center> | |||
<center>Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.[15]</center> | |||
Inaelezwa kuwa baada ya tukio hilo la kila mtu kuona yeye ndiye bora kati ya tuliowataja, Mwenyezi Mungu akashusha Aya hii [16] na kuitaja [[imani]] na kupigana katika [[jihadi]] kuwa ni jambo kubwa na bora zaidi ya majukumu ya Kaaba. [17] | |||
Katika baadhi ya nukuu Ali, [[Ja’afar]] na Hamza wametajwa kuwa watu ambao imani yao na kupigana kwao jihadi kuwa bora kuliko majukumu yanayohusiana na Kaaba. [18] | Katika baadhi ya nukuu Ali, [[Ja’afar]] na Hamza wametajwa kuwa watu ambao imani yao na kupigana kwao jihadi kuwa bora kuliko majukumu yanayohusiana na Kaaba. [18] |