Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 64: Mstari 64:
== Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa ==

[[Faili:مسیر حرکت امام حسین|thumb]]
Imamu Husein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo [[siku ya nane ya Dhul-Hijjah]] [52] siku ambayo [[Muslim bin Aqil|Muslim]] alisimama kwa ajili ya Hussein (a.s) mjini humo akiwa pamoja na watu 82, [53] ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo [[Kufa]]. [54]

Mstari 73: Mstari 74:

'''Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa'''
=== Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa ===

Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo:

Mstari 124: Mstari 125:

'''Kutumwa kwa Qais bin Mus'har kwenda mji wa Kufa'''
=== Kutumwa kwa Qais bin Mus'har kwenda mji wa Kufa ===

Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65]

'''Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda mji wa Kufa'''
=== Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda mji wa Kufa ===

Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma [[Abdullah ibn Yaqtar]], kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na [[Huswein bin Tamimi]] na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya [[mwana wa Marjana]]." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na [[Hani bin Urwa|Hani]], zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la [[Zubaleh]]. [69]

'''Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra'''
=== Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra ===
:''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]''

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits