Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 31: Mstari 31:
[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  
[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  


'''Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy''': Wanatheolojia wa [[Ash'ari]] hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumuweka au kumchagua Imamu wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, katika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: ''“یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم” Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa'' (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa hukumu za kisheria, au kukhofiwa kwa uroho wa maadui wa Uislamu kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa ya Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]
'''Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy''': Wanatheolojia wa [[Ash'ari]] hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumuweka au kumchagua [[Imamu]] wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, katika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: ''“یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم” Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa'' (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa [[hukumu za kisheria]], au kuhofiwa kwa uroho wa maadui wa [[Uislamu]] kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa ya Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]
Muutazila: Pia Muutazila hawaoni ubora wa imamu kuwa ni wajibu katika kumchagua bali wanaona kuwa inajuzu kumpa kipaumbele mtu mwengine ambaye kidaraja yuko chini zaidi. Pia baadhi ya wakati mteua na mtu wa daraja la chini huwa ni bra Zaidi kuliko kumpa nafasi hiyo aliye bora ambaye kisifa na wasifu ndiye anayestahili zaidi. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kupelekea kutopewa kipau mbele kwa mtu aliye bora ni pamoja na:
 
Ikiwa mtu bora hana baadhi ya sifa ambazo zinahitajika kwa Imamu, kama vile elimu na maarifa ya kisiasa.
'''Muutazila''': Pia [[Muutazila]] hawaoni ubora wa imamu kuwa ni [[wajibu]] katika kumchagua bali wanaona kuwa inajuzu kumpa kipaumbele mtu mwengine ambaye kidaraja yuko chini zaidi. Pia baadhi ya wakati mteua na mtu wa daraja la chini huwa ni bra Zaidi kuliko kumpa nafasi hiyo aliye bora ambaye kisifa na wasifu ndiye anayestahili zaidi. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kupelekea kutopewa kipau mbele kwa mtu aliye bora ni pamoja na:
Ikiwa mtu bora ni mtumwa, au ana ugonjwa maalum au matatizo ya kiakili, na hawezi kuhukumu kisheria na kusimamisha jihad.
* Ikiwa mtu bora hana baadhi ya sifa ambazo zinahitajika kwa Imamu, kama vile elimu na maarifa ya kisiasa.
Ikiwa mtu bora sio Mquraishi; lakini mtu mtu wa daraja ya chini ni Mquraishi. [28]
* Ikiwa mtu bora ni mtumwa, au ana ugonjwa maalum au matatizo ya kiakili, na hawezi [[Hukumu za kisheria|kuhukumu kisheria]] na kusimamisha [[jihad]].
Hoja za Ahlu al-Sunna
* Ikiwa mtu bora sio Mquraishi; lakini mtu mtu wa daraja ya chini ni [[Mquraishi]]. [28]
Hoja za Ahl al-Sunna katika kuruhusu ukhalifa wa mtu aliye chini kidaraja
 
Wanazuoni wanakubaliana (kuna ijmaa ya wanazuoni) ya kwamba; uteuzi wa khalifa kwa mtu aliye chini ulifanyika miongoni mwa Quraish baada ya zama za Makhalifa waongofu (Khulafau al-Rashidun) licha ya kuwepo kwa mtu aliye bora zaidi.
=== Hoja za Ahlu-Sunna ===
Omar ibn al-Khattab aliutelekeza ukhalifa kwa baraza la watu sita, wakati miongoni mwao alikuwepo Ali (a.s) na Othman ambao kwa wakati huo walikuwa ni bora zaidi kuliko wengine.
 
Ubora wa sifa ni jambo la siri la kibatini na kuna utata na ugumu katika kuelewa jambo hilo. [29]
Hoja za [[Ahlu-Sunna]] katika kuruhusu ukhalifa wa mtu aliye chini kidaraja:
Ubora wa Imamu kupitia ubora wa malipo ya Akhera
 
* Wanazuoni wanakubaliana (kuna [[ijmaa]] ya wanazuoni) ya kwamba; uteuzi wa khalifa kwa mtu aliye chini ulifanyika miongoni mwa Quraish baada ya zama za [[Makhalifa waongofu]] (Khulafau al-Rashidun) licha ya kuwepo kwa mtu aliye bora zaidi.
* [[Omar ibn al-Khattab]] aliutelekeza ukhalifa kwa [[baraza la watu sita]], wakati miongoni mwao alikuwepo [[Ali (a.s)]] na [[Othman]] ambao kwa wakati huo walikuwa ni bora zaidi kuliko wengine.
* Ubora wa sifa ni jambo la siri la kibatini na kuna utata na ugumu katika kuelewa jambo hilo. [29]
 
== Ubora wa Imamu kupitia ubora wa malipo ya Akhera ==
 
Kuna hoja kadhaa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imam kupitia ubora wa malipo ya Akhera [30], miongoni mwazo ni:
Kuna hoja kadhaa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imam kupitia ubora wa malipo ya Akhera [30], miongoni mwazo ni:
Umaasumu: Ni lazima Imamu awe mtoharifu (Maasumu). Yeyote aliye takaswa ni bora kuliko wengine katika suala la thawabu za Akhera; [31] Kutokana na utoharifu alio nao, Imamu huwa sawa katika hali yake ya ndani pamoja hali yake ya nje.  Kwa lugha nyengine, Imamu huwa hana mvutano na msuguano baina ya dhahiri na batini yake, kwa hiyo Imamu huwa ana uchamungu wa hali ya juu kabisa kuliko wengine, na hilo ndilo linalo pelekea yeye kupata ujira mkubwa zaidi kuliko wengine. [32]
 
Majukumu mazito zaidi huwa na thawabu zaidi: Imamu, kwa sababu ya kubeba mzigo wa ukhalifa, huwa ana majukumu makubwa na zaidi kuliko wengine. Kwa hivyo thawabu na ujira wake huwa ni zaidi kuliko wengine. [33]
* Umaasumu: Ni lazima Imamu awe mtoharifu (Maasumu). Yeyote aliye takaswa ni bora kuliko wengine katika suala la thawabu za Akhera; [31] Kutokana na utoharifu alio nao, Imamu huwa sawa katika hali yake ya ndani pamoja hali yake ya nje.  Kwa lugha nyengine, Imamu huwa hana mvutano na msuguano baina ya dhahiri na batini yake, kwa hiyo Imamu huwa ana uchamungu wa hali ya juu kabisa kuliko wengine, na hilo ndilo linalo pelekea yeye kupata ujira mkubwa zaidi kuliko wengine. [32]
Imam kuwa dalili (kigezo na hoja): Imamu ni dalili hoja ya Mungu kama vile alivyo Mtume (s.a.w.w). Hivyo basi na kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo kuwa bora kuliko wengine katika suala la thawabu na malipo ya Mwenye Ezi Mungu, pia Imamu naye ana ujira mkubwa zaidi na thawabu bora zaidi kuliko wengine. [34]
* Majukumu mazito zaidi huwa na thawabu zaidi: Imamu, kwa sababu ya kubeba mzigo wa ukhalifa, huwa ana majukumu makubwa na zaidi kuliko wengine. Kwa hivyo thawabu na ujira wake huwa ni zaidi kuliko wengine. [33]
* Imam kuwa dalili (kigezo na hoja): Imamu ni dalili hoja ya Mungu kama vile alivyo Mtume (s.a.w.w). Hivyo basi na kama vile Mtume (s.a.w.w) alivyo kuwa bora kuliko wengine katika suala la thawabu na malipo ya Mwenye Ezi Mungu, pia Imamu naye ana ujira mkubwa zaidi na thawabu bora zaidi kuliko wengine. [34]


Makala Asili: Ubora wa Ahl al-Bayt (a.s)
Makala Asili: Ubora wa Ahl al-Bayt (a.s)
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits