Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 171: Mstari 171:
== Imam akiwa Karbala ==
== Imam akiwa Karbala ==

'''Kuwasili kwa Imam Hussein (a.s) huko Karbala'''
=== Kuwasili kwa Imam Hussein (a.s) huko Karbala ===

Vyanzo vingi katika ripoti zake, vimeitaja [[siku ya pili ya Muharram]] ya [[mwaka wa 61 Hijiria]] kuwa ndio siku ambayo Imam Hussein (a.s) na masahaba zake waliingia [[Karbala]]. [90] Dainuri ambaye ni mwanahistoria wa karne ya tatu Hijiria, ameutaja [[mwezi mosi wa Muharram]], kuwa ndio siku ambayo Imamu na masahaba zake walifika Karbala. [91] Kwa mujibu wa ripoti za katika kitabu chake "[[Maqtalu al-Hussein]]", ni kwamba; wakati [[Hurru]] alipomwambia Hussein bin Ali (a.s): “Tueni hapa, kwani hapa ndio karibu na mto [[Furati]] iko,” Imamu Hussein (a.s) alimuuliza: “Mahala hapa panaitwaje? Akamwambia: "Panaitwa Karbala". Imamu (a.s) akasema: Hapa ndipo mahala pa Karbu (mateso) na Balaa. Baba yangu alipokuwa anaelekea [[Siffin]] alipita hapa nami nikiwa pamoja naye. Akasimama na kuuliza jina lake. Wtu waliokuwa pamoja naye wakamwambia jina lake, naye akasema: Hapa ndipo mahali vitakapofikia vipando vyao, na ndio mahala patakapomwagwa damu zao". Waliokuwa pamoja naye wakamuuliza ni makusudio yake. Akasema: “Hapa ndipo mahala utakapofikia msafara kutoka katika familia ya Muhammad (s.a.w.w).”[92] Kisha Imamu Hussein (a.s) akasema: “Hapa ndipo mahali pa vipando vyetu na mahema yetu, na hapa ndipo mahali ambapo watu wetu watauawa na ni mahali patakapomwagika damu yetu.” [93] Kisha akaamrisha wapakue mizigo yao.

Mstari 195: Mstari 195:

'''Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala'''
=== Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala ===

Siku ya [[mwezi tatu Muharram]] [[Umar bin Sa'ad]] aliingia [[Karbala]] akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa [[Kufa]]. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya [[Rai]] na [[Dastabiy]] na apambane na [[Wadailami]] (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha [[Nainawa]], Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101]

'''Mazungumzo kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad'''
=== Mazungumzo kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad ===

Baada ya Omar bin Sa'ad kutuama vizuri katika ardhi ya Karbala, alitaka kumtumia Imamu Hussein (a.s) mjumbe, ili amuulize ni kwa nini amrkuja katika ardhi hiyo na anataka nini? Aliipendekeza kazi hii ifanye na [[Uzra bin Qais Ahmasi]] pamoja na wazee wengine ambao walikuwa wameandika barua za mwaliko wa kumwita Imamu Hussein aje katika mji wao, ila wao walikataa kufanya hivyo. [102] Lakini [[Kathir bin Abdullah Shuaiba]] akakubali na akaelekea kwenye kambi ya Imamu Hussein (a.s). [[Abu Thumama Saaidiy]] hakumruhusu Kathir kwenda kwa Hussein (a.s) na silaha yake, akarudi kwa Omar bin Sa'ad bila ya natija yoyote. [103]

Mstari 207: Mstari 207:

'''Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala'''
=== Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala ===

Baada ya Imamu Hussein (a.s) kufika Karbala, Ubaidullah bin Ziad aliwakusanya watu katika [[msikiti wa Kufa]] na akagawia hongo kutoka kwa Yazid - hadi dinari elfu nne na dirham laki mbili - miongoni mwa wakuu wa makabila wa mji huo, huku akiwataka wamuunge mkono Omar bin Sa'ad katika vita vyake dhidi ya Imamu Hussein (a.s). [108]

Mstari 218: Mstari 218:

'''Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi'''
=== Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi ===

Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, [[Habib bin Madhahir Asadi]], alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa [[kabila la Bani Asad]] na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa [[Azraq bin Harbi Saidawiy]], waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto [[Furati]] na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125]

'''Mazungumzo ya mwisho ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad'''
=== Mazungumzo ya mwisho ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad ===
:''Makala Asili: [[Mazungumzo kati ya Imam Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad]]''

Mstari 231: Mstari 231:

'''Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji'''
=== Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji ===

Mnamo [[tarehe 7 Muharram]], kuliandikwa barua kutoka kwa Ubaidullah bin Ziad kwenda kwa [[Omar bin Sa'ad]] ikimtaka amfungia maji Imamu Hussein (a.s) na masahaba wake. Baada ya kupokea barua hiyo, Omar bin Sa'ad alimwagiza [[Amru bin Hajjaj Zubaidi]] kuwaongoza wapanda farasi mia tano hadi kwenye [[kingo za mto Furati]] ili kumzuia Hussein (a.s) na masahaba zake wasipate maji. [135]

Mstari 238: Mstari 238:

'''Siku ya Tasua'''
=== Siku ya Tasua ===
:''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]''
:''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]''

Mstari 248: Mstari 248:

'''Matukio ya usiku wa Ashura'''
=== Matukio ya usiku wa Ashura ===
:''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]''

Mstari 262: Mstari 262:

'''Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s)'''
=== Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s) ===

Baada ya Imamu Hussein kutangaza hadharani wasifu juu ya uaminifu wa masahaba, alirudi kambini na akaingia kwenye hema la bibi [[Zainab (a.s)]]. [[Nafi'f Ibnu Hilal]] alikiwa amekaa nje ya hema akimsubiri Hussein (a.s) akamsikia bibi Zainab (a.s) akimwambia Imamu Hussein (a.s); “Je, umewajaribu masahaba zako? Nina wasiwasi wasije wakatupa kisogo na kukusalimisha kwa madui wakati vita vitakapo wadia." Hussein (a.s) akajibu kwa kusema: “Naapa kwa Mwenye Ezi Mungu, nimewajaribu wafuasi hawa na nimewakuta ni watu ambao vifua vyao wamevigeuza kuwa ndio ngao, kwa namna ambayo wanayatazama mauti katika pembe ya macho yao, na wanayapenda mauti wakiwa katika njia yangu kama vile mtoto mchanga anyonyae anavyopenda anavyokuwa na shauku ya kukikumbatia kifua cha mama yake." Pale Nafi'i alipohisi kwamba Ahlul-Bait wa Imamu Hussein (a.s) walikuwa na wasiwasi juu ya uaminifu na uimara wa masahaba wao, alikwenda kwa Habib bin Madhahir na baada ya kushauriana naye, akaamua kushikiamana na masahaba wengine ili kumhakikishia Husein (a.s) na Ahlul-Bait wake ya kwamba; wataendelea kuwalinda hadi tone la mwisho la damu yao litakapodondoka chini na kumaliza uhai wao. [149]

Mstari 269: Mstari 269:

'''Matukio ya Siku ya Ashura'''
=== Matukio ya Siku ya Ashura ===
:''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]''

Mstari 281: Mstari 281:

'''Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein'''
=== Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein ===

Askari wa miguu chini ya uongozi wa [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1]  [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu Imamu (a.s) alipotaka kujifuta damu usoni mwake kupitia pindo la kanzu yake (au kwa kipande cha kitambaa) [163], mara [[mshale wenye ncha tatu]] na wenye sumu ukarushwa na kutua juu ya moyo wake. [164] Hapo hapo [[Malik bin Nusair]] akampiga kwa upanga Hussein (a.s) kichwani kwake, pigo zito mno, kiasi ya kamba ya kofia ya Imamu ilichanika kupitia pigo hilo. [165] Seyyed Ibn Tawus [166] ameeleza kwa kwamba; kuanguka kwa Imamu Hussein (a.s) kutoka juu ya farasi wake hadi ardhini, kulifuatia baada ya mvua ya mishale kutoka na shambulio la idadi kubwa ya askari kwa amri ya Shimru kumhujumu Imamu Hussein (a.s) katika tukio hilo. Shambuli kubwa dhidi yake, liliufanya mwili wake uwe dhaifu mno, kiasi ya kwamba akawa hata nguvu ya kusimama pia hana, na akawa anatapatapa huku akijizoa na kuanguka chini tena. [167]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits