Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi
Mstari 164: | Mstari 164: | ||
== Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi == | === Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi === | ||
Hussein (a.s), akiwa kwenye makazi ya “[[Baidhah]]” [84], baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “[[Nainawa]]” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86] | Hussein (a.s), akiwa kwenye makazi ya “[[Baidhah]]” [84], baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “[[Nainawa]]” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86] |