Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 62: Mstari 62:
Katika Hadithi ya [[Imamu Ridha (a.s)]] aliyo inukuu kupitia baba na babu zake kutoka kwa [[Imam Ali (a.s)]] amabaye ameinukuu kutoka kwa bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba Mtume (s.a.w.w) amesema:

...Ewe Ali! Hakika Mwenye Ezi Mungu amewatakasa manabii juu ya malaika walio karibu na Mungu, naye amenifanya mimi kuwa bora kuliko manabii wote. Ewe Ali! Ubora baada yangu mimi ni kwa ajili yako na Imamu baada yako. Hakika malaika ni watumishi wetu na wapenzi wetu!... [38]
::...Ewe Ali! Hakika Mwenye Ezi Mungu amewatakasa manabii juu ya malaika walio karibu na Mungu, naye amenifanya mimi kuwa bora kuliko manabii wote. Ewe Ali! Ubora baada yangu mimi ni kwa ajili yako na Imamu baada yako. Hakika malaika ni watumishi wetu na wapenzi wetu!... [38]

Kuna Aya na Riwaya kadhaa zilizo tajwa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imamu Ali (a.s) kuliko watu wengine wakiwemo [[masahaba]]. [39] Allama Hilli katika [[Kashf al-Murad]] [40] ametoa hoja na vielelezo 25 na [[Ibn Maitham Bahrani]] katika kitabu [[al-Najaatu fi al-Qiyaama]] [41] ametoa hoja 22 juu ya ubora wa Imam Ali (a.s.). Baadhi ya hoja hizi ni; [[Aya ya Mubahala]], [[Aya ya Mawaddah]], [[Hadithi ya Tairu]], [[Hadithi ya Manzila]] na [[Hadithi ya Rayah]]. [42] Imeelezwa kuwa wafuasi wote [[Mu'utazila]] wa Baghdad, ikiwa ni pamoja na [[Ibn Abi al-Hadid]], ambaye ni mfasiri wa [[Nahju al-Balagha]], na baadhi ya wafuasi wa Mu'utazila wa Basra pia wamemzingatia Imamu Ali (a.s) kuwa ni mtu bora kuliko [[Makhalifa watatu]] pamoja na [[masahaba]] wengine wote. [43]

Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits