Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam akiwa Karbala
Mstari 176: | Mstari 176: | ||
Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (a.s) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (s.a.w.w) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na [[Bani Umayya]]. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (a.s) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (s.a.w.w) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na [[Bani Umayya]]. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | ||
{{pull quote | {{pull quote | ||
|{{arabic|''اَلنَّاسُ عَبِیدُ الدُّنْیا وَالدِّینُ لَعْقٌ عَلَی أَلْسِنَتِهِمْ یحُوطُونَهُ مَا دَرَّتْ مَعَایشُهُمْ فَإِذَا مُحِّصُوا بِالْبَلَاءِ قَلَّ الدَّیانُونَ''}} | |{{arabic|''اَلنَّاسُ عَبِیدُ الدُّنْیا وَالدِّینُ لَعْقٌ عَلَی أَلْسِنَتِهِمْ یحُوطُونَهُ مَا دَرَّتْ مَعَایشُهُمْ فَإِذَا مُحِّصُوا بِالْبَلَاءِ قَلَّ الدَّیانُونَ''}} | ||
}} | }} | ||
::''"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." | ::''"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337.'' | ||
Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | ||
Mstari 188: | Mstari 190: | ||
::''"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."''[96] | ::''"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."''[96] | ||
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] | Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] |