Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s)
Mstari 297: | Mstari 297: | ||
=== Kupora mahemani === | |||
Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali (a.s), askari wa upande wa maadui walishambulia mahema na kupora vilivyokuwemo ndani yake. Kila mmoja wao katika jambo hilo alikuwa akishindana na wengine.” [183] [[Shimru]] naye akiwa na kundi la askari aliingia mahemani kwa nia ya kumuua [[Imamu Sajjad (a.s)]], lakini bibi [[Zainab (a.s)]] akawazuia. Kwa mujibu wa riwaya nyingine; baadhi ya [[askari wa Omar bin Sa'ad]] walipinga jambo hilo. [184] [[Omar bin Sa'ad]] aliwaamuru wanawake watoharifu wa Bani Hashim kukusanyika kwenye hema moja na akawapa baadhi ya askari kuwalinda. [185] | Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali (a.s), askari wa upande wa maadui walishambulia mahema na kupora vilivyokuwemo ndani yake. Kila mmoja wao katika jambo hilo alikuwa akishindana na wengine.” [183] [[Shimru]] naye akiwa na kundi la askari aliingia mahemani kwa nia ya kumuua [[Imamu Sajjad (a.s)]], lakini bibi [[Zainab (a.s)]] akawazuia. Kwa mujibu wa riwaya nyingine; baadhi ya [[askari wa Omar bin Sa'ad]] walipinga jambo hilo. [184] [[Omar bin Sa'ad]] aliwaamuru wanawake watoharifu wa Bani Hashim kukusanyika kwenye hema moja na akawapa baadhi ya askari kuwalinda. [185] | ||
=== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) === | |||
Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | ||
Mstari 317: | Mstari 317: | ||
=== Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa === | |||
Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia [[Kholi bin Yazid Asbahi]] na [[Hamid bin Muslim Azdiy]] ili wakifikishe kwa [[Ubaidullah bin Ziad]]. Vile vile aliamuru vichwa vya [[mashahidi wa Karbala]] viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa [[Shimru bin Dhi al-Jawshan]], [[Qais bin Ash'ath]], [[Amru bin Hajjaj]] na [[Uzratu bin Qais]], ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia [[Kholi bin Yazid Asbahi]] na [[Hamid bin Muslim Azdiy]] ili wakifikishe kwa [[Ubaidullah bin Ziad]]. Vile vile aliamuru vichwa vya [[mashahidi wa Karbala]] viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa [[Shimru bin Dhi al-Jawshan]], [[Qais bin Ash'ath]], [[Amru bin Hajjaj]] na [[Uzratu bin Qais]], ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | ||
=== Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s) === | |||
:''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]'' | :''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]'' | ||
Mstari 328: | Mstari 328: | ||
=== Maziko ya Mashahidi === | |||
Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] [[Tarehe 11 Muharram]] [193] au [[tarehe 13 Muharram]] [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa [[mashahidi wa Karbala]]. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya [[Omar bin Sa'ad]] na wafuasi wake kuondoka [[Karbala]], kundi la watu wa kabila la [[Bani Asad]] -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia [[sala]] ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha [[wakawazika]]. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa [[Imamu Hussein (a.s)]] alizikwa kupitia msaada wa [[Imamu Sajjad (a.s)]]. [196] | Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] [[Tarehe 11 Muharram]] [193] au [[tarehe 13 Muharram]] [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa [[mashahidi wa Karbala]]. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya [[Omar bin Sa'ad]] na wafuasi wake kuondoka [[Karbala]], kundi la watu wa kabila la [[Bani Asad]] -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia [[sala]] ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha [[wakawazika]]. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa [[Imamu Hussein (a.s)]] alizikwa kupitia msaada wa [[Imamu Sajjad (a.s)]]. [196] |