Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi
Mstari 219: | Mstari 219: | ||
== Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi == | == Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi == | ||
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, Habib bin Madhahir Asadi, alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa kabila la Bani Asad na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa Azraq bin Harbi Saidawiy, waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto | Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, [[Habib bin Madhahir Asadi]], alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa [[kabila la Bani Asad]] na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa [[Azraq bin Harbi Saidawiy]], waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto [[Furati]] na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125] | ||
Mstari 227: | Mstari 227: | ||
Baina ya usiku wa 4 na wa 6 wa Muharram [126], Imamu Hussein (a.s) alikutana na Omar Sa'ad mahali fulani wakiwa katikati ya majeshi mawili na wakazungumza wao kwa wao. [127] Katika mazungumzo hayo, yalitolewa mapendekezo kadha ya kukomesha vita. Mazungumzo hayo yalimshirikisha Imamu Hussein (a.s) pamoja na kaka yake (Abbas), na kwa upande wa pili, kulikuwa na Omar Sa'ad pamoja na mwanawe na mtumwa wake katika mazungumzo hayo.[128] Kwa mujibu wa maelezo ya Muhammad bin Jarir Tabari; hakuna maelezo ya kina kuhusu maudhui ya mazungumzo yao. [129] na ripoti za kihistoria zina utata pingamizi juu ya mazungumzo yaliopita katika tukio hilo. [130] | Baina ya usiku wa 4 na wa 6 wa Muharram [126], Imamu Hussein (a.s) alikutana na Omar Sa'ad mahali fulani wakiwa katikati ya majeshi mawili na wakazungumza wao kwa wao. [127] Katika mazungumzo hayo, yalitolewa mapendekezo kadha ya kukomesha vita. Mazungumzo hayo yalimshirikisha Imamu Hussein (a.s) pamoja na kaka yake (Abbas), na kwa upande wa pili, kulikuwa na Omar Sa'ad pamoja na mwanawe na mtumwa wake katika mazungumzo hayo.[128] Kwa mujibu wa maelezo ya Muhammad bin Jarir Tabari; hakuna maelezo ya kina kuhusu maudhui ya mazungumzo yao. [129] na ripoti za kihistoria zina utata pingamizi juu ya mazungumzo yaliopita katika tukio hilo. [130] | ||
Baadhi ya watu, wakinukuu baadhi ya ripoti za kihistoria kuhusiana na mazungumzo hayo pamoja na maneno mengine ya Imamu Hussein (a.s), wamepinga kuwepo kwa aina yoyote ile ya pendekezo la Imamu Hussein (a.s) la kujisalimisha kwa Yazid au kwenda kwake.[131] Kwa upande mwingine, baadhi ya watafiti wanaamini kwamba; Barua ya Omar Sa'ad aliyomwandikia Yazid bin Muawia kufuatia mazungumzo haya inafichua madhumuni na maudhui ya mazungumzo haya. [132] Baada ya mazungumzo ya Omar bin Sa'ad na Imamu Hussein (a.s), Omar bin Sa'ad alimtumia barua Ubaidullah bin Ziad akimuelezea ya kwamba: “... | Baadhi ya watu, wakinukuu baadhi ya ripoti za kihistoria kuhusiana na mazungumzo hayo pamoja na maneno mengine ya Imamu Hussein (a.s), wamepinga kuwepo kwa aina yoyote ile ya pendekezo la Imamu Hussein (a.s) la kujisalimisha kwa Yazid au kwenda kwake.[131] Kwa upande mwingine, baadhi ya watafiti wanaamini kwamba; Barua ya Omar Sa'ad aliyomwandikia Yazid bin Muawia kufuatia mazungumzo haya inafichua madhumuni na maudhui ya mazungumzo haya. [132] Baada ya mazungumzo ya Omar bin Sa'ad na Imamu Hussein (a.s), Omar bin Sa'ad alimtumia barua Ubaidullah bin Ziad akimuelezea ya kwamba: “... Hussein bin Ali (a.s) alifanya mapatano nami, na kwamba yeye atarudi mahali alipotoka, au atakwenda katika moja ya maeneo ya Waislamu na kutosheka na haki na wajibu sawa na Waislamu wengine, au pia yuko tayari kuenda kwa [[Yazid]] na kukubaliana na lolote atakaloamrishwa na Yazid kulitekeleza, na hilo ni jambo murwa kuridhika kwenu (Yazid na vibaraka wake) na ustawi wa taifa kwa jumla.” [133] Baada ya Ubaidullah kuisoma barua hiyo alisema: “Bila shaka ndiyo barua inayostahiki kutoka kwa mtu ambaye ni kiongozi na amiru anaye wapendelea kheri watu wake!" Baada ya Ubaidullahi kuisoma barua hiyo, alikuwa karibu kukubali pendekezo hilo, ila [[Shimru bin Dhil al-Jaushan]] akawa ndio kizuizi. [134] | ||
'''Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji''' | '''Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji''' | ||
Mnamo tarehe 7 Muharram, kuliandikwa barua kutoka kwa Ubaidullah bin Ziad kwenda kwa Omar bin Sa'ad ikimtaka amfungia maji Imamu Hussein (a.s) na masahaba wake. Baada ya kupokea barua hiyo, Omar bin Sa'ad alimwagiza Amru bin Hajjaj Zubaidi kuwaongoza wapanda farasi mia tano hadi kwenye kingo za mto Furati ili kumzuia Hussein (a.s) na masahaba zake wasipate maji. [135] | Mnamo [[tarehe 7 Muharram]], kuliandikwa barua kutoka kwa Ubaidullah bin Ziad kwenda kwa [[Omar bin Sa'ad]] ikimtaka amfungia maji Imamu Hussein (a.s) na masahaba wake. Baada ya kupokea barua hiyo, Omar bin Sa'ad alimwagiza [[Amru bin Hajjaj Zubaidi]] kuwaongoza wapanda farasi mia tano hadi kwenye [[kingo za mto Furati]] ili kumzuia Hussein (a.s) na masahaba zake wasipate maji. [135] | ||
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake (Abbas) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku Nafi'i bin Hilali Al-bajali mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. | Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake ([[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas]]) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku [[Nafi'i bin Hilali Al-bajali]] mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. | ||
Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | ||
'''Siku ya Tasua''' | '''Siku ya Tasua''' | ||
:''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]'' | :''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]'' | ||
Siku ya 'Tasua', ambayo ni siku ya mwezi 9 wa Muharram mwaka wa 61 Hijiria, Baada ya Adhuhuri, ambapo ilikuwa ni baada ya sala ya Alasiri, Shimru bin Dhil al-Jushan alimfikia Omar bin Sa'ad na akampa ujumbe wa Ibn Ziad. [137] Omar bin Sa'ad akamwambia Shimru: "Mimi mwenyewe ndiye nitakaye kuwa msimamizi wa kazi". [138] | Siku ya 'Tasua', ambayo ni siku ya [[mwezi 9 wa Muharram]] mwaka wa 61 Hijiria, Baada ya Adhuhuri, ambapo ilikuwa ni baada ya [[sala ya Alasiri]], Shimru bin Dhil al-Jushan alimfikia Omar bin Sa'ad na akampa ujumbe wa Ibn Ziad. [137] Omar bin Sa'ad akamwambia Shimru: "Mimi mwenyewe ndiye nitakaye kuwa msimamizi wa kazi". [138] | ||
Kwa mujibu wa moja ya riwaya; | Kwa mujibu wa moja ya riwaya; Shimru na kwa mujibu wa riwaya nyingine [[Abdullah bin Abi al-Mahal]], mpwa wa Ummu al-Binina, alipokea barua ya dhamana kutoka kwa Ibn Ziad -ya kuwapa amani- watoto wa Ummu al-Binina. [139] Abdullah akaituma barua hiyo kwenda [[Karbala]] kupitia mtumwa wake, kisha yeye mwenyewe akafika Karbala na kuwasomea maandishi ya barua hiyo watoto wa Ummu al-Binina, lakini wao walikataa kupokea dhamana hiyo. [140] Kwa mujibu wa riwaya nyingine, Shimru ndiye aliye ipeleka barua hiyo ya dhamana Karbala na kuifikisha kwa [[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas (a.s)]] na ndugu zake, [141] lakini Abbas (a.s) na ndugu zake wote kawa pamoja waliikataa kupokea dhamana walioahidiwa katika barua hiyo. [142] Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sheikh Mufid]] Shimru, alisema na kuwambia: "Enyi wapwa zangu, mmesalimika nyinyi mupo chini ya amani" Nao wakamjibu: Mwenye Ezi Mungu akulaani wewe pamoja na barua yako ya dhamana, mnatupa sisi dhamana ya amani na mnamwacha mtoto wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) bila ya amani?! [143] | ||
Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein (a.s). [144] Imamu alipoelewa nia chafu za maadui zake, alimwelekea ndugu yake Abbas na kumwambia: “Kama unaweza kuwashawishi kuchelewesha vita mpaka kesho itakuwa ni vyema, ili usiku wa leo tupate muda wa | Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein (a.s). [144] Imamu alipoelewa nia chafu za maadui zake, alimwelekea ndugu yake Abbas na kumwambia: “Kama unaweza kuwashawishi kuchelewesha vita mpaka kesho itakuwa ni vyema, ili usiku wa leo tupate muda wa kumuomba na kumwabudu Mungu wetu. Mungu anaelewa ya kwamba; mimi napenda sana kusali na kusoma [[Qur'an Kareem|Qur’an]].” [145] Abbas akaenda kwa askari wa maadui zao na kuwataka wampe muhula usiku ule mmoja. Ibn Sa'ad alikubali kuwapa muhula wa usiku mmoja. [146] Siku ile, mahema ya Imamu Hussein (a.s) na familia yake pamoja na mahema ya masahaba zake, yakawa wamezingirwa na maadui zao. [147] | ||
Mstari 250: | Mstari 251: | ||
''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | ''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | ||
Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, Imamu Hussein ( | Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, [[Imamu Hussein (a.s)]] aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenyezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni [[viapo vyenu vya utiifu]] wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (a.s), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (a.s). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | ||
Maneno ya Imamu Hussein | Maneno ya Imamu Hussein kuhusiana na wafuasi wake usiku wa kuamkia Ashura | ||
أَمَّا بَعْدُ فَإِنِّي لَا أَعْلَمُ أَصْحَاباً أَوْفَى وَ لَا خَيْراً مِنْ أَصْحَابِي وَ لَا أَهْلَ بَيْتٍ أَبَرَّ وَ لَا أَوْصَلَ مِنْ أَهْلِ بَيْتِي فَجَزَاكُمُ اللَّهُ عَنِّي خَيْرا. | أَمَّا بَعْدُ فَإِنِّي لَا أَعْلَمُ أَصْحَاباً أَوْفَى وَ لَا خَيْراً مِنْ أَصْحَابِي وَ لَا أَهْلَ بَيْتٍ أَبَرَّ وَ لَا أَوْصَلَ مِنْ أَهْلِ بَيْتِي فَجَزَاكُمُ اللَّهُ عَنِّي خَيْرا. | ||
Tafsiri yake ni kwamba; Kwa hakika mimi sijawaona wafuasi bora wenye kujua fadhila kama wafuasi wangu mimi, na wala sijaona familia njema zaidi na yenye huruma zaidi kuliko familia yangu mimi, basi Mola akulipeni jaza njema kwa kheri zenu juu yangu. | Tafsiri yake ni kwamba; Kwa hakika mimi sijawaona wafuasi bora wenye kujua fadhila kama wafuasi wangu mimi, na wala sijaona familia njema zaidi na yenye huruma zaidi kuliko familia yangu mimi, basi Mola akulipeni jaza njema kwa kheri zenu juu yangu. | ||
Mstari 260: | Mstari 261: | ||
'''Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s)''' | '''Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s)''' | ||
Baada ya Imamu Hussein kutangaza hadharani wasifu juu ya uaminifu wa masahaba, alirudi kambini na akaingia kwenye hema la bibi Zainab (a.s). Nafi'f Ibnu Hilal alikiwa amekaa nje ya hema akimsubiri Hussein (a.s) akamsikia bibi Zainab (a.s) akimwambia Imamu Hussein (a.s); “Je, umewajaribu masahaba zako? Nina wasiwasi wasije wakatupa kisogo na kukusalimisha kwa madui wakati vita vitakapo wadia." Hussein (a.s) akajibu kwa kusema: “Naapa kwa Mwenye Ezi Mungu, nimewajaribu wafuasi hawa na nimewakuta ni watu ambao vifua vyao wamevigeuza kuwa ndio ngao, kwa namna ambayo wanayatazama mauti katika pembe ya macho yao, na wanayapenda mauti wakiwa katika njia yangu kama vile mtoto mchanga anyonyae anavyopenda anavyokuwa na shauku ya kukikumbatia kifua cha mama yake." Pale Nafi'i alipohisi kwamba Ahlul-Bait wa Imamu Hussein (a.s) walikuwa na wasiwasi juu ya uaminifu na uimara wa masahaba wao, alikwenda kwa Habib bin Madhahir na baada ya kushauriana naye, akaamua kushikiamana na masahaba wengine ili kumhakikishia Husein (a.s) na Ahlul-Bait wake ya kwamba; wataendelea kuwalinda hadi tone la mwisho la damu yao litakapodondoka chini na kumaliza uhai wao. [149] | Baada ya Imamu Hussein kutangaza hadharani wasifu juu ya uaminifu wa masahaba, alirudi kambini na akaingia kwenye hema la bibi [[Zainab (a.s)]]. [[Nafi'f Ibnu Hilal]] alikiwa amekaa nje ya hema akimsubiri Hussein (a.s) akamsikia bibi Zainab (a.s) akimwambia Imamu Hussein (a.s); “Je, umewajaribu masahaba zako? Nina wasiwasi wasije wakatupa kisogo na kukusalimisha kwa madui wakati vita vitakapo wadia." Hussein (a.s) akajibu kwa kusema: “Naapa kwa Mwenye Ezi Mungu, nimewajaribu wafuasi hawa na nimewakuta ni watu ambao vifua vyao wamevigeuza kuwa ndio ngao, kwa namna ambayo wanayatazama mauti katika pembe ya macho yao, na wanayapenda mauti wakiwa katika njia yangu kama vile mtoto mchanga anyonyae anavyopenda anavyokuwa na shauku ya kukikumbatia kifua cha mama yake." Pale Nafi'i alipohisi kwamba Ahlul-Bait wa Imamu Hussein (a.s) walikuwa na wasiwasi juu ya uaminifu na uimara wa masahaba wao, alikwenda kwa Habib bin Madhahir na baada ya kushauriana naye, akaamua kushikiamana na masahaba wengine ili kumhakikishia Husein (a.s) na Ahlul-Bait wake ya kwamba; wataendelea kuwalinda hadi tone la mwisho la damu yao litakapodondoka chini na kumaliza uhai wao. [149] | ||
Habibu bin Madhahir alitoa wito kwa masahaba wa Hussein (a.s) kukusanyika pamoja. Kisha akawaambia Bani | |||
Habibu bin Madhahir alitoa wito kwa masahaba wa Hussein (a.s) kukusanyika pamoja. Kisha akawaambia [[Bani Hashim]]: Rudini kwenye mahema yanu; Kisha akawageukia masahaba wenzake na kuwasimulia aliyoyasikia kutoka kwa Nafi'i. Wote kwa pamoja wakasema: "Tunaapa kwa Mungu aliyetubariki na kutujaalia kuwa katika nafasi hii, lau tusingesubiri amri ya Hussein a.s), tungewashambulia kwa haraka ili kuyatakasa maisha yetu na kuyaangaza macho yetu (kwa nuru ya Mola wetu)." [[Habibu bin Madhahir]], pamoja na masahaba wenzake, wakasogea hatua baada ya hatua hadi kwenye hema la Ahlul-Bait (a.s) wakiwa na panga zilizochomolewa kutoka katika ala zake, na wote kwa sauti moja na wakasema: “Enyi watoharifu wa kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w! Hizi ndizo panga za wanaume na vijana wako shujaa, ambazo hazitarudi alani mpaka zikate shingo za wenye dhamira mbaya juu yenu. Na hii ni mikuki ya wana wenu, iliowapa ya kwamba haitaingia ila kwenye vifua vya wale waliokuiteni kisha wakakufanyieni khiana.” [150] | |||
Mstari 267: | Mstari 269: | ||
''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | ''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | ||
Baada ya kusali sala ya asubuhi, Imamu Hussein (a.s) alipanga safu za vikosi vyake (wapanda farasi 32 na askari 40 wa miguu) tayari kwa mapambano. [152] | Baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], [[Imamu Hussein (a.s)]] alipanga safu za vikosi vyake (wapanda farasi 32 na askari 40 wa miguu) tayari kwa mapambano. [152] Hussein (a.s) alipanda farasi kwa dhamira ya kuwakamilishia hoja maadui zake, yeye pamoja na kundi la masahaba kadhaa walikwenda mbele ya jeshi la madui na kwa ajili ya kuweka bayana juu ya haki na dhamira yake katika msimamo wake. Baada ya Imamu Hussein (a.s) kuwahutubia maadui zake, [[Zuheir bin Qain]] akaanza kuzungumza na maadui zao na kuwabainishia wasifu na hadhi ya Imamu Hussein (a.s). [154] | ||
Moja ya matukio ya asubuhi ya Ashura ni kujiuzulu kwa Harru bin Yazid Riahi na kuachana na | Moja ya matukio ya asubuhi ya Ashura ni kujiuzulu kwa [[Harru bin Yazid Riahi]] na kuachana na j[[eshi la Omar bin Sa'ad]] kisha kujiunga na kambi ya Imamu Hussein (a.s). [155] | ||
Mwanzoni mwa vita, mashambulizi yalifanywa kwa njia ya vikundi. Yaani kila | Mwanzoni mwa vita, mashambulizi yalifanywa kwa njia ya vikundi. Yaani kila upande ulitoa kundi la jeshi fulani ili waingie mapambanoni. Kwa mujibu wa baadhi ya simulizi za kihistoria, hadi masahaba 50 wa Imam waliuawa [[kishahidi]] katika shambulio la kwanza. Baada ya hapo, masahaba wa Imamu waliamua kwenda kupigana mmoja mmoja au wawili wawili. Masahaba hao hawakumruhusu yeyote yule kutoka katika jeshi la maadui kumkaribia Imamu Hussein (a.s). [156] Baada ya kuuawa shahidi masahaba wa Imam Hussein (a.s.) asubuhi na alasiri ya Ashura, ambao si miongoni mwa watu wa kabila la bani Hasim, hapo masahaba wa kabila la [[Bani Hashimi]] wa Hussein (a.s) walijitokeza kwa ajili ya kuingia vitani. Mtu wa kwanza kutoka kwa Bani Hashim ambaye alimuomba Hussein (a.s) ruhusa ya kingia uwanjani, na hatimae kuuawa kishahidi, alikuwa ni [[Ali Akbar]]. [157] Baada yake, watu wengine wa familia ya Imamu nao waliingia uwanjani mmoja baada ya mwingine na mwishowe wakauawa kishahidi. [[Abul Fadhli al-Abbas (a.s)]], mshika bendera wa jeshi na mlinzi wa mahema, pia aliuawa kishahidi kupitia mapambano yaliojiri baina yake na walinzi wa [[mto Furati]] (Eufrates). [158] | ||
Baada ya kifo cha kishahidi cha masahaba kutoka ukoo wa Bani Hashim, Imamu | Baada ya kifo cha kishahidi cha masahaba kutoka ukoo wa Bani Hashim, Imamu Hussein (a.s.) aliingia vitani, lakini kwa muda fulani hakuna hata mtu mmoja kutoka upande wa jeshi la watu [[Kufa]] aliyejitokeza kukabiliana naye. Alipokua vitani, licha ya upweke wa Hussein (a.s) na majeraha mazito aliopata kichwani na mwilini mwake, ila bado Hussein (a.s) alionekana kuuzungusha upanga wake bila woga dhidi ya maadui zake. [159] | ||
'''Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein''' | '''Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein''' | ||
Askari wa miguu chini ya uongozi wa Shimru bin Dhil al-Jushan walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1] [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu | Askari wa miguu chini ya uongozi wa [[Shimru bin Dhil al-Jushan]] walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1] [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu Imamu (a.s) alipotaka kujifuta damu usoni mwake kupitia pindo la kanzu yake (au kwa kipande cha kitambaa) [163], mara [[mshale wenye ncha tatu]] na wenye sumu ukarushwa na kutua juu ya moyo wake. [164] Hapo hapo [[Malik bin Nusair]] akampiga kwa upanga Hussein (a.s) kichwani kwake, pigo zito mno, kiasi ya kamba ya kofia ya Imamu ilichanika kupitia pigo hilo. [165] Seyyed Ibn Tawus [166] ameeleza kwa kwamba; kuanguka kwa Imamu Hussein (a.s) kutoka juu ya farasi wake hadi ardhini, kulifuatia baada ya mvua ya mishale kutoka na shambulio la idadi kubwa ya askari kwa amri ya Shimru kumhujumu Imamu Hussein (a.s) katika tukio hilo. Shambuli kubwa dhidi yake, liliufanya mwili wake uwe dhaifu mno, kiasi ya kwamba akawa hata nguvu ya kusimama pia hana, na akawa anatapatapa huku akijizoa na kuanguka chini tena. [167] | ||
[168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi alimpiga pigo zito | [168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye [[Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi]] alimpiga pigo zito Imamu Hussein (a.s) katika bega lake la upande wa kushoto. [[Sinan bin Anas Nakhai]] naye akamchoma Imamu Hussein (a.s) katika koo yake. Kisha [[Saleh bin Wahb Ja'afi]] (kwa mujibu wa kauli nyengine ni Sinan bin Anas) akaja na kumpiga Hussein bin Ali (a.s) ubavuni kwa mkuki, kulikopelekea kuanguka kutoka kwenye mgongo wa farasi na kuangukia paja la kuliani kwake.[169] | ||
Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na Khuli bin Yazid Asbahiy, walimsogelea Hussein (a.s). Shimru aliwahimiza kummaliza Hudsein (a.s) haraka iwezekanavyo [170] lakini hakuna aliyekubali miongoni mwao. Alivyoona hivyo alimuamuru Kholi kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s). Kholi alipoingia kwenye dunia hiyo ya mauaji, mikono na mwili wake ulitetemeka na akashindwa kutekeleza alicho amrishwa. Shimru [171] au kwa mujibu kauli | Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na [[Khuli bin Yazid Asbahiy]], walimsogelea Hussein (a.s). Shimru aliwahimiza kummaliza Hudsein (a.s) haraka iwezekanavyo [170] lakini hakuna aliyekubali miongoni mwao. Alivyoona hivyo alimuamuru Kholi kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s). Kholi alipoingia kwenye [[dunia hiyo ya mauaji]], mikono na mwili wake ulitetemeka na akashindwa kutekeleza alicho amrishwa. Shimru [171] au kwa mujibu kauli nyingine Sinan bin Anas [172] alishuka kutoka kwenye farasi na kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s) na kumkabidhi Khuli. [173] | ||
Allameh Tehrani katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; Nayyir Tabrizi katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein (a.s) wakati wa tukio la Karbala. | [[Allameh Tehrani]] katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; [[Nayyir Tabrizi]] katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein (a.s) wakati wa tukio la Karbala. | ||
== Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s) == | == Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s) == |