Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi
Mstari 149: | Mstari 149: | ||
== Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi == | === Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi === | ||
[[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni [[Huswein bin Tamimi]], pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee [[Qadisiyyah]] na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na [[Khaffani]], na baina ya [[Qutqutaaniyyah]] hadi [[la'ala'a]]. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] [[Harru bin Yazid Riyahi]] na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78] | [[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni [[Huswein bin Tamimi]], pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee [[Qadisiyyah]] na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na [[Khaffani]], na baina ya [[Qutqutaaniyyah]] hadi [[la'ala'a]]. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] [[Harru bin Yazid Riyahi]] na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78] |