Nenda kwa yaliyomo

Sala ya maiti : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Sala ya maiti ni sala iliyowajibishwa kwa Waislamu kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Swala ya maiti ina takbira tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo: Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa shahada mbili, baada ya takbira ya pili ya husaliwa Mume (S.A.W.W), baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa sala hiyo, kisha huhit...')
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Sala ya maiti ni sala iliyowajibishwa kwa Waislamu kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Swala ya maiti ina takbira tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
'''Sala ya maiti''' (Kiarabu: '''''صلاة الميت''''') ni sala [[iliyowajibishwa]] kwa [[Muislamu|Waislamu]] kuisalia maiti ya Muislamu mwenzao kabla ya kuizika maiti hiyo. Swala ya maiti ina [[takbira]] tano. Mfumo wa kumsalia maiti kama ifuatavyo:  
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa shahada mbili, baada ya takbira ya pili ya husaliwa Mume (S.A.W.W), baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa  sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo.
Baada ya takbira ya kwanza ya husomwa [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili ya [[husaliwa Mume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu kwa jumla, na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha marehemu anayesaliwa  sala hiyo, kisha huhitimishwa sala hiyo kwa kusomwa takbira ya tano, yaani haimalizwi kwa kutoa salamu, bali itolewapo takbira ya tano, huwa ndiyo hitimisho la sala hiyo.


Swala ya maiti ni tofauti na sala nyingine; Sala hii huwa haina haisomwi Suratul-Fatiha ndani yake, haina rukuu, haina sijda, haina tashahhud (tahiyyatu) na wala haina salamu, yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. Tohara (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa huwa haizingatiwi ndani ya sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali sala ya maiti bila ya kuwa na udhu au hata bila ya kukoga josho la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali sala ya maiti hali akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo.
Swala ya maiti ni tofauti na sala nyingine; Sala hii huwa haina haisomwi [[Surat al-Fatiha]] ndani yake, haina [[rukuu]], haina [[sijda]], haina [[tashahhud]] (tahiyyatu) na wala haina [[salamu]], yaani huwa haihitimishwi kwa kutoa salamu. [[Tohara]] (usafi wa mwili pamoja na udhu) huwa huwa haizingatiwi ndani ya sala ya maiti, hivyo mtu yuwaweza kusali sala ya maiti bila ya kuwa na [[udhu]] au hata bila ya [[kukoga josho]] la wajibu, yaani hata kama mtu atakuwa na janaba basi hatolazimika kukoga, bali anaweza kusali sala ya maiti hali akiwa na janaba. Bila shaka ni bora zaidi iwapo mtu atachunga masharti ya sala nyingine za faradhi katika sala hiyo.


Sala ya mazishi inaweza kusaliwa kwa jamaa na pia yaweza kusaliwa furada (ya kila mtu kusali peke yake bila ya kuunga jamaa). Katika sala ya maiti, hata mtu akiisali sala hiyo kwa mfumo wa jamaa, yeye atawajibika kukariri au kusoma kila kisomwacho ndani ya sala hiyo. Yaani haitoshi imamu peke yake kusoma yasomwayo katika sala hiyo, watu wanaosali sala hiyo wanatakiwa nao kusoma kila kisomwacho ndani yake.
Sala ya mazishi inaweza [[kusaliwa kwa jamaa]] na pia yaweza kusaliwa furada (ya kila mtu kusali peke yake bila ya kuunga jamaa). Katika sala ya maiti, hata mtu akiisali sala hiyo kwa mfumo wa jamaa, yeye atawajibika kukariri au kusoma kila kisomwacho ndani ya sala hiyo. Yaani haitoshi imamu peke yake kusoma yasomwayo katika sala hiyo, watu wanaosali sala hiyo wanatakiwa nao kusoma kila kisomwacho ndani yake.


Swala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya Sunni huwa ina takbira nne na hunamalizia kwa salam.
Swala ya maiti kwa mujibu wa madhehebu ya [[Sunni]] huwa ina [[takbira]] nne na hunamalizia kwa [[salamu]].


Ufafanuzi
Sala ya maiti ni mkusanyiko wa dua pamoja na takbira ambazo ni wajibu kwa Waislamu kumsomea maiti wa Kiislamu baada ya kumuosha na kumkafini na kabla ya kumzika. Kwa mujibu wa vyanzo vya kifiqhi, baadhi ya sharti za sala ya faradhi kama vile usafi na tohara ya udhu pamoja na mwili, si sharti katika sala ya maita.


Sala ya Maiti si Miongoni mwa Sala
== Ufafanuzi ==
Kwa mujibu wa maneno ya Shahidi Thani ni kwamba; Kulingana na maoni ya mafaqihi mashuhur, sala ya maitihaizingatiwi kuwa ni miongoni mwa sala, bali ni aina maalumu ya kwa ajili ya kumombea maiti. Kwa sababu hakuna sala isiyo na rukuu wala sujudu, pia usafi nao ni sharti ya kila sala, ila sala ya maiti haina lolote lile miongoni mwa mambo hayo. [3]


Katika kitabu cha Fiqh al-Ridha, imeelezwa katika Hadithi ya Imamu Ridha (A.S) ya kwamba; Sala ya maiti sio sala bali ni takbira tu; Kwa sababu sala halisi ni lazima ndani yake iwe na rukuu na sujudu. [4]
Sala ya maiti ni mkusanyiko wa dua pamoja na takbira ambazo ni wajibu kwa Waislamu kumsomea maiti wa Kiislamu baada ya kumuosha na [[kumkafini]] na kabla ya [[kumzika]]. Kwa mujibu wa vyanzo vya kifiqhi, baadhi ya sharti za sala ya faradhi kama vile usafi na tohara ya udhu pamoja na mwili, si sharti katika sala ya maita.


Jinsi ya Kusali Sala ya Maiti
 
Ili kusali sala ya maiti kuanze, kanza kabisa maiti huelekezwa upande wa Qibla, yaani kichwa cha maiti kiwe upande wa kulia na miguu iwe upande wa kushoto wa wenye kusali. [5] Msalia maiti natakiwa asimame akiwa ameelekea upande wa Qiblah, [6] wala asiwe mbali na maiti, [7] ] naye anatakiwa kusali sala hiyo hali akiwa wima. [8]
== Sala ya Maiti si Miongoni mwa Sala ==
 
Kwa mujibu wa maneno ya [[Shahidi Thani]] ni kwamba; Kulingana na maoni ya [[mafaqihi]] mashuhur, sala ya maitihaizingatiwi kuwa ni miongoni mwa sala, bali ni aina maalumu ya kwa ajili ya kumombea maiti. Kwa sababu hakuna sala isiyo na [[rukuu]] wala [[sujudu]], pia [[Tohara|tohara]] nayo ni sharti ya kila sala, ila sala ya maiti haina lolote lile miongoni mwa mambo hayo. [3]
 
Katika kitabu cha [[Fiqh al-Ridha]], imeelezwa katika Hadithi ya [[Imamu Ridha (a.s)]] ya kwamba; Sala ya maiti sio sala bali ni [[takbira]] tu; Kwa sababu [[sala]] halisi ni lazima ndani yake iwe na rukuu na sujudu. [4]
 
 
== Jinsi ya Kusali Sala ya Maiti ==
 
Ili kusali sala ya maiti kuanze, kanza kabisa maiti huelekezwa upande wa [[Qibla]], yaani kichwa cha maiti kiwe upande wa kulia na miguu iwe upande wa kushoto wa wenye kusali. [5] Msalia maiti natakiwa asimame akiwa ameelekea upande wa Qiblah, [6] wala asiwe mbali na maiti, [7] ] naye anatakiwa kusali sala hiyo hali akiwa wima. [8]


Baada ya wanaomsalia maiti kutia nia ya kusali sala ya maiti, hapo wasali sala hiyo kwa kutoa takbira tano, baada ya kila takbira katika nne za mwanzo, huwa kuna sua maalumu ndani yake, baaya ya kumaliza kusoma takbira nne za mwanzo pamoja na dua lizizomo ndani yake, mwishi watoa takbira ya tano, na hapo sala yao itakuwa imeshakamilika. [9]
Baada ya wanaomsalia maiti kutia nia ya kusali sala ya maiti, hapo wasali sala hiyo kwa kutoa takbira tano, baada ya kila takbira katika nne za mwanzo, huwa kuna sua maalumu ndani yake, baaya ya kumaliza kusoma takbira nne za mwanzo pamoja na dua lizizomo ndani yake, mwishi watoa takbira ya tano, na hapo sala yao itakuwa imeshakamilika. [9]


Baada ya takbira ya kwanza hutolewa (husomwa) shada mbili, baada ya takbira ya pili husaliwa Mtume (S.A.W.W), baada ya takbira ya tatu huwaombewa msamaha waumini na Waislamu wote kwa jumla na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha yule anayesaliwa sala hiyo ya maiti. [10]
Baada ya takbira ya kwanza hutolewa (husomwa) [[Shahada mbili|shahada mbili]], baada ya takbira ya pili [[husaliwa Mtume (s.a.w.w)]], baada ya takbira ya tatu huwaombea msamaha [[waumini]] na Waislamu wote kwa jumla na baada ya takbira ya nne humuombewa msamaha yule anayesaliwa sala hiyo ya maiti. [10]
Adhkari (nyiradi) na dua zisomwazo baada ya kila takbira miongoni mwa takbira nne za mwazo, kama vile:
Adhkari (nyiradi) na dua zisomwazo baada ya kila takbira miongoni mwa takbira nne za mwazo, kama vile:


Automoderated users, confirmed, movedable
7,696

edits