Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 56: Mstari 56:
== Ubora wa Maimamu wa Kishia ==
== Ubora wa Maimamu wa Kishia ==

'':Makala Asili: [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]''
:''Makala Asili: [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]''
 
Wanazuoni wa Shia wanaamini kwamba baada ya Mtume wa Uislamu (s.a.w.w), [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia (a.s)]] ni bora na wana daraja ya juu kuliko wengine wote, (ikiwa ni pamoja na [[manabii]], [[malaika]] na watu wengine). [35] Imeelezwa ya kwamba; Hadithi zinazo onesha ubora wa Imamu (a.s) juu ya viumbe wengine wote, ni Hadithi “[[mustafidha]]”. Yaani ni Hadithi zilizo karibia daraja ya “[[Hadithu mutawatiru]]”. [36] [[Allama Majlisi]] anaamini kwamba; mtu yeyote atakaye tafiti Hadithi, bila shaka yeye mwenye atathibitisha ubora wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na Imamu (a.s) na kwamba ni mtu mjinga peke yake ambaye hata taaluma ya Hadithi ndiye anaye jaribu kukanusha uhakika huu. Kwa maoni yake, kuna ripoti na Hadithi nyingi mno kuhusiana na suala hili. [37]
 
Katika Hadithi ya [[Imamu Ridha (a.s)]] aliyo inukuu kupitia baba na babu zake kutoka kwa [[Imam Ali (a.s)]] amabaye ameinukuu kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba Mtume (s.a.w.w) amesema:
 
...Ewe Ali! Hakika Mwenye Ezi Mungu amewatakasa manabii juu ya malaika walio karibu na Mungu, naye amenifanya mimi kuwa bora kuliko manabii wote. Ewe Ali! Ubora baada yangu mimi ni kwa ajili yako na Imamu baada yako. Hakika malaika ni watumishi wetu na wapenzi wetu!... [38]
 
Kuna Aya na Riwaya kadhaa zilizo tajwa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imamu Ali (a.s) kuliko watu wengine wakiwemo [[masahaba]]. [39] Allama Hilli katika [[Kashf al-Murad]] [40] ametoa hoja na vielelezo 25 na [[Ibn Maitham Bahrani]] katika kitabu [[al-Najaatu fi al-Qiyaama]] [41] ametoa hoja 22 juu ya ubora wa Imam Ali (a.s.). Baadhi ya hoja hizi ni; [[Aya ya Mubahala]], [[Aya ya Mawaddah]], [[Hadithi ya Tairu]], [[Hadithi ya Manzila]] na [[Hadithi ya Rayah]]. [42] Imeelezwa kuwa wafuasi wote [[Mu'utazila]] wa Baghdad, ikiwa ni pamoja na [[Ibn Abi al-Hadid]], ambaye ni mfasiri wa [[Nahju al-Balagha]], na baadhi ya wafuasi wa Mu'utazila wa Basra pia wamemzingatia Imamu Ali (a.s) kuwa ni mtu bora kuliko [[Makhalifa watatu]] pamoja na [[masahaba]] wengine wote. [43]
 
=== Thibitisho la hoja ya Ubora ===

Wanazuoni wa Shia wanaamini kwamba baada ya Mtume wa Uislamu (s.a.w.w), Mimamu wa Shia (a.s) ni bora na wana daraja ya juu kuliko wengine wote, (ikiwa ni pamoja na manabii, malaika na watu wengine). [35] Imeelezwa ya kwamba; Hadithi zinazo onesha ubora wa Imamu (a.s) juu ya viumbe wengine wote, ni Hadithi “mustafidha”. Yaani ni Hadithi zilizo karibia daraja ya “Hadithu mutawatiru”. [36] Allama Majlisi anaamini kwamba; mtu yeyote atakaye tafiti Hadithi, bila shaka yeye mwenye atathibitisha ubora wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na Imamu (a.s) na kwamba ni mtu mjinga peke yake ambaye hata taaluma ya Hadithi ndiye anaye jaribu kukanusha uhakika huu. Kwa maoni yake, kuna ripoti na Hadithi nyingi mno kuhusiana na suala hili. [37]
Katika Hadithi ya Imamu Ridha (a.s) aliyo inukuu kupitia baba na babu zake kutoka kwa Imam Ali (a.s) amabaye ameinukuu kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba Mtume (s.a.w.w) amesema:
... Ewe Ali! Hakika Mwenye Ezi Mungu amewatakasa manabii juu ya malaika walio karibu na Mungu, naye amenifanya mimi kuwa bora kuliko manabii wote. Ewe Ali! Ubora baada yangu mimi ni kwa ajili yako na Imamu baada yako. Hakika malaika ni watumishi wetu na wapenzi wetu!... [38]
Kuna Aya na Riwaya kadhaa zilizo tajwa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imamu Ali (a.s) kuliko watu wengine wakiwemo masahaba. [39] Allama Hilli katika Kashf al-Murad [40] ametoa hoja na vielelezo 25 na Ibn Maitham Bahrani katika kitabu al-Najaatu fi al-Qiyaama [41] ametoa hoja 22 juu ya ubora wa Imam Ali (a.s.). Baadhi ya hoja hizi ni; Aya ya Mubahala, Aya ya Ubudiyyat, Hadithi ya Tairu, Hadithi ya Manzila na Hadithi ya Rayah. [42]
Imeelezwa kuwa wafuasi wote Mu'utazila wa Baghdad, ikiwa ni pamoja na Ibn Abi al-Hadid, ambaye ni mfasiri wa Nahju al-Balagha, na baadhi ya wafuasi wa Mu'utazila wa Basra pia wamemzingatia Imamu Ali (a.s) kuwa ni mtu bora kuliko Makhalifa watatu pamoja na masahaba wengine wote. [43]
Thibitisho la hoja ya Ubora
Ubora wa Imamu umetumiwa kama ni hoja juu ya kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s). Uthibitisho huu, unaojulikana kama Uthibitisho wa Ubora, ni kama ifuatavyo:
Ubora wa Imamu umetumiwa kama ni hoja juu ya kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s). Uthibitisho huu, unaojulikana kama Uthibitisho wa Ubora, ni kama ifuatavyo:
Msingi wa kwaza: Kulingana na hoja za Qur'ani na Hadithi, Imam Ali (a.s) alikuwa ni mtu bora kuliko masahaba na Waislamu wengine wote.  
 
Msingi wa pili: Ni sharti kwa Imamu kuwa bora kuliko wengine katika sifa na ukamilifu wa kibinadamu.  
* Msingi wa kwaza: Kulingana na hoja za Qur'an na Hadithi, Imam Ali (a.s) alikuwa ni mtu bora kuliko [[masahaba]] na Waislamu wengine wote.  
Natija: Kwa hivyo, Imam Ali (a.s.), ndiye alikuwa Imamu na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). [44]
* Msingi wa pili: Ni sharti kwa Imamu kuwa bora kuliko wengine katika sifa na ukamilifu wa kibinadamu.  
Pingamizi
* Natija: Kwa hivyo, Imam Ali (a.s.), ndiye alikuwa Imamu na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). [44]
Kuna kundi kati ya wafuasi wa madhehebu ya Suuni waliozua pingamizi dhidi ya wajibu Imamu kuwa na sifa bora, 45 miongoni mwa pigamizi hizo ni kama ifuatavyo:
 
== Pingamizi ==
 
Kuna kundi kati ya wafuasi wa madhehebu ya [[Sunni]] waliozua pingamizi dhidi ya wajibu Imamu kuwa na sifa bora, 45 miongoni mwa pigamizi hizo ni kama ifuatavyo:
Ubora haufungamani wala haulazimiani na sula la kipaumbele katika uongozi: kwa sababu mwenye daraja ya chini anaweza kupata kipau mble katika hali fulani na kutangulizwa mbele kuliko mbora wao. Kwa mfano; Iwapo mtu mwenye ubora wa wa chini atakuwa na uwezo kuwa na ujuzi zaidi katika uongozi wa jamii na kisiasa kuliko mtu aliye bora zaidi yake, jamii itampendelea yeye zaidi katika kushika nafasi ya Uimamu na uongozi wa jamii. [46] Jawabu juu pingamizi hii ni kwamba; Utangulizi ulio tumika katika pingamizi hii, ni utangulizi dhaifu, kwa sababu makadirio ya utangulizi huu yamezungumzia ubora katika nyanja za matendo ya ibada na uchamungu, na msingi huo sio sahihi kwa sababu ubora wa Imamu unahusisha sifa ambazo ni muhimu kwa Imamu, zikiwemo sifa zinazo wezesha usimamizi wa kisiasa na uongozi wa jamii. Pia, katika pingamizi hii, ubora wa Imamu umezingatiwa kwenye kiwago cha malinganisho kinachoweza kupatikana kwa kiwango fulani na kutofautiana na wengine kwa viwango walivyo navyo, wakati linapozungumzwa suala la ubora wa Imamu, hukusudiwa ubora kamili na ubora katika sifa zote na ukamilifu ambao ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa Uimamu. [47] Kwa hiyo madai ya Shia yanalenga ubora kamili sio kiwango fulani ambacho kinaweza kulinganishwa na kupikuliwa na mtu mwengine.

Mifano isiyo afikiana na ubora: Imedaiwa kwamba nadharia ya ubora haiwiani na mifano ya uteuzi wa viongozi ulio fanyika katika zama za bwana Mtume (s.a.w.w) na makhalifa. Uteuzi wa maimamu au makamanda wa jeshi haukuonekana kufuata kanuni hiyo. [48] Miongoni mwao, ni uteuzi wa amri ya Zaidu bin Harithati katika vita vya Mauta, licha ya kuwepo kwa Jafar bin Abi Talib, uteuzi wa Usama bin Zaid, katika siku za mwisho za uhai wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na kuwepo kwa Imam Ali (a.s) [49]. Mifano mengine ni kuuwakilisha uteuzi wa ukhalifa mikononi mwa baraza la watu sita, ambapo Omar bin Khattab pamoja na kuwepo kwa Ali (a.s) na Othman, aliwakabidhi hatu hao sita wenyewe kwa wenyewe wamchague mmoja miongoni mwao kuwa khalifa. Waliojibu pingamizi hii wamesema ya kwamba; Uteuzi wa kamanda hauzingatii wala hauhitaja ukamilifu na ubora wa mtu katika nyanja zote, wala kamda hahitaji kuwa na ukamilifu timamu na kuwa mbora kuliko wote, bali inatosha yeye kuwa ni mbora katika mambo yanayohusiana na vita tu. Kwa vile Zaid na Osama walikuwa na wabora katika seta hizo, hilo lilitosha kuwa ni ndio sababu ya kuteuliwa kwao. Kuhusu uteuzi wa Usama, inasemekana kwamba; Imam Ali (a.s) alikuwa karibu na kitanda cha Mtume (s.a.w.w) siku hiyo, na wala Mtume (s.a.w.w) hakumtaka Imam Ali (a.s) kujiunga na jeshi la Usama. Kwa hiyo, Ali (a.s.) hakulazimika kuwa katika jeshi la Usama. [51] Kwa upande wa pili unao husiana na maamuzi ya Omar ni kwamba; Usahihi wa matendo ya Omar bin Khattab umeegemea juu uhalali wa matendo ya Masahaba, ambapo Mashia hawayakubali na nadharia hiyo. [52] Yaani Mashi hawayahisabu matendo ya Masahaba kuwa ni hoja na kielelezo kinachoweza cha kutegemewa katika kusimamisha hoja.

Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits