Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 299: Mstari 299:
Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali (a.s), askari wa upande wa maadui walishambulia mahema na kupora vilivyokuwemo ndani yake. Kila mmoja wao katika jambo hilo alikuwa akishindana na wengine.” [183] [[Shimru]] naye akiwa na kundi la askari aliingia mahemani kwa nia ya kumuua [[Imamu Sajjad (a.s)]], lakini bibi [[Zainab (a.s)]] akawazuia. Kwa mujibu wa riwaya nyingine; baadhi ya [[askari wa Omar bin Sa'ad]] walipinga jambo hilo. [184] [[Omar bin Sa'ad]] aliwaamuru wanawake watoharifu wa Bani Hashim kukusanyika kwenye hema moja na akawapa baadhi ya askari kuwalinda. [185]

== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) ==
'''Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s)'''

Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni:  

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits