Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho
→Welewa wa dhana na upeo wape
No edit summary |
|||
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
== Welewa wa dhana na upeo wape == | == Welewa wa dhana na upeo wape == | ||
Kwa maoni ya wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah, ubora wa Imamu | Kwa maoni ya wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah, ubora wa Imamu unamaanisha na kulenga zaidi kwenye ubora wake juu ya wengine katika sifa maalumu kama vile; [[elimu]], [[uadilifu]], ujasiri na [[uchamungu]], sifa hizi ndizo zinazo zaingatiwa kuwa ndio masharti ya [[Uimamu]]. [1] Katika baadhi ya vyanzo vya kitheolojia, ubora huu unamaanisha pia ubora katika [[ibada]] na ubora katika jitihada za kutafuta [[thawabu]] na kujikirubisha kwa Mwenye Ezi Mungu. [2] Kwa hivyo, wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah wanaamini kwamba; [[Imamu]] ni bora kuliko watu wengine katika sifa zote za kiroho na kimwili kama vile elimu, [[dini]], uchamungu, [[ukarimu]], [[ujasiri]], [3] na ubora katika kutafuta thawabu na mafanikio ya siku ya mwisho (mafanikio ya Akhera). [4] Manatheolojia hao wanaamini kwamba; ni Imamu lazima awe ni mtu mwenye elimu zaidi, mwenye ujasiri zaidi, mwenye ukarimu zaidi, mwenye subira zaidi, mwenye uchamungu zaidi, na kadhalika, kuliko watu wote manaoishi katika zama zake, [5] ili awe ni kigezo kwa watu na awe ni mwenye kustahiki kufuatwa na wengine. [6] | ||
Imeelezwa ya kuwa; si lazima Imamu awe bora kuliko wengine katika mambo ya kidunia kama vile mali, hadhi na nguvu; kwa sababu lengo ni kumfuata | |||
Kwa mtazamo wa Shia, Imamu lazima awe bora zaidi kuliko wengine | Imeelezwa ya kuwa; si lazima Imamu awe bora kuliko wengine katika mambo ya kidunia kama vile mali, hadhi na nguvu; kwa sababu lengo ni kumfuata Imamu kwa dhati na [[kumuamini]] kwa dhati, sio kufuata na kiju juu tu. [7] | ||
== Kwa mtazamo wa Shia, Imamu lazima awe bora zaidi kuliko wengine == | |||
Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na wanawafikiana kinadharia juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo. | Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na wanawafikiana kinadharia juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo. | ||
Hoja za kimantiki | Hoja za kimantiki |