Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam Hussein kuwasili Makka
Mstari 45: | Mstari 45: | ||
Barua za mwaliko watu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s) | === Barua za mwaliko watu wa Kufa kwa Imam Hussein (a.s) === | ||
:''Makala Asili: [[Barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s)]]'' | :''Makala Asili: [[Barua za watu wa Kufa kwa Imamu Hussein (a.s)]]'' | ||
Mstari 54: | Mstari 54: | ||
=== Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa === | |||
Imamu Husein (a.s) alimpa barua [[Muslim bin Aqiil]], binamu yake, aende [[Iraq]] akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya [[Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy]], [37] au nyumba ya [[Muslim bin Ausajah]]. [38] [[Shia|Mashia]] wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua [[kiapo cha utiifu]] kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44] | Imamu Husein (a.s) alimpa barua [[Muslim bin Aqiil]], binamu yake, aende [[Iraq]] akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya [[Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy]], [37] au nyumba ya [[Muslim bin Ausajah]]. [38] [[Shia|Mashia]] wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua [[kiapo cha utiifu]] kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44] |