Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa
Mstari 135: | Mstari 135: | ||
Hata hivyo, wazee wote wa Basra waliopokea nakala ya barua hiyo waliificha isipokuwa Mundhir bin Jaaruud, ambaye alishuku kwamba; yawezekana barua hizo ni ujanja ulitokana na | Hata hivyo, wazee wote wa Basra waliopokea nakala ya barua hiyo waliificha isipokuwa Mundhir bin Jaaruud, ambaye alishuku kwamba; yawezekana barua hizo ni ujanja ulitokana na | ||
Ubaidullah bin Ziyad. [73] Kwa hiyo, katika usiku wa kabla ya kuondoka kwa Ibn Ziyad kwenda Kufa, Mundhir aliripoti jambo hilo kwake. [74] Ibn Ziad naye akamtaka mjumbe wa Hussein (A.S) awasilishwe kwake kisha akamkata kichwa. [75] | |||
== Kubadilisha njia na kuelekea Karbala == | |||
Imam Hussein (a.s) baada ya kufika [[Adhaibu al-Hajanat]], alilazimika kubadili njia yake na kuelekea [[Karbala]]. [76] | |||
Husein ( | [[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni Huswein bin Tamimi, pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee Qadisiyyah na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na Khaffani, na baina ya Qutqutaaniyyah hadi la'ala'a. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] Harru bin Yazid Riyahi na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78] Abu Makhnaf, amenukuu habari kutoka kwa watu wawili wa kabila la Bani Asad walikuwa pamoja na Imamu Hussein (a.s) katika safari hii, ya kwamba; wakati msafara ule ulipoondoka kwenye makazi yake ya eneo la Sharaf, ulikutana na askari wa adui wakati wa nusu mchana wa siku hiyo. Katika hali hiyo, Imamu Hussein aliamua kuutiririsha msafara wake na kuelekea upande wa Dhul-Husam. [79] Adhuhuri, Harru bin Yazid na askari wake walikabiliana na Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake. Imamu Hussein akawaamuru watu wake wawape maji askari wa Harru pamoja na farasi wao. Ilipoingia wakati wa sala ya adhuhuri, Imamu Hussein (a.s) alimuamuru muadhini wake -ambaye ni Hajaj bin Masruq Ja’afiy- asome adhana, ulipofika wakati wa kusali, Imamu Hussein (a.s) baada ya kumtakasa na kumhimidi Mwenye Ezi Mungu, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! nimesimama hapa mbele yenu, ili mupate kuwa udhuru baina yenu na Mola wenu, mimi sijaja kwenu, ila baada ya kupokea barua zenu, na kujiwa na wajumbe watokao kwenu walionitaka nije kwenu wakidai kuwa hawana imamu (kiongozi), huenenda Mola akakuongozeni kupitia mimi, hivyo basi; ikiwa bado mmesimama juu ya viapo na hadi zenu, basi mimi nitakuja mjini kwenu, ila kama kuja kwangu kutakuwa ni madhara kwenu, basi niambieni ili nirudi". Baada ya hayo Hurru pamoja na jeshi lake wakawa wamekaa kimya bila ya kusema jambo. Katika hali hiyo Imamu Hussein (a.s) akaamuru ikimiwe sala, Imamu akasalisha sala ya adhuhuri na Hurru pamoja na jeshi lake wakamfuata na kusali nyuma yake. [80] | ||
Baada ya kusali sala ya Alasiri, Imamu Hussein (a.s) aliwageukia watu na kusema, "Enyi watu! Mtamkhofu Mwenye Ezi Mungu na kutambua ya kwamba haki yabidi iwafikie wanaostahiki, mtakuwa mmejitengenezea njia ya kumridhisha Mwenye Ezi Mungu. Sisi ni Ahlulbait, ndio tunaostahiki zaidi kushika nafasi ya uongozi wa jamii kuliko na wale wanaodai uongozi kwa hadaa na uongo, amabo matendo yao katika kukuongozeni hayaendani na misingi adilifu, na kazi yao ni kukufanyieni dhulma tu. Kama hamtuhisabu kuwa sisi ndio wenye haki hii na hamtaki kututii, na kama barua zenu hazilingani na maneno na rai zenu, basi mimi hivi sasa nitaamua kurudi nilikotoka." Harru ibn Yazid akajibu, "Mimi sina habari yoyote ili kuhusiana na barua ulizozitaja, na wala iisi hatukuwa miongoni mwa waandishi wa barua hizo, sisi tumeamreishwa kukupeleka kwa Ubaidullah ibn Ziad mara tu tunapokutana nawe." [81] | |||
Hussein (a.s) akawambia masahaba zake wageuze njia tayari kwa kurudi walikota, lakini Harru na jeshi lake wakamzuia. Hurru akasema: "Ni lazima nikupeleke kwa Ubaidullahi bin Ziad!" Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: "Naapa kwa Mungu, sitafungamana nawe kwenda kwa Ubadullahi." Hur akasema: Sijaagizwa kupigana nanyi; ila nimaagizwa nisikubanduke hadi nikupeleke mji wa Kufa, kwa hiyo kama unakataa kuja, basi ni bora ukashika njia ambayo haitakupeleka Kufa wala Madina; ili nipate kisingizio cha kumwandikia barua Ubaidullahi. Na kama utapenda kumwandikia barua Yazid basi mwandikie, huenda labda hii italeta amani na mwafaka mwema, na kwa maoni yangu hii ni bora kuliko mimi kujichafua mbele yako kupitia vita na migogoro." [82] | |||
Hussein ( | |||
Msafara wa Imamu Hussein (a.s) ulisogea kutoka upande wa kushoto wa barabara za "Udhaibu" na "Qadisiyyah" na kufuata njia nyengine, Hurru naye akawa pamoja naye katika msafara huo. [83] | |||
Kuwasili kwa Imam Hussein ( | |||
Vyanzo vingi katika ripoti zake, vimeitaja siku ya pili ya Muharram ya mwaka wa 61 Hijiria kuwa ndio siku ambayo Imam Husein ( | '''Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi''' | ||
Hussein a.s), akiwa kwenye makazi ya “Baidhah” [84], baada ya kusali sala ya asubuhi, aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “Nainawa” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86] | |||
Hurru alimsomea Imamu (a.s) barua ya Ibn Ziad na Hussein bin Ali (a.s) akamwambia: “Acha tutue Nainawi au Ghaadhiriyyah.” [87] Hurru akamwambia: “Haiwezekani, kwa sababu Ubaidullah, amembakisha aliyeileta barua hii awe ni mpelelezi dhidi yangu!" Zuhair bin Qain alipendekeza wapigane dhidi ya Hurru na jeshi lake, kwa sababu kazi itakuwa ni ngumu zaidi iwapo jeshi la hurru litaungana na askari wengine wa Ubaidullah. Imam akajibu, “Mimi katu sitakuwa ni mwanzilishi wa vita". Kisha wakaendelea na msafara wao hadi Karbala, walipofika Karbala, Hurru na wafuasi wake wakasimama mbele ya msafara wao na kumzuia Imamu na masahaba wake kuendelea na safari yao. [89] | |||
== Imam ndani ya Karbala == | |||
'''Kuwasili kwa Imam Hussein (a.s) huko Karbala''' | |||
Vyanzo vingi katika ripoti zake, vimeitaja siku ya pili ya Muharram ya mwaka wa 61 Hijiria kuwa ndio siku ambayo Imam Husein (a.s) na masahaba zake waliingia Karbala. [90] Dainuri ambaye ni mwanahistoria wa karne ya tatu Hijiria, ameutaja mwezi mosi wa Muhaaram, kuwa ndio siku ambayo Imamu na masahaba zake walifika Karbala. [91] Kwa mujibu wa ripoti za katika kitabu chake "Maqtalu al-Husein", ni kwamba; wakati Hurru alipomwambia Hussein bin Ali (a.s): “Tueni hapa, kwani hapa ndio karibu na mto Furati iko,” Imamu Hussein (a.s) alimuuliza: “Mahala hapa panaitwaje? Akamwambia: "Panaitwa Karbala". Imamu (a.s) akasema: Hapa ndipo mahala pa Karbu (mateso) na Balaa. Baba yangu alipokuwa anaelekea Saffin alipita hapa nami nikiwa nikiwa pamoja naye. Akasimama na kuuliza jina lake. Wtu waliokuwa pamoja naye wakamwambia jina lake, naye akasema: Hapa ndipo mahali vitakapofikia vipando vyao, na ndio mahala patakapomwagwa damu zao". Waliokuwa pamoja naye wakamuuliza ni makusudio yake. Akasema: “Hapa ndipo mahala utakapofikia msafara kutoka katika familia ya Muhammad (s.a.w.w).”[92] Kisha Imamu Husein (a.s) akasema: “Hapa ndipo mahali pa vipando vyetu na mahema yetu, na hapa ndipo mahali ambapo watu wetu watauawa na ni mahali patakapomwagika damu yetu.” [93] Kisha akaamrisha wapakue mizigo yao. | |||
Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (A.S) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (S.A.W.W) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W.W) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na Bani Umayya. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (A.S) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (S.A.W.W) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W.W) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na Bani Umayya. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema: | ||
Mstari 166: | Mstari 174: | ||
Har bin Yazid Riahi alimwandikia barua Ubaidullahi bin Ziad na kumfahamisha kuhusu kutua kwa Husein (A.S) katika ardhi hiyo. [95] Kufuatia barua hiyo, Ubaidullahi alimwandikia barua Imamu Hussein (A.S) isemayo: | Har bin Yazid Riahi alimwandikia barua Ubaidullahi bin Ziad na kumfahamisha kuhusu kutua kwa Husein (A.S) katika ardhi hiyo. [95] Kufuatia barua hiyo, Ubaidullahi alimwandikia barua Imamu Hussein (A.S) isemayo: | ||
“Ewe | “Ewe Hussein, nimepata habari kuhusu kutua kwako katika ardhi ya Karbala; Amirul-Muuminina - Yazid bin Muawia - ameniamrisha nisipwese wala nisilishibishe tumbo langu mpaka nikukutanishe na Mwenye Ezi Mungu Mjuzi na Mpole, (yaani nikutoe roho), au nikulazimishe uyakubali yangu mimi na uukubali utawala na serikali ya Yazid bin Muawiya, wassalaam." [96] | ||
Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, | Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97] | ||
== Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala == | |||
Siku ya mwezi tatu Muharram Umar bin Sa'ad aliingia Karabala akiwa pamoja ja jeshi la watu elfu nne watoka mji wa Kufa. [98] Kuhusiana na msukumo na ushawishi uliomfanya Omar bin Sa'ad aende Karbala, imeelezwa ya kwamba; Ubadullahi bin Ziad almpa cheo ja ujemedari wa kuongoza jeshi la watu wa Kufa lenye idadi ya watu elfu nne, na kumtaka aende kwenye vitongoji vya Rai na Dastabiy na apambane na Wadailami (Wairani watokao mji wa Dailam ulioko Kaskazini mwa Iran) wanaishi ndani ya viutongoji hivyo. Pia Ubaidullahi alikuwa tayari kashamwandikia Omar bin Sa'ad waraka wa kumtawalisha na kumpa uongozi wa mji wa Rai (ulioko Iran). Omar bin Sa'ad pamoja na wafuasi wake wakaweka kambi yao katika kitongoji kijulikanacho kwa jin lana 'Hammam A'ayun' kiliopo nje ya mji wa Kufa. Omara bin Sa'ad alikuwa akijitayarisha kwa ajili ya kwenda Rai, ila baada ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa, Ibnu Ziad akamwamrisha Omar bin Sa'ad aende kupambana na Imamu Hussein (a.s), na baada ya kumaliza mapambano hayo aelekee mjini Rai. Ibnu Zian hakufurahia kwenda kupambana na Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo alimwomba Ubaidullahi amruhusu aende Rai badala yeye kupambana na Imamu Hussein (a.s). Ubaidullahi alikataa maombi ya Omar bin Sa'ad, na akamshurutisha kama atakataa kupigana na Hussein (a.s), basi ajiuzulu nafasi ya uongozi wa mji wa Rai. [99] Au katiba ya baba yake na baba yake, na uthabiti wake, kwa shida, ambayo iko katika eneo hili, ambalo. ina nguvu sana. Baada ya omar bin Sa'ad kuona sistizo la nguvu kutoka kwa Ubaidullahi bin Ziad, akaamua kukubali kwenda Karbala. 100 Hivyo akaondoka kuelekea Karbala yeye pamoja na jeshi lake, na kesho yake ambayo Imamu Hussein alfika Kitongoji cha Nainawa, Omar bin Sa'ad akwa tayari ameshafika Karbala. [101] | |||
'''Mazungumzo Kati ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad''' | |||
Kwa amri ya Ubaidullah bin Ziad, Husein bin Tamim na askari elfu nne chini ya uongozi wake walipewa wito waondoke Qadsiyyah na waelekee Nukhaila. [111] Muhammad bin Ash'ath bin Qais Kandi, Kathir bin Shahab na Qa'aqa'a bin Suwaid pia nao walipewa na Ibn Ziyadwito wa kuwatayarisha watu wao kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein bin Ali ( | Baada ya Omar bin Sa'ad kutuama vizuri katika ardhi ya Karbala, alitaka kumtumia Imamu Hussein (a.s) mjumbe, ili amuulize ni kwa nini amrkuja katika ardhi hiyo na anataka nini? Aliipendekeza kazi hii ifanye na Uzra bin Qais Ahmasi pamoja na wazee wengine ambao walikuwa wameandika barua za mwaliko wa kumwita Imamu Hussein aje katika mji wao, ila wao walikataa kufanya hivyo. [102] Lakini Kathir bin Abdullah Shuaiba akakubali na akaelekea kwenye kambi ya Imamu Hussein (a.s). Abu Thumama Saaidiy hakumruhusu Kathir kwenda kwa Hussein (a.s) na silaha yake, akarudi kwa Omar bin Sa'ad bila ya natija yoyote. [103] | ||
Baada ya kurejea kwa Kathir bin Abdullah, Omar bin Sa'ad alimwomba Qurratu bin Qais Handhaliy [104] aende kwa Imamu Hussein (a.s) naye akakubali. Katika kujibu ujumbe wa Omar Sa;ad kupitia Qurratu, Hussein (a.s) alisema: “Watu wa mji wako waliniandikia barua wakinitaka nije hapa. Sasa, kama hawanitaki, nitarudi. "Umar bin Sa'ad alifurahishwa na jibu hili". [105] Kwa hiyo alimwandikia barua Ibn Ziad na kumfahamisha kuhusu maneno ya Hussein bin Ali (a.s). [106] Ubaidullah bin Ziad, akijibu barua ya Omar Sa'ad, alimtaka achukue kiapo cha utiifu kutoka kwa Hussein (a.s) na masahaba zake cha kumtii Yazid na kumkubali kama ni khalifa. [107] | |||
'''Jaribio la Ibn Ziad la kupeleka jeshi Karbala''' | |||
Baada ya Imamu Hussein (a.s) kufika Karbala, Ubaidullah bin Ziad aliwakusanya watu katika msikiti wa Kufa na akagawia hongo kutoka kwa Yazid - hadi dinari elfu nne na dirham laki mbili - miongoni mwa wakuu wa makabila wa mji huo, huku akiwataka wamuunge mkono Omar bin Sa'ad katika vita vyake dhidi ya Imamu Hussein (a.s). [108] | |||
Ubaidullah bin Ziad alimweka Amru bin Huraith kwenye ofisi ya Kufa na yeye mwenyewe akaondoka mjini humo pamoja na wafuasi wake na kupiga kambi katika kitongoji cha Nukhaila, na pia akawalazimisha watu washikanae naye kuelekea Nukhaila (a.s) [109] Ili awadhibiti watu wasije kushikamana na Imamu Hussein (a.s) Ubaidullahi aliamua kufunga daraja la Kufa na kulishikilia daraja hilo, ili ahakikikishe kuwa hakuna mtu atakayevuka katika na kuelekea kwa Hussein (a.s). [110] | |||
Kwa amri ya Ubaidullah bin Ziad, Husein bin Tamim na askari elfu nne chini ya uongozi wake walipewa wito waondoke Qadsiyyah na waelekee Nukhaila. [111] Muhammad bin Ash'ath bin Qais Kandi, Kathir bin Shahab na Qa'aqa'a bin Suwaid pia nao walipewa na Ibn Ziyadwito wa kuwatayarisha watu wao kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein bin Ali (a.s). [112] Ibn Ziad pia alimtuma Suwaid bin Abdul Rahman Manqari kwenda Kufa pamoja na baadhi ya wapanda farasi na akamwamuru afanye msako mjini Kufa na amtafute na kkumtia nguvuni yeyote yule aliyepinga na kukataa kwenda vitani dhidi ya Imamu Hussein (a.s), kisha ampelekee yeye kwa ajili ya kuwahukumu. Suwaid akamkamata mmoja wa watu wa Sham (Syria) ambaye alikuja mjini Kufa kudai urithi wake, kisha akampeleka kwa Ibn Ziad. Ibn Ziad naye aliamuru auwawe kwa ajili kuwatisha watu wa Kufa. Watu walipoona ukiatili huo, wote wakaririka na kuelekea Nukhailah. [113] | |||
Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru Hussein bin Numair, Hajjar bin Abjar, Shabath bin Rib-'i na Shimru bin Dhil al-Jushan kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Hossein bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, Musabu Mari (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] Husswein bin Tamim Tahawiy akiwa na askari elfu mbili [117] na Nasru bin Harbah (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja Harith bin Yazid bin Ruwaim, naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwengine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima. | Watu walipokusanyika Nukhaila, Ubaidullah alimuamuru Hussein bin Numair, Hajjar bin Abjar, Shabath bin Rib-'i na Shimru bin Dhil al-Jushan kujiunga na kambi yake ili kumsaidia Ibnu Sa'ad. [114] Shimru alikuwa ndiye mtu wa kwanza kutekeleza amri yake.[115] Baada ya Shimru akafuatia Zaid (Yazid) bin Rakaab al-Kalbi akiwa pamoja na watu elfu mbili, Hossein bin Numair Sakuni pamoja na watu elfu nne, Musabu Mari (Mozair bin Rahina Maaziniy) pamoja na watu elfu tatu, [116] Husswein bin Tamim Tahawiy akiwa na askari elfu mbili [117] na Nasru bin Harbah (Harashah) pamoja na jeshi la watu elfu mbili kutoka mji wa Kufa, wote kwa jumla wakaenda kujiunga na jeshi la Omar bin Sa'ad. [118] Kisha Ibn Ziad akamtuma mtu kwa Shabath bin Rabi'i na kumtaka aende kufungamana na Omar bin Saad. Shabbat naye akajiunga na Omar bin Sa'ad pamoja na wapanda farasi elfu moja. [119] Baada ya Shabath akafuatia Hajjar bin Abjar akiwa na jeshi la watu elfu moja. [120] Baada yake akaja Muhammad bin Ash'ath bin Qais Al- Kindiy pamoja na askari elfu moja. [121] Kisha akaja Harith bin Yazid bin Ruwaim, naye akashikamana na makundi hayo na kuelekea Karbala. [122] Kila kukicha Ubaidullah bin Ziad akawa anatuma kundi la askari wa Kufi kwenda Karbala asubuhi na jioni. Mara alikuwa akituma watu 20, 30, 50, na wakati mwengine watu wafikao100. [123] Haadi ilipofika mwezi 6 Muharram, Idadi ya jeshi la Omar bin Sa'ad ilifikia idadi ya zaidi ya watu elfu ishirini, [124] huku Ubaidullah akiwa amemfanya Omar bin Sa'ad kuwa ndiye mkuu wa jeshi zima. | ||
'''Juhudi za Habib bin Madhahir za kukusanya jeshi''' | |||
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwa Shaarani; baada ya mkusanyiko wa askari wa Omar bin Sa'ad huko Karbala, Habib bin Madhahir Asadi, alipoona uhaba wa masahaba wa Hussein (a.s), kwa idhini ya Imamu, alikwenda bila kujulikana kwa ukoo wa kabila la Bani Asad na kuwaomba waje kumsaidia Imamu Hussein (a.s). Bani Asad, wakifuatana na Habib bin Madhahir Asadi, wakaondoka usiku kuelekea kwenye kambi ya Imam Hussein (a.s), ila askari wa Omar bin Sa'ad, chini ya uongozi wa Azraq bin Harbi Saidawiy, waliwafungia njia kwenye ukingo wa mto Frati na wakazuia msaada wao. Baada ya mzozo wa hapa na pale, Bani Asad wakarudi majumbani mwao na Habib akarudi kwa Hussein peke yake. [125] | |||
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein ( | |||
'''Mazungumzo ya mwisho ya Imamu Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad''' | |||
:''Makala Asili: [[Mazungumzo kati ya Imam Hussein (a.s) na Omar bin Sa'ad]]'' | |||
Baina ya usiku wa 4 na wa 6 wa Muharram [126], Imamu Hussein (a.s) alikutana na Omar Sa'ad mahali fulani wakiwa katikati ya majeshi mawili na wakazungumza wao kwa wao. [127] Katika mazungumzo hayo, yalitolewa mapendekezo kadha ya kukomesha vita. Mazungumzo hayo yalimshirikisha Imamu Hussein (a.s) pamoja na kaka yake (Abbas), na kwa upande wa pili, kulikuwa na Omar Sa'ad pamoja na mwanawe na mtumwa wake katika mazungumzo hayo.[128] Kwa mujibu wa maelezo ya Muhammad bin Jarir Tabari; hakuna maelezo ya kina kuhusu maudhui ya mazungumzo yao. [129] na ripoti za kihistoria zina utata pingamizi juu ya mazungumzo yaliopita katika tukio hilo. [130] | |||
Baadhi ya watu, wakinukuu baadhi ya ripoti za kihistoria kuhusiana na mazungumzo hayo pamoja na maneno mengine ya Imamu Hussein (a.s), wamepinga kuwepo kwa aina yoyote ile ya pendekezo la Imamu Hussein (a.s) la kujisalimisha kwa Yazid au kwenda kwake.[131] Kwa upande mwingine, baadhi ya watafiti wanaamini kwamba; Barua ya Omar Sa'ad aliyomwandikia Yazid bin Muawia kufuatia mazungumzo haya inafichua madhumuni na maudhui ya mazungumzo haya. [132] Baada ya mazungumzo ya Omar bin Sa'ad na Imamu Hussein (a.s), Omar bin Sa'ad alimtumia barua Ubaidullah bin Ziad akimuelezea ya kwamba: “... Husein bin Ali (a.s) alifanya mapatano nami, na kwamba yeye atarudi mahali alipotoka, au atakwenda katika moja ya maeneo ya Waislamu na kutosheka na haki na wajibu sawa na Waislamu wengine, au pia yuko tayari kuenda kwa Yazid na kukubaliana na lolote atakaloamrishwa na Yazid kulitekeleza, na hilo ni jambo murwa kuridhika kwenu (Yazid na vibaraka wake) na ustawi wa taifa kwa jumla.” [133] Baada ya Ubaidullah kuisoma barua hiyo alisema: “Bila shaka ndiyo barua inayostahiki kutoka kwa mtu ambaye ni kiongozi na amiru anaye wapendelea kheri watu wake!" Baada ya Ubaidullahi kuisoma barua hiyo, alikuwa karibu kukubali pendekezo hilo, ila Shimru bin Dhil al-Jaushan akawa ndio kizuizi. [134] | |||
'''Mwezi 7 Muharram na kufungiwa maji''' | |||
Mnamo tarehe 7 Muharram, kuliandikwa barua kutoka kwa Ubaidullah bin Ziad kwenda kwa Omar bin Sa'ad ikimtaka amfungia maji Imamu Hussein (a.s) na masahaba wake. Baada ya kupokea barua hiyo, Omar bin Sa'ad alimwagiza Amru bin Hajjaj Zubaidi kuwaongoza wapanda farasi mia tano hadi kwenye kingo za mto Furati ili kumzuia Hussein (a.s) na masahaba zake wasipate maji. [135] | |||
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake (Abbas) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku Nafi'i bin Hilali Al-bajali mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. | |||
Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136] | ||
Siku ya Tasua | '''Siku ya Tasua''' | ||
Makala Asili: Siku ya Tasua | :''Makala Asili: [[Siku ya Tasua]]'' | ||
Siku ya 'Tasua', ambayo ni siku ya mwezi 9 wa Muharram mwaka wa 61 Hijiria, Baada ya Adhuhuri, ambapo ilikuwa ni baada ya sala ya Alasiri, Shimru bin Dhil al-Jushan alimfikia Omar bin Sa'ad na akampa ujumbe wa Ibn Ziad. [137] Omar bin Sa'ad akamwambia Shimru: "Mimi mwenyewe ndiye nitakaye kuwa msimamizi wa kazi". [138] | Siku ya 'Tasua', ambayo ni siku ya mwezi 9 wa Muharram mwaka wa 61 Hijiria, Baada ya Adhuhuri, ambapo ilikuwa ni baada ya sala ya Alasiri, Shimru bin Dhil al-Jushan alimfikia Omar bin Sa'ad na akampa ujumbe wa Ibn Ziad. [137] Omar bin Sa'ad akamwambia Shimru: "Mimi mwenyewe ndiye nitakaye kuwa msimamizi wa kazi". [138] | ||
Kwa mujibu wa moja ya riwaya; Shimru na kwa mujibu wa riwaya nyingine Abdullah bin Abi al-Mahal, mpwa wa Ummu al-Binina, alipokea barua ya dhamana kutoka kwa Ibn Ziad -ya kuwapa amani- watoto wa Ummu al-Binina. [139] Abdullah akaituma barua hiyo kwenda Karbala kupitia mtumwa wake, kisha yeye mwenyewe akafika Karbala na kuwasomea maandishi ya barua hiyo watoto wa Ummu al-Binina, lakini wao walikataa kupokea dhamana hiyo. [140] Kwa mujibu wa riwaya nyingine, Shimru ndiye aliye ipeleka barua hiyo ya dhamana Karbala na kuifikisha kwa Abbas ( | Kwa mujibu wa moja ya riwaya; Shimru na kwa mujibu wa riwaya nyingine Abdullah bin Abi al-Mahal, mpwa wa Ummu al-Binina, alipokea barua ya dhamana kutoka kwa Ibn Ziad -ya kuwapa amani- watoto wa Ummu al-Binina. [139] Abdullah akaituma barua hiyo kwenda Karbala kupitia mtumwa wake, kisha yeye mwenyewe akafika Karbala na kuwasomea maandishi ya barua hiyo watoto wa Ummu al-Binina, lakini wao walikataa kupokea dhamana hiyo. [140] Kwa mujibu wa riwaya nyingine, Shimru ndiye aliye ipeleka barua hiyo ya dhamana Karbala na kuifikisha kwa Abbas (a.s) na ndugu zake, [141] lakini Abbas (a.s) na ndugu zake wote kawa pamoja waliikataa kupokea dhamana walioahidiwa katika barua hiyo. [142] Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Mufid Shimru, alisema na kuwambia: "Enyi wapwa zangu, mmesalimika nyinyi mupo chini ya amani" Nao wakamjibu: Mwenye Ezi Mungu akulaani wewe pamoja na barua yako ya dhamana, mnatupa sisi dhamana ya amani na mnamwacha mtoto wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) bila ya amani?! [143] | ||
Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein ( | Jioni ya siku ya "Tasu'a", Omar bin Sa’ad alinadi akisema: "Enyi jeshi la Mungu! Pandeni vipando vyenu minibashirie. Askari wakapanda na kuelekea kwenye kambi ya Imamu Husein (a.s). [144] Imamu alipoelewa nia chafu za maadui zake, alimwelekea ndugu yake Abbas na kumwambia: “Kama unaweza kuwashawishi kuchelewesha vita mpaka kesho itakuwa ni vyema, ili usiku wa leo tupate muda wa kumwomba na kumwabudu Mungu wetu. Mungu anaelewa ya kwamba; mimi napenda sana kusali na kusoma Qur’ani.” [145] Abbas akaenda kwa askari wa maadui zao na kuwataka wampe muhula usiku ule mmoja. Ibn Sa'ad alikubali kuwapa muhula wa usiku mmoja. [146] Siku ile, mahema ya Imamu Hussein (a.s) na familia yake pamoja na mahema ya masahaba zake, yakawa wamezingirwa na maadui zao. [147] | ||
'''Matukio ya Usiku wa Ashura''' | |||
''Makala Asili: [[Usiku wa Ashura (Matukio)]]'' | |||
Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, Imamu Hussein (A.S) aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenye Ezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni viapo vyenu vya utiifu wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (A.S), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (A.S). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | Mwanzoni mwa usiku wa Ashura, Imamu Hussein (A.S) aliwakusanya masahaba zake na baada ya kumhimidi Mwenye Ezi Mungu akawaambia: “Nadhani hii ndiyo siku ya mwisho ya sisi kuwa na muhula kutoka kwa watu hawa. Fahamuni kwamba nilikupeni ruhusa ya kuondoka na kwenda majumbani mwenu. Hivyo basi kila mtu yupo huru kuondoka bila y akhofu yoyote, nendeni kwa amani nami nimeridhika kukurudishieni viapo vyenu vya utiifu wenu juu yangu. Sasa kwa vile giza la usiku limekufunikeni, basi lichukue giza hilo kama ndio kipando chenu na nendeni zenuni.” Katika wakati huo, kwanza familia ya Imamu na kisha masahaba wa Imamu wote -kupitia ibara za hamasa- walitangaza uaminifu wao katika kushikanmana na Imamu Hussein (A.S), wao walisisitiza juu ya kutoa muhanga maisha yao kwa ajili ya kumtetea Imamu Hussein (A.S). Ibara zao za hamasa zimerikodiwa katika vyanzo kadhaa vya kihistoria. [148] | ||
Maneno ya Imamu Hussein Kuhusiana na Wafuasi Wake Usiku wa Kuamkia Ashura | Maneno ya Imamu Hussein Kuhusiana na Wafuasi Wake Usiku wa Kuamkia Ashura | ||
أَمَّا بَعْدُ فَإِنِّي لَا أَعْلَمُ أَصْحَاباً أَوْفَى وَ لَا خَيْراً مِنْ أَصْحَابِي وَ لَا أَهْلَ بَيْتٍ أَبَرَّ وَ لَا أَوْصَلَ مِنْ أَهْلِ بَيْتِي فَجَزَاكُمُ اللَّهُ عَنِّي خَيْرا. | أَمَّا بَعْدُ فَإِنِّي لَا أَعْلَمُ أَصْحَاباً أَوْفَى وَ لَا خَيْراً مِنْ أَصْحَابِي وَ لَا أَهْلَ بَيْتٍ أَبَرَّ وَ لَا أَوْصَلَ مِنْ أَهْلِ بَيْتِي فَجَزَاكُمُ اللَّهُ عَنِّي خَيْرا. | ||
Tafsiri yake ni kwamba; Kwa hakika mimi sijawaona wafuasi bora wenye kujua fadhila kama wafuasi wangu mimi, na wala sijaona familia njema zaidi na yenye huruma zaidi kuliko familia yangu mimi, basi Mola akulipeni jaza njema kwa kheri zenu juu yangu. | |||
Rejea kitabu cha Sheikh Mofid, Al-Irshad, chapa ya mwaka 1399 Shamsia, Juzuu 2, uk 91. | Rejea kitabu cha Sheikh Mofid, Al-Irshad, chapa ya mwaka 1399 Shamsia, Juzuu 2, uk 91. | ||
Matukio ya Siku ya Ashura | '''Wasiwasi wa Bibi Zainab (a.s)''' | ||
Makala Asili: Siku ya Ashura (matukio) | |||
Baada ya kusali sala ya asubuhi, Imamu Hussein ( | Baada ya Imamu Hussein kutangaza hadharani wasifu juu ya uaminifu wa masahaba, alirudi kambini na akaingia kwenye hema la bibi Zainab (a.s). Nafi'f Ibnu Hilal alikiwa amekaa nje ya hema akimsubiri Hussein (a.s) akamsikia bibi Zainab (a.s) akimwambia Imamu Hussein (a.s); “Je, umewajaribu masahaba zako? Nina wasiwasi wasije wakatupa kisogo na kukusalimisha kwa madui wakati vita vitakapo wadia." Hussein (a.s) akajibu kwa kusema: “Naapa kwa Mwenye Ezi Mungu, nimewajaribu wafuasi hawa na nimewakuta ni watu ambao vifua vyao wamevigeuza kuwa ndio ngao, kwa namna ambayo wanayatazama mauti katika pembe ya macho yao, na wanayapenda mauti wakiwa katika njia yangu kama vile mtoto mchanga anyonyae anavyopenda anavyokuwa na shauku ya kukikumbatia kifua cha mama yake." Pale Nafi'i alipohisi kwamba Ahlul-Bait wa Imamu Hussein (a.s) walikuwa na wasiwasi juu ya uaminifu na uimara wa masahaba wao, alikwenda kwa Habib bin Madhahir na baada ya kushauriana naye, akaamua kushikiamana na masahaba wengine ili kumhakikishia Husein (a.s) na Ahlul-Bait wake ya kwamba; wataendelea kuwalinda hadi tone la mwisho la damu yao litakapodondoka chini na kumaliza uhai wao. [149] | ||
Habibu bin Madhahir alitoa wito kwa masahaba wa Hussein (a.s) kukusanyika pamoja. Kisha akawaambia Bani Hashem: Rudini kwenye mahema yanu; Kisha akawageukia masahaba wenzake na kuwasimulia aliyoyasikia kutoka kwa Nafi'i. Wote kwa pamoja wakasema: "Tunaapa kwa Mungu aliyetubariki na kutujaalia kuwa katika nafasi hii, lau tusingesubiri amri ya Hussein a.s), tungewashambulia kwa haraka ili kuyatakasa maisha yetu na kuyaangaza macho yetu (kwa nuru ya Mola wetu)." Habibu, pamoja na masahaba wenzake, wakasogea hatua baada ya hatua hadi kwenye hema la Ahlul-Bait (a.s) wakiwa na panga zilizochomolewa kutoka katika ala zake, na weote kwa sauti moja na wakasema: “Enyi watoharifu wa kizazi cha Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w! Hizi ndizo panga za wanaume na vijana wako shujaa, ambazo hazitarudi alani mpaka zikate shingo za wenye dhamira mbaya juu yenu. Na hii ni mikuki ya wana wenu, iliowapa ya kwamba haitaingia ila kwenye vifua vya wale waliokuiteni kisha wakakufanyieni khiana.” [150] | |||
'''Matukio ya Siku ya Ashura''' | |||
''Makala Asili: [[Siku ya Ashura (matukio)]]'' | |||
Baada ya kusali sala ya asubuhi, Imamu Hussein (a.s) alipanga safu za vikosi vyake (wapanda farasi 32 na askari 40 wa miguu) tayari kwa mapambano. [152] Husein (a.s) alipanda farasi kwa dhamira ya kuwakamilishia hoja maadui zake, yeye pamoja na kundi la masahaba kadhaa walikwenda mbele ya jeshi la madui na kwa ajili ya kuweka bayana juu ya haki na dhamira yake katika msimamo wake. Baada ya Imamu Hussein (a.s) kuwahutubia maadui zake, Zuheir bin Qain akaanza kuzungumza na maadui zao na kuwabainishia wasifu na hadhi ya Imamu Hussein (a.s). [154] | |||
Moja ya matukio ya asubuhi ya Ashura ni kujiuzulu kwa Harru bin Yazid Riahi na kuachana na jeshi la Omar bin Sa'ad kisha kujiunga na kambi ya Imamu Hussein (a.s). [155] | |||
Mwanzoni mwa vita, mashambulizi yalifanywa kwa njia ya vikundi. Yaani kila ipande ulitoa kundi la jashe fulani ili waingie mapambanoni. Kwa mujibu wa baadhi ya simulizi za kihistoria, hadi masahaba 50 wa Imam waliuawa kishahidi katika shambulio la kwanza. Baada ya hapo, masahaba wa Imamu waliamua kwenda kupigana mmoja mmoja au wawili wawili. Masahaba hao hawakumruhusu yeyote yule kutoka katika jeshi la maadui kumkaribia Imamu Hussein (a.s). [156] Baada ya kuuawa shahidi masahaba wa Imam Husein (a.s.) asubuhi na alasiri ya Ashura, ambao si miongoni mwa watu wa kabila la bani Hasim, hapo masahaba wa kabila la Bani Hashemi wa Husein (a.s) walijitokeza kwa ajili ya kuingia vitani. Mtu wa kwanza kutoka kwa Bani Hashim ambaye alimwomba Hussein (a.s) ruhusa ya kingia uwanjani, na hatimae kuuawa kishahidi, alikuwa ni Ali Akbar. [157] Baada yake, watu wengine wa familia ya Imamu nao waliingia uwanjani mmoja baada ya mwingine na mwishowe wakauawa kishahidi. Abul Fadhli al-Abbas (a.s), mshika bendera wa jeshi na mlinzi wa mahema, pia aliuawa kishahidi kupitia mapambano yaliojiri baina yake na walinzi wa mto Furati (Eufrates). [158] | |||
Baada ya kifo cha kishahidi cha masahaba kutoka ukoo wa Bani Hashim, Imamu Husein (a.s.) aliingia vitani, lakini kwa muda fulani hakuna hata mtu mmoja kutoka upande wa jeshi la watu Kufa aliyejitokeza kukabiliana naye. Alipokua vitani, licha ya upweke wa Hussein (a.s) na majeraha mazito aliopata kichwani na mwilini mwake, ila bado Hussein (a.s) alionekana kuuzungusha upanga wake bila woga dhidi ya maadui zake. [159] | |||
'''Kuuawa Shahidi kwa Imam Hussein''' | |||
Askari wa miguu chini ya uongozi wa Shimru bin Dhil al-Jushan walimzunguka Hussein (a.s); Lakini bado hakukutokea aliyejitokeza na kumsogelea Imamu Hussein (a.s) huku Shimru akiwahimiza kumshambuli na kumwingia mwilini. [160] Baada Shimru kuona hali hiyo, aliwaamuru wapiga mishale kumpopoa Imamu (a.s) kwa mishale. Kwa sababu ya wingi wa mishale, mwili wa Imamu Hussein (a.s) ukuwa umejaa mishale kila mahala. [Maelezo 1] [161] Katika hali hiyo, Hussein bin Ali (a.s) alirudi nyuma na maadui zake wakawa wakapanga mstari mbele yake. [162] Majeraha na uchovu vilimfanya Husein (a.s) kuwa dhaifu sana ikambidi kusimama na kupumzika kidogo. Akiwa katika hali hiyo, kulitoka jiwe kutoka upande wa maadui zake na kusibu paji la lake la uso, damu zikaanza kutiririka kutoka usoni mwake. Mara tu imamu (A.S) alipotaka kujifuta damu usoni mwake kupitia pindo la kanzu yake (au kwa kipande cha kitambaa) [163], mara mshale wenye ncha tatu na wenye sumu ukarushwa na kutua juu ya moyo wake. [164] Hapo hapo Malik bin Nusair akampiga kwa upanga Hussein (a.s) kichwani kwake, pigo zito mno, kiasi ya kamba ya kofia ya Imamu ilichanika kupitia pigo hilo. [165] Seyyed Ibn Tawus [166] ameeleza kwa kwamba; kuanguka kwa Imamu Hussein (a.s) kutoka juu ya farasi wake hadi ardhini, kulifuatia baada ya mvua ya mishale kutoka na shambulio la idadi kubwa ya askari kwa amri ya Shimru kumhujumu Imamu Hussein (a.s) katika tukio hilo. Shambuli kubwa dhidi yake, liliufanya mwili wake uwe dhaifu mno, kiasi ya kwamba akawa hata nguvu ya kusimama pia hana, na akawa anatapatapa huku akijizoa na kuanguka chini tena. [167] | |||
Askari wa miguu chini ya uongozi wa Shimru bin Dhil al-Jushan walimzunguka Hussein ( | |||
[168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi alimpiga pigo zito imamu Hussein ( | [168] Pia mmoja wa askari anayeitwaye Zar'atu bin Shariik Al-Tamimi alimpiga pigo zito imamu Hussein (a.s) katika bega lake la upande wa kushoto. Sinan bin Anas Nakhai naye akamchoma Imamu Hussein (a.s) katika koo yake. Kisha Saleh bin Wahb Ja'afi (kwa mujibu wa kauli nyengine ni Sinan bin Anas) akaja na kumpiga Hussein bin Ali (a.s) ubavuni kwa mkuki, kulikopelekea kuanguka kutoka kwenye mgongo wa farasi na kuangukia paja la kuliani kwake.[169] | ||
Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na Khuli bin Yazid Asbahiy, walimsogelea Hussein ( | Shimru bin Dhi al-Jawshan pamoja na kundi la askari wa Omar Sa'ad, akiwemo Sinan bin Anas na Khuli bin Yazid Asbahiy, walimsogelea Hussein (a.s). Shimru aliwahimiza kummaliza Hudsein (a.s) haraka iwezekanavyo [170] lakini hakuna aliyekubali miongoni mwao. Alivyoona hivyo alimuamuru Kholi kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s). Kholi alipoingia kwenye dunia hiyo ya mauaji, mikono na mwili wake ulitetemeka na akashindwa kutekeleza alicho amrishwa. Shimru [171] au kwa mujibu kauli nyengine Sinan bin Anas [172] alishuka kutoka kwenye farasi na kukikata kichwa cha Imamu Hussein (a.s) na kumkabidhi Khuli. [173] | ||
Allameh Tehrani katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; Nayyir Tabrizi katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein ( | Allameh Tehrani katika kitabu chake 'Lamaatu al-Hussein [174] anaamini ya kwamba; Nayyir Tabrizi katika shairi lake maarufu amefafanu vyema hali ya viumbe mbalimbali katika ulimwengu -kila mmoja kulingana na uwezo wake na kipaji chake- walivyomlilia Imamu Hussein (a.s) wakati wa tukio la Karbala. | ||
Matukio | |||
Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (A.S), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir ( | == Matukio baada ya kifo cha kishahidi cha Imamu (a.s) == | ||
Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (A.S), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir (a.s) katika moja ya riwaya anasema: "Farasi huyo wakati alipokuwa anarudi mahemani alikuwa akisema: | |||
الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن بنت نبيّها | الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن بنت نبيّها | ||
"Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii, ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao ( | "Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii, ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao (s.a.w.w)". [179] Dhul -Janahi Alipofika kwenye mahemani, alikuwa akilia na kupiga kichwa chake chini. Familia ya Imamu Hussein walipomwona Farasi wa Imamu Hussein katika hali hiyo, walitoka nje ya mahema yao na kumkusanyikia na kumpapasa kichwani, uso na miguuni mwake. Kulthum akaweka mikono yake miwili juu ya kichwa chake na kusema: "Waa Muhammadaah Waa Jaddaah Waa Nabiyyaah.." | ||
"Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" | "Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" | ||
[180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein ( | [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181] | ||
Kupora | == Kupora mahemani == | ||
Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali ( | |||
Baada ya kifo cha kishahidi cha Hussein bin Ali (a.s), askari wa upande wa maadui walishambulia mahema na kupora vilivyokuwemo ndani yake. Kila mmoja wao katika jambo hilo alikuwa akishindana na wengine.” [183] Shimru naye akiwa na kundi la askari aliingia mahemani kwa nia ya kumuua Imamu Sajjad (a.s), lakini bibi Zainab (a.s) akawazuia. Kwa mujibu wa riwaya nyingine; baadhi ya askari wa Omar bin Sa'ad walipinga jambo hilo. [184] Omar bin Sa'ad aliwaamuru wanawake watoharifu wa Bani Hashim kukusanyika kwenye hema moja na akawapa baadhi ya askari kuwalinda. [185] | |||
== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) == | |||
Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (A.S) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (A.S) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni: | ||
* Is-haq bin Hawiyyah [187] | |||
* Akhnas bin Marthad [188] | |||
* Hakim bin Tufail | |||
* Amru bin Sabiih | |||
* Rajaa-u bin Munqidh Abdiy | |||
* Salim bin Khaithamah Ja'afiy | |||
* Waahidhi bin Naim | |||
* Saleh bin Wahab Ja'afiy | |||
* Hani bin Shabthi Khadhrami | |||
* Usaidu bin Malik [189] | |||
'''Kupeleka Vichwa vya Mashahidi Huko Kufa''' | |||
Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia Kholi bin Yazid Asbahi na Hamid bin Muslim Azdiy ili wakifikishe kwa Obaidullah bin Ziad. Vile vile aliamuru vichwa vya mashahidi wa Karbala viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa Shimru bin Dhi al-Jawshan, Qais bin Ash'ath, Amru bin Hajjaj na Uzratu bin Qais, ili wavifikisha mjini Kufa. [190] | |||
[[Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s)]] | |||
Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]] | |||
Imamu Sajjad (A.S), ambaye alikuwa ni mgonjwa, pamoja na bibi Zainab (a.s) pamoja na wengine waliosalimika roho zao vitani, walikamatwa na kupelekwa mjini Kufa kwa Ibn Ziad, kisha kufikishwa kwenye kasri ya Yazid huko Syria. [191] | |||
Imamu Sajjad (A.S), ambaye alikuwa ni mgonjwa, pamoja na bibi Zainab ( | |||