Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 149: Mstari 149:

'''Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi'''
== Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi ==

[[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni [[Huswein bin Tamimi]], pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee [[Qadisiyyah]] na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na [[Khaffani]], na baina ya [[Qutqutaaniyyah]] hadi [[la'ala'a]]. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] [[Harru bin Yazid Riyahi]] na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78]

Mstari 164: Mstari 164:

'''Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi'''
== Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi ==

Hussein (a.s), akiwa kwenye makazi ya “[[Baidhah]]” [84], baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “[[Nainawa]]” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits