Sidanat al-Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho
→Utambulisho
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
Sidanat al-Kaaba ina maana ya kutoa huduma na kusimamia mambo yanayohusiana na Kaaba [1] kama vile kuhifadhi ufunguo, kufunga na kufungua mlango wa Kaaba, [2] kupokewa wafanyaziara wa nyumba ya Mwenyezi Mungu, kusafisha na kubadilisha kitambaa cha kufunika Kaaba na kadhalika. [3] | Sidanat al-Kaaba ina maana ya kutoa huduma na kusimamia mambo yanayohusiana na Kaaba [1] kama vile kuhifadhi ufunguo, kufunga na kufungua mlango wa Kaaba, [2] kupokewa wafanyaziara wa nyumba ya Mwenyezi Mungu, kusafisha na kubadilisha kitambaa cha kufunika Kaaba na kadhalika. [3] | ||
[[Faili:Kelid kabe.jpg | [[Faili:Kelid kabe.jpg|thumb|Kufuli na funguo ya Kaaba]] | ||
Jukumu la kuhifadhi ufunguo wa Kaaba pia liko mikononi mwa watu wanaosimamia masuala ya Kaaba. [4] Historia ya jukumu la kusimamia Kaaba inarejea nyuma huko kale ambapo baadhi wanasema kuwa, ilikuweko tangu katika zama za [[Nabii Ismail (a.s)]]. [5] Baada ya [[kukombolewa Makka]] (Fat’h Makka), Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliidhinisha na kuthibitisha majukumu mawili tu na kuwaacha waliokuwa wakisimamia bila ya kuwabadilisha. Moja ni usimamuzi wa Kaaba na jingine ni kutoa [[huduma ya maji kwa mahujaji]]. [6] | Jukumu la kuhifadhi ufunguo wa Kaaba pia liko mikononi mwa watu wanaosimamia masuala ya Kaaba. [4] Historia ya jukumu la kusimamia Kaaba inarejea nyuma huko kale ambapo baadhi wanasema kuwa, ilikuweko tangu katika zama za [[Nabii Ismail (a.s)]]. [5] Baada ya [[kukombolewa Makka]] (Fat’h Makka), Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliidhinisha na kuthibitisha majukumu mawili tu na kuwaacha waliokuwa wakisimamia bila ya kuwabadilisha. Moja ni usimamuzi wa Kaaba na jingine ni kutoa [[huduma ya maji kwa mahujaji]]. [6] | ||