Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam akiwa Karbala
Mstari 249: | Mstari 249: | ||
'''Matukio ya usiku wa Ashura''' | '''Matukio ya usiku wa Ashura''' | ||
''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | :''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | ||
Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenyezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni [[viapo vyenu vya utiifu]] wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (a.s), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (a.s). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenyezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni [[viapo vyenu vya utiifu]] wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (a.s), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (a.s). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | ||
Mstari 270: | Mstari 270: | ||
'''Matukio ya Siku ya Ashura''' | '''Matukio ya Siku ya Ashura''' | ||
''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | :''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | ||
Baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], [[Imamu Hussein (a.s)]] alipanga safu za vikosi vyake (wapanda farasi 32 na askari 40 wa miguu) tayari kwa mapambano. [152] Hussein (a.s) alipanda farasi kwa dhamira ya kuwakamilishia hoja maadui zake, yeye pamoja na kundi la masahaba kadhaa walikwenda mbele ya jeshi la madui na kwa ajili ya kuweka bayana juu ya haki na dhamira yake katika msimamo wake. Baada ya Imamu Hussein (a.s) kuwahutubia maadui zake, [[Zuheir bin Qain]] akaanza kuzungumza na maadui zao na kuwabainishia wasifu na hadhi ya Imamu Hussein (a.s). [154] | Baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], [[Imamu Hussein (a.s)]] alipanga safu za vikosi vyake (wapanda farasi 32 na askari 40 wa miguu) tayari kwa mapambano. [152] Hussein (a.s) alipanda farasi kwa dhamira ya kuwakamilishia hoja maadui zake, yeye pamoja na kundi la masahaba kadhaa walikwenda mbele ya jeshi la madui na kwa ajili ya kuweka bayana juu ya haki na dhamira yake katika msimamo wake. Baada ya Imamu Hussein (a.s) kuwahutubia maadui zake, [[Zuheir bin Qain]] akaanza kuzungumza na maadui zao na kuwabainishia wasifu na hadhi ya Imamu Hussein (a.s). [154] | ||
Mstari 284: | Mstari 284: | ||
Askari wa miguu chini ya uongozi wa [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1] [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu Imamu (a.s) alipotaka kujifuta damu usoni mwake kupitia pindo la kanzu yake (au kwa kipande cha kitambaa) [163], mara [[mshale wenye ncha tatu]] na wenye sumu ukarushwa na kutua juu ya moyo wake. [164] Hapo hapo [[Malik bin Nusair]] akampiga kwa upanga Hussein (a.s) kichwani kwake, pigo zito mno, kiasi ya kamba ya kofia ya Imamu ilichanika kupitia pigo hilo. [165] Seyyed Ibn Tawus [166] ameeleza kwa kwamba; kuanguka kwa Imamu Hussein (a.s) kutoka juu ya farasi wake hadi ardhini, kulifuatia baada ya mvua ya mishale kutoka na shambulio la idadi kubwa ya askari kwa amri ya Shimru kumhujumu Imamu Hussein (a.s) katika tukio hilo. Shambuli kubwa dhidi yake, liliufanya mwili wake uwe dhaifu mno, kiasi ya kwamba akawa hata nguvu ya kusimama pia hana, na akawa anatapatapa huku akijizoa na kuanguka chini tena. [167] | Askari wa miguu chini ya uongozi wa [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1] [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu Imamu (a.s) alipotaka kujifuta damu usoni mwake kupitia pindo la kanzu yake (au kwa kipande cha kitambaa) [163], mara [[mshale wenye ncha tatu]] na wenye sumu ukarushwa na kutua juu ya moyo wake. [164] Hapo hapo [[Malik bin Nusair]] akampiga kwa upanga Hussein (a.s) kichwani kwake, pigo zito mno, kiasi ya kamba ya kofia ya Imamu ilichanika kupitia pigo hilo. [165] Seyyed Ibn Tawus [166] ameeleza kwa kwamba; kuanguka kwa Imamu Hussein (a.s) kutoka juu ya farasi wake hadi ardhini, kulifuatia baada ya mvua ya mishale kutoka na shambulio la idadi kubwa ya askari kwa amri ya Shimru kumhujumu Imamu Hussein (a.s) katika tukio hilo. Shambuli kubwa dhidi yake, liliufanya mwili wake uwe dhaifu mno, kiasi ya kwamba akawa hata nguvu ya kusimama pia hana, na akawa anatapatapa huku akijizoa na kuanguka chini tena. [167] | ||
[[Faili:تابلوی عصر عاشورا.jpg|thumb]] | |||
[168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye [[Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi]] alimpiga pigo zito Imamu Hussein (a.s) katika bega lake la upande wa kushoto. [[Sinan bin Anas Nakhai]] naye akamchoma Imamu Hussein (a.s) katika koo yake. Kisha [[Saleh bin Wahb Ja'afi]] (kwa mujibu wa kauli nyengine ni Sinan bin Anas) akaja na kumpiga Hussein bin Ali (a.s) ubavuni kwa mkuki, kulikopelekea kuanguka kutoka kwenye mgongo wa farasi na kuangukia paja la kuliani kwake.[169] | [168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye [[Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi]] alimpiga pigo zito Imamu Hussein (a.s) katika bega lake la upande wa kushoto. [[Sinan bin Anas Nakhai]] naye akamchoma Imamu Hussein (a.s) katika koo yake. Kisha [[Saleh bin Wahb Ja'afi]] (kwa mujibu wa kauli nyengine ni Sinan bin Anas) akaja na kumpiga Hussein bin Ali (a.s) ubavuni kwa mkuki, kulikopelekea kuanguka kutoka kwenye mgongo wa farasi na kuangukia paja la kuliani kwake.[169] |