Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 50: Mstari 50:
Kuna hoja kadhaa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imam kupitia ubora wa malipo ya Akhera [30], miongoni mwazo ni:
Kuna hoja kadhaa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imam kupitia ubora wa malipo ya Akhera [30], miongoni mwazo ni:

* Umaasumu: Ni lazima Imamu awe mtoharifu (Maasumu). Yeyote aliye takaswa ni bora kuliko wengine katika suala la thawabu za Akhera; [31] Kutokana na utoharifu alio nao, Imamu huwa sawa katika hali yake ya ndani pamoja hali yake ya nje. Kwa lugha nyengine, Imamu huwa hana mvutano na msuguano baina ya dhahiri na batini yake, kwa hiyo Imamu huwa ana uchamungu wa hali ya juu kabisa kuliko wengine, na hilo ndilo linalo pelekea yeye kupata ujira mkubwa zaidi kuliko wengine. [32]
* '''Umaasumu''': Ni [[lazima]] Imamu awe [[umaasumu|mtoharifu]] (Maasumu). Yeyote aliye [[takaswa]] ni bora kuliko wengine katika suala la thawabu za Akhera; [31] Kutokana na utoharifu alio nao, Imamu huwa sawa katika hali yake ya ndani pamoja hali yake ya nje. Kwa lugha nyingine, Imamu huwa hana mvutano na msuguano baina ya dhahiri na batini yake, kwa hiyo Imamu huwa ana uchamungu wa hali ya juu kabisa kuliko wengine, na hilo ndilo linalo pelekea yeye kupata ujira mkubwa zaidi kuliko wengine. [32]
* Majukumu mazito zaidi huwa na thawabu zaidi: Imamu, kwa sababu ya kubeba mzigo wa ukhalifa, huwa ana majukumu makubwa na zaidi kuliko wengine. Kwa hivyo thawabu na ujira wake huwa ni zaidi kuliko wengine. [33]
* '''Majukumu mazito zaidi huwa na thawabu zaidi''': Imamu, kwa sababu ya kubeba mzigo wa [[uimamu]], huwa ana majukumu makubwa na zaidi kuliko wengine. Kwa hivyo [[thawabu]] na ujira wake huwa ni zaidi kuliko wengine. [33]
* Imam kuwa dalili (kigezo na hoja): Imamu ni dalili hoja ya Mungu kama vile alivyo Mtume (s.a.w.w). Hivyo basi na kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo kuwa bora kuliko wengine katika suala la thawabu na malipo ya Mwenye Ezi Mungu, pia Imamu naye ana ujira mkubwa zaidi na thawabu bora zaidi kuliko wengine. [34]
* '''Imamu kuwa dalili''' (kigezo na hoja): Imamu ni dalili hoja ya [[Mungu]] kama vile alivyo [[Mtume (s.a.w.w)]]. Hivyo basi na kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo kuwa bora kuliko wengine katika suala la thawabu na malipo ya Mwenye Ezi Mungu, pia Imamu naye ana ujira mkubwa zaidi na thawabu bora zaidi kuliko wengine. [34]
 
== Ubora wa Maimamu wa Kishia ==
 
'':Makala Asili: [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]''

Makala Asili: Ubora wa Ahl al-Bayt (a.s)
Wanazuoni wa Shia wanaamini kwamba baada ya Mtume wa Uislamu (s.a.w.w), Mimamu wa Shia (a.s) ni bora na wana daraja ya juu kuliko wengine wote, (ikiwa ni pamoja na manabii, malaika na watu wengine). [35] Imeelezwa ya kwamba; Hadithi zinazo onesha ubora wa Imamu (a.s) juu ya viumbe wengine wote, ni Hadithi “mustafidha”. Yaani ni Hadithi zilizo karibia daraja ya “Hadithu mutawatiru”. [36] Allama Majlisi anaamini kwamba; mtu yeyote atakaye tafiti Hadithi, bila shaka yeye mwenye atathibitisha ubora wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na Imamu (a.s) na kwamba ni mtu mjinga peke yake ambaye hata taaluma ya Hadithi ndiye anaye jaribu kukanusha uhakika huu. Kwa maoni yake, kuna ripoti na Hadithi nyingi mno kuhusiana na suala hili. [37]

Katika Hadithi ya Imamu Ridha (a.s) aliyo inukuu kupitia baba na babu zake kutoka kwa Imam Ali (a.s) amabaye ameinukuu kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba Mtume (s.a.w.w) amesema:
Katika Hadithi ya Imamu Ridha (a.s) aliyo inukuu kupitia baba na babu zake kutoka kwa Imam Ali (a.s) amabaye ameinukuu kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba Mtume (s.a.w.w) amesema:
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits