Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam akiwa Karbala
Mstari 178: | Mstari 178: | ||
{{pull quote | {{pull quote | ||
|{{arabic| | |{{arabic|''اَلنَّاسُ عَبِیدُ الدُّنْیا وَالدِّینُ لَعْقٌ عَلَی أَلْسِنَتِهِمْ یحُوطُونَهُ مَا دَرَّتْ مَعَایشُهُمْ فَإِذَا مُحِّصُوا بِالْبَلَاءِ قَلَّ الدَّیانُونَ''}} | ||
}} | }} | ||
::"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337. | ::''"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini."'' Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337. | ||
Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | Baada ya hapo, Imamu alinunua ardhi ya Karbala, yeye ukubwa wa maili nne kwa maili nne, kutoka kwa wakazi wa huko kwa thamani ya dirham elfu sitini na akaweka nao sharti ya kwamba; wawaongoze watu kwenye kaburi lake na wawahudumie kwa muda wa siku tatu watakaokuja kulizuru kabiri lake . [94] | ||
Mstari 187: | Mstari 187: | ||
::"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."[96] | ::''"Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenyezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya [[Yazid bin Muawiya]], wassalaam."''[96] | ||
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] | Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] |