Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 194: Mstari 194:
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97]
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97]


== Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala ==
'''Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala'''


Siku ya mwezi tatu Muharram Umar bin Sa'ad aliingia Karabala akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa Kufa. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya Rai na Dastabiy na apambane na Wadailami (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha Nainawa, Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101]
Siku ya [[mwezi tatu Muharram]] [[Umar bin Sa'ad]] aliingia [[Karbala]] akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa [[Kufa]]. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya [[Rai]] na [[Dastabiy]] na apambane na [[Wadailami]] (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha [[Nainawa]], Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101]




'''Mazungumzo Kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad'''
'''Mazungumzo Kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad'''


Baada ya Omar bin Sa'ad kutuama vizuri katika ardhi ya Karbala, alitaka kumtumia Imamu Hussein (a.s) mjumbe, ili amuulize ni kwa nini amrkuja katika ardhi hiyo na anataka nini? Aliipendekeza kazi hii ifanye na Uzra bin Qais Ahmasi pamoja na wazee wengine ambao walikuwa wameandika barua za mwaliko wa kumwita Imamu Hussein aje katika mji wao, ila wao walikataa kufanya hivyo. [102] Lakini Kathir bin Abdullah Shuaiba akakubali na akaelekea kwenye kambi ya Imamu Hussein (a.s). Abu Thumama Saaidiy hakumruhusu Kathir kwenda kwa Hussein (a.s) na silaha yake, akarudi kwa Omar bin Sa'ad bila ya natija yoyote. [103]
Baada ya Omar bin Sa'ad kutuama vizuri katika ardhi ya Karbala, alitaka kumtumia Imamu Hussein (a.s) mjumbe, ili amuulize ni kwa nini amrkuja katika ardhi hiyo na anataka nini? Aliipendekeza kazi hii ifanye na [[Uzra bin Qais Ahmasi]] pamoja na wazee wengine ambao walikuwa wameandika barua za mwaliko wa kumwita Imamu Hussein aje katika mji wao, ila wao walikataa kufanya hivyo. [102] Lakini [[Kathir bin Abdullah Shuaiba]] akakubali na akaelekea kwenye kambi ya Imamu Hussein (a.s). [[Abu Thumama Saaidiy]] hakumruhusu Kathir kwenda kwa Hussein (a.s) na silaha yake, akarudi kwa Omar bin Sa'ad bila ya natija yoyote. [103]


Baada ya kurejea kwa Kathir bin Abdullah, Omar bin Sa'ad alimwomba Qurratu bin Qais Handhaliy [104] aende kwa Imamu Hussein (a.s) naye akakubali. Katika kujibu ujumbe wa Omar Sa;ad kupitia Qurratu, Hussein (a.s) alisema: “Watu wa mji wako waliniandikia barua wakinitaka nije hapa. Sasa, kama hawanitaki, nitarudi. "Umar bin Sa'ad alifurahishwa na jibu hili". [105] Kwa hiyo alimwandikia barua Ibn Ziad na kumfahamisha kuhusu maneno ya Hussein bin Ali (a.s). [106] Ubaidullah bin Ziad, akijibu barua ya Omar Sa'ad, alimtaka achukue kiapo cha utiifu kutoka kwa Hussein (a.s) na masahaba zake cha kumtii Yazid na kumkubali kama ni khalifa. [107]
Baada ya kurejea kwa Kathir bin Abdullah, Omar bin Sa'ad alimwomba [[Qurratu bin Qais Handhaliy]] [104] aende kwa Imamu Hussein (a.s) naye akakubali. Katika kujibu ujumbe wa Omar Sa;ad kupitia Qurratu, Hussein (a.s) alisema: “Watu wa mji wako waliniandikia barua wakinitaka nije hapa. Sasa, kama hawanitaki, nitarudi. "Umar bin Sa'ad alifurahishwa na jibu hili". [105] Kwa hiyo alimwandikia barua Ibn Ziad na kumfahamisha kuhusu maneno ya Hussein bin Ali (a.s). [106] [[Ubaidullah bin Ziad]], akijibu barua ya Omar Sa'ad, alimtaka achukue kiapo cha utiifu kutoka kwa Hussein (a.s) na masahaba zake cha kumtii Yazid na kumkubali kama ni khalifa. [107]




'''Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala'''
'''Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala'''


Baada ya Imamu Hussein (a.s) kufika Karbala, Ubaidullah bin Ziad aliwakusanya watu katika msikiti wa Kufa na akagawia hongo kutoka kwa Yazid - hadi dinari elfu nne na dirham laki mbili - miongoni mwa wakuu wa makabila wa mji huo, huku akiwataka wamuunge mkono Omar bin Sa'ad katika vita vyake dhidi ya Imamu Hussein (a.s). [108]
Baada ya Imamu Hussein (a.s) kufika Karbala, Ubaidullah bin Ziad aliwakusanya watu katika [[msikiti wa Kufa]] na akagawia hongo kutoka kwa Yazid - hadi dinari elfu nne na dirham laki mbili - miongoni mwa wakuu wa makabila wa mji huo, huku akiwataka wamuunge mkono Omar bin Sa'ad katika vita vyake dhidi ya Imamu Hussein (a.s). [108]


Ubaidullah bin Ziad alimweka Amru bin Huraith kwenye ofisi ya Kufa na yeye mwenyewe akaondoka mjini humo pamoja na wafuasi wake na kupiga kambi katika kitongoji cha Nukhaila, na pia akawalazimisha watu washikanae naye kuelekea Nukhaila (a.s) [109] Ili awadhibiti watu wasije kushikamana na Imamu Hussein (a.s) Ubaidullahi aliamua kufunga daraja la Kufa na kulishikilia daraja hilo, ili ahakikikishe kuwa hakuna mtu atakayevuka katika na kuelekea kwa Hussein (a.s). [110]
Ubaidullah bin Ziad alimweka [[Amru bin Huraith]] kwenye ofisi ya Kufa na yeye mwenyewe akaondoka mjini humo pamoja na wafuasi wake na kupiga kambi katika kitongoji cha [[Nukhaila]], na pia akawalazimisha watu washikanae naye kuelekea Nukhaila (a.s) [109] Ili awadhibiti watu wasije kushikamana na Imamu Hussein (a.s) Ubaidullahi aliamua kufunga daraja la Kufa na kulishikilia daraja hilo, ili ahakikikishe kuwa hakuna mtu atakayevuka katika na kuelekea kwa Hussein (a.s). [110]


Kwa amri ya Ubaidullah bin Ziad, Husein bin Tamim na askari elfu nne chini ya uongozi wake walipewa wito waondoke Qadsiyyah na waelekee Nukhaila. [111] Muhammad bin Ash'ath bin Qais Kandi, Kathir bin Shahab na Qa'aqa'a bin Suwaid pia nao walipewa na Ibn Ziyadwito wa kuwatayarisha watu wao kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein bin Ali (a.s). [112] Ibn Ziad pia alimtuma Suwaid bin Abdul Rahman Manqari kwenda Kufa pamoja na baadhi ya wapanda farasi na akamwamuru afanye msako mjini Kufa na amtafute na kkumtia nguvuni yeyote yule aliyepinga na kukataa kwenda vitani dhidi ya Imamu Hussein (a.s), kisha ampelekee yeye kwa ajili ya kuwahukumu. Suwaid akamkamata mmoja wa watu wa Sham (Syria) ambaye alikuja mjini Kufa kudai urithi wake, kisha akampeleka kwa Ibn Ziad. Ibn Ziad naye aliamuru auwawe kwa ajili kuwatisha watu wa Kufa. Watu walipoona ukiatili huo, wote wakaririka na kuelekea Nukhailah. [113]
Kwa amri ya Ubaidullah bin Ziad, [[Haswin bin Tamim]] na askari elfu nne chini ya uongozi wake walipewa wito waondoke [[Qadsiyyah]] na waelekee Nukhaila. [111] [[Muhammad bin Ash'ath bin Qais Kandi]], [[Kathir bin Shahab]] na [[Qa'aqa'a bin Suwaid]] pia nao walipewa na Ibn Ziyadwito wa kuwatayarisha watu wao kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein bin Ali (a.s). [112] Ibn Ziad pia alimtuma [[Suwaid bin Abdul Rahman Manqari]] kwenda Kufa pamoja na baadhi ya wapanda farasi na akamwamuru afanye msako mjini Kufa na amtafute na kkumtia nguvuni yeyote yule aliyepinga na kukataa kwenda vitani dhidi ya Imamu Hussein (a.s), kisha ampelekee yeye kwa ajili ya kuwahukumu. Suwaid akamkamata mmoja wa watu wa Sham (Syria) ambaye alikuja mjini Kufa kudai urithi wake, kisha akampeleka kwa Ibn Ziad. Ibn Ziad naye aliamuru auwawe kwa ajili kuwatisha watu wa Kufa. Watu walipoona ukiatili huo, wote wakaririka na kuelekea Nukhailah. [113]
Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru Hussein bin Numair, Hajjar bin Abjar, Shabath bin Rib-'i na Shimru bin Dhil al-Jushan kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Hossein bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, Musabu Mari (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] Husswein bin Tamim Tahawiy akiwa na askari elfu mbili [117] na Nasru bin Harbah (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja Harith bin Yazid bin Ruwaim, naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwengine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima.


Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru [[Haswin bin Numair]], [[Hajjar bin Abjar]], [[Shabath bin Rib-'i]] na [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Haswin bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, [[Musabu Mari]] (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] [[Haswin bin Tamim Tahawiy]] akiwa na askari elfu mbili [117] na [[Nasru bin Harbah]] (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja [[Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy]] pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja [[Harith bin Yazid bin Ruwaim]], naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwingine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima.


'''Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi'''
 
== Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi ==


Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, Habib bin Madhahir Asadi, alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa kabila la Bani Asad na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa Azraq bin Harbi Saidawiy, waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto Frati na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125]
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, Habib bin Madhahir Asadi, alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa kabila la Bani Asad na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa Azraq bin Harbi Saidawiy, waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto Frati na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125]
Mstari 282: Mstari 283:
Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na Khuli bin Yazid Asbahiy, walimsogelea Hussein (a.s). Shimru aliwahimiza kummaliza Hudsein (a.s) haraka iwezekanavyo [170] lakini hakuna aliyekubali miongoni mwao. Alivyoona hivyo alimuamuru Kholi kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s). Kholi alipoingia kwenye dunia hiyo ya mauaji, mikono na mwili wake ulitetemeka na akashindwa kutekeleza alicho amrishwa. Shimru [171] au kwa mujibu kauli nyengine Sinan bin Anas [172] alishuka kutoka kwenye farasi na kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s) na kumkabidhi Khuli. [173]
Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na Khuli bin Yazid Asbahiy, walimsogelea Hussein (a.s). Shimru aliwahimiza kummaliza Hudsein (a.s) haraka iwezekanavyo [170] lakini hakuna aliyekubali miongoni mwao. Alivyoona hivyo alimuamuru Kholi kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s). Kholi alipoingia kwenye dunia hiyo ya mauaji, mikono na mwili wake ulitetemeka na akashindwa kutekeleza alicho amrishwa. Shimru [171] au kwa mujibu kauli nyengine Sinan bin Anas [172] alishuka kutoka kwenye farasi na kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s) na kumkabidhi Khuli. [173]
Allameh Tehrani katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; Nayyir Tabrizi katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein (a.s) wakati wa tukio la Karbala.
Allameh Tehrani katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; Nayyir Tabrizi katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein (a.s) wakati wa tukio la Karbala.


== Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s) ==
== Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s) ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits