Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 13: Mstari 13:
== Kwa mtazamo wa Shia, Imamu lazima awe bora zaidi kuliko wengine ==
== Kwa mtazamo wa Shia, Imamu lazima awe bora zaidi kuliko wengine ==


Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na wanawafikiana kinadharia juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo.
Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na [[wanawafikiana kinadharia]] juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo.
Hoja za kimantiki
1- Katika wasifu na ukamilifu, Imamu anaweza kuwa na hali tatu tofauti; ima atakuwa ni sawa na wengine au duni kuliko wao au anaweza kuwa ni mbora zaidi ya wao. Ikiwa yeye atakuwa ni sawa na wengine, kumchagua yeye kama ni Imamu chaguo hilo litakuwa na upendeleo lisilotegemea uzito wowote ule katika chaguo hilo. Kitaalamu chaguo la aina hii huitwa (kuchagua la moja ya vitu viwili vilivyo sawa, bila ya kuwepo sababu maalumu), ambapo kwa lugha ya Kiarabu huitwa “Tarjihu bilaa murajjihi”. Iwapo Imamu atakuwa duni kuliko wengine, katika hali hii, kwa mujibu wa hukumu ya akili, ni kwamba; kumpendelea mtu duni kuliko aliye bora, ni jambo la kuchukiza na lisilo ingia akili. Kwa hiyo Imamu ni lazima awe bora kuliko wengine. [10]
2- Ni wajibu kwa Imamu kuwa ni mtu maasumu. Maasumu ni bora kuliko asiye maasumu. Hivyo Imamu ni bora kuliko wengine. [11]
3- Imamu ni mtu anaye teuliwa na Mtume (s.a.w.w). Daima bwana Mtume (s.a.w.w) alikuwa akizingatia suala la ubora katika kuchagua mrithi wake atakaye shika madaraka ya uongozi baada yake. [12]


===Hoja za kimantiki ===
# Katika wasifu na ukamilifu, Imamu anaweza kuwa na hali tatu tofauti; ima atakuwa ni sawa na wengine au duni kuliko wao au anaweza kuwa ni mbora zaidi ya wao. Ikiwa yeye atakuwa ni sawa na wengine, kumchagua yeye kama ni Imamu chaguo hilo litakuwa na upendeleo lisilotegemea uzito wowote ule katika chaguo hilo. Kitaalamu chaguo la aina hii huitwa (kuchagua la moja ya vitu viwili vilivyo sawa, bila ya kuwepo sababu maalumu), ambapo kwa lugha ya Kiarabu huitwa “Tarjihu bilaa murajjihi”. Iwapo Imamu atakuwa duni kuliko wengine, katika hali hii, kwa mujibu wa hukumu ya akili, ni kwamba; kumpendelea mtu duni kuliko aliye bora, ni jambo la kuchukiza na lisilo ingia akili. Kwa hiyo Imamu ni lazima awe bora kuliko wengine. [10]
# Ni [[wajibu]] kwa Imamu kuwa ni mtu [[umaasumu|maasumu]]. Maasumu ni bora kuliko asiye maasumu. Hivyo Imamu ni bora kuliko wengine. [11]
# Imamu ni mtu anaye teuliwa na [[Mtume (s.a.w.w)]]. Daima bwana Mtume (s.a.w.w) alikuwa akizingatia suala la ubora katika kuchagua mrithi wake atakaye shika madaraka ya uongozi baada yake. [12]
=== Hoja na vielelezo vya maandiko ===
Kuna vielelezo kadhaa vya maandiko vilivyo tumika katika kuwasilisha na kuthibitisha hoja ya ulazima wa kuwepo kiwango cha ubora kilicho wapindukia wengine kwa mtu anaye taka kushika nafasi ya Uimamu. Miongoni mwa maandiko yalio tumika kuthibitisha hilo ni; Aya ya 35 ya Surat Yunus, [13] [[Aya ya Sadiiqina]] (Aya ya 119 ya Suratu al-Towbah) [14] na Aya ya 9 ya Suratu al-Zamar. [15] Aya hizi zimetajwa kama ni hoja katika kuthibitisha ubora wa Imamu. Katika aya hizi, imebainishwa kwamba; mwenye kuongoza kwenye haki anatangulizwa mbele kuliko yule anayehitaji kuongozwa, kutangulizwa “aliye mwaminifu” kuliko asiye kuwa mwaminifu, na kupewa kipau mbele mwanachuoni kuliko asiyekuwa mwanachuoni. yote haya yanaonyesha kipaumbele cha mtu mwenye uzito maalumu kuliko mtu asiye kuwa na uzito wowote ule naozingatiwa kuwa ni sifa njema zinazo mwezesha mtu kuiongoza jamii kwa mfumo salama. [16]


Hoja na vielelezo vya maandiko
Kuna vielelezo kadhaa vya maandiko vilivyo tumika katika kuwasilisha na kuthibitisha hoja ya ulazima wa kuwepo kiwango cha ubora kilicho wapindukia wengine kwa mtu anaye taka kushika nafasi ya Uimamu. Miongoni mwa maandiko yalio tumika kuthibitisha hilo ni; Aya ya 35 ya Suratu Yunus, [13] Aya ya Sadiiqina (Aya ya 119 ya Suratu al-Towbah) [14] na Aya ya 9 ya Suratu al-Zamar. [15] Aya hizi zimetajwa kama ni hoja katika kuthibitisha ubora wa Imamu. Katika aya hizi, imebainishwa kwamba; mwenye kuongoza kwenye haki anatangulizwa mbele kuliko yule anayehitaji kuongozwa, kutangulizwa “aliye mwaminifu” kuliko asiye kuwa mwaminifu, na kupewa kipau mbele mwanachuoni kuliko asiyekuwa mwanachuoni. yote haya yanaonyesha kipaumbele cha mtu mwenye uzito maalumu kuliko mtu asiye kuwa na uzito wowote ule naozingatiwa kuwa ni sifa njema zinazo mwezesha mtu kuiongoza jamii kwa mfumo salama. [16]
Ili kuthibitisha kuwa ubora wa sifa maalumu, ni jambo la kwa mshika nafasi ya Uimamu, Wanazuoni wanukuu Hadith kadhaa kama ni vielelezo juu ya ulazima wa jambo hilo. [17] Kwa mfano, katika Hadithi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), yeye amesema kwamb: "Mwenye kuongoza umma na ndani yao kukawa na mtu mbora zaidi kielemu kuliko yeye, basi mambo yao yataendelea kuharibika mpaka Siku ya Kiyama". Pia kwa upande wa madhehebu ya Sunni, mepokewa Hadithi isemayo kwamba; Abu Darda alikuwa akitembea mbele ya Abu Bakr, Mtume (s.a.w.w) akamwambia: “Je (huoni kwamba), unatembea mbele ya mtu ambaye ni mbora kuliko wewe duniani na Akhera?” [20] Imeelezwa kwamba; Riwaya hii inasisitiza ubaya wa kutembea na kumtangulia mbele mtu aliye zidi daraja kuliko wengine. Kwa hiyo, itakuwa ni vibaya zaidi kumtanguliza mtu wa chini kwenye nafasi ya Uimamu na kuachana na yule aliye juu zaidi yake. [21]
Ili kuthibitisha kuwa ubora wa sifa maalumu, ni jambo la kwa mshika nafasi ya Uimamu, Wanazuoni wanukuu Hadith kadhaa kama ni vielelezo juu ya ulazima wa jambo hilo. [17] Kwa mfano, katika Hadithi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), yeye amesema kwamb: "Mwenye kuongoza umma na ndani yao kukawa na mtu mbora zaidi kielemu kuliko yeye, basi mambo yao yataendelea kuharibika mpaka Siku ya Kiyama". Pia kwa upande wa madhehebu ya Sunni, mepokewa Hadithi isemayo kwamba; Abu Darda alikuwa akitembea mbele ya Abu Bakr, Mtume (s.a.w.w) akamwambia: “Je (huoni kwamba), unatembea mbele ya mtu ambaye ni mbora kuliko wewe duniani na Akhera?” [20] Imeelezwa kwamba; Riwaya hii inasisitiza ubaya wa kutembea na kumtangulia mbele mtu aliye zidi daraja kuliko wengine. Kwa hiyo, itakuwa ni vibaya zaidi kumtanguliza mtu wa chini kwenye nafasi ya Uimamu na kuachana na yule aliye juu zaidi yake. [21]
Kwa mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, inajuzu mtu wa chini kushika nafasi ya Uimamu  
 
Masunni wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu. Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy: Wanatheolojia wa Ash'ari hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumweka au kumchagua Imamu wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, akatika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: “یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم” Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa hukumu za kisheria, au kukhofiwa kwa uroho wa maadui wa Uislamu kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]
== Kwa mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, inajuzu mtu wa chini kushika nafasi ya Uimamu ==
 
[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  
 
'''Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy''': Wanatheolojia wa [[Ash'ari]] hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumuweka au kumchagua Imamu wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, katika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: ''“یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم” Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa'' (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa hukumu za kisheria, au kukhofiwa kwa uroho wa maadui wa Uislamu kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa ya Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]
Muutazila: Pia Muutazila hawaoni ubora wa imamu kuwa ni wajibu katika kumchagua bali wanaona kuwa inajuzu kumpa kipaumbele mtu mwengine ambaye kidaraja yuko chini zaidi. Pia baadhi ya wakati mteua na mtu wa daraja la chini huwa ni bra Zaidi kuliko kumpa nafasi hiyo aliye bora ambaye kisifa na wasifu ndiye anayestahili zaidi. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kupelekea kutopewa kipau mbele kwa mtu aliye bora ni pamoja na:
Muutazila: Pia Muutazila hawaoni ubora wa imamu kuwa ni wajibu katika kumchagua bali wanaona kuwa inajuzu kumpa kipaumbele mtu mwengine ambaye kidaraja yuko chini zaidi. Pia baadhi ya wakati mteua na mtu wa daraja la chini huwa ni bra Zaidi kuliko kumpa nafasi hiyo aliye bora ambaye kisifa na wasifu ndiye anayestahili zaidi. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kupelekea kutopewa kipau mbele kwa mtu aliye bora ni pamoja na:
• Ikiwa mtu bora hana baadhi ya sifa ambazo zinahitajika kwa Imamu, kama vile elimu na maarifa ya kisiasa.
• Ikiwa mtu bora hana baadhi ya sifa ambazo zinahitajika kwa Imamu, kama vile elimu na maarifa ya kisiasa.
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits