Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 39: Mstari 39:

Imamu Husein (a.s) alikaa Makka kwa zaidi ya miezi minne kuanzia (mwezi 3 Shaaban hadi mwezi 8 Dhul-Hijjah). Katika kipindi alichoko katika mji huo, wakaazi wa Makka walikuwa na kawaida ya wakimtembelea mara kwa mara. Inasemekana kwamba  

Abdullah bin Zubair hakuwa akifurahia hali hiyo ya waku kufanya mahusiano ya karibu na Imamu Hussein (a.s). Abdu llahi bin Zubair alikuwa na tamaa ya kupata kiapo cha utiifu kutoka wa wakaazi wa mji wa Makka, ila alielewa fika ya kwamba; uwepo wa Imamu Hussein katika mji huo, ni kizingiti kikubwa cha kufikia matakwa yake. Katu watu wa Makka hawakuwa tayari kumuacha Imamu Hussein na kumpa kiapo Abdullahi bin Zubair, jambo ambalo lilikuwa likimsononesha mno Ibnu Zubair. [32]

Mstari 58: Mstari 58:

Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia Omar bin Sa'ad, ambaye anatokana na kabila la Quraishi, kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makaazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Zubaala. [51]

== Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa ==

Automoderated users, confirmed, movedable
7,580

edits