Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

imported>TawakkalMS8
imported>TawakkalMS8
Mstari 24: Mstari 24:


Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] inabainisha kwamba:
Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] inabainisha kwamba:
Vita vya kijeshi vinajulikana kwa jina la jihadi ndogo na mapambano dhidi ya nafsi yamepewa jina la jihadi kubwa [9]. [[Allama Tabatabai]] anaamini kwamba mapambano na nafsi ambayo yemetajwa katika riwaya ni mapambano na nafs ammara (yenye kuamrisha maovu) [10]. Hali kadhalika [[Allama  Muhammad Baqir Majlisi]] kwa kutumia hadithi isemayo kwamba adui wako mkubwa zaidi ni nafsi yako! Naye anaamini kwamba, nafsi inayokusudiwa ni nafsi yenye kuamrisha maovu[11]. ‘’ Adui mkubwa zaidi ‘’ wa mwanadamu ni nafs ammara yaani nafsi yenye kuamrisha (maovu).[12]
Vita vya kijeshi vinajulikana kwa jina la jihadi ndogo na mapambano dhidi ya nafsi yamepewa jina la jihadi kubwa<ref>Tazama: Kulaini, al-Kafi, 1407 H, juz. 5, uk. 12</ref>. [[Allama Tabatabai]] anaamini kwamba mapambano na nafsi ambayo yemetajwa katika riwaya ni mapambano na nafs ammara (yenye kuamrisha maovu)<ref>Allamah Tabatabai, al-Mizan, 1417 H, juz. 14, uk. 411</ref>. Hali kadhalika [[Allama  Muhammad Baqir Majlisi]] kwa kutumia hadithi isemayo kwamba adui wako mkubwa zaidi ni nafsi yako! Naye anaamini kwamba, nafsi inayokusudiwa ni nafsi yenye kuamrisha maovu<ref>Majmu'atu Warram, 1410 H, juz. 1, uk. 59</ref>. ‘’ Adui mkubwa zaidi ‘’ wa mwanadamu ni nafs ammara yaani nafsi yenye kuamrisha (maovu).<ref>Al-Majlisi, Bihar al-Anwar, juz. 67, uk. 36-37</ref>
[[Shahidi Muratadha Mutahhari]] pia kwa kutegemea hadithi isemayo: ''المُجاهِد مَن جاهَدَ نَفْسَه''; ''Mwenye kufanya jihadi ni yule mwenye kupambana na nafsi yake'' [13], ameandika kwamba; makusudio ya jihadi ya nafsi ni kupambana na nafs ammara yenye kuamrisha maovu [14].
[[Shahidi Muratadha Mutahhari]] pia kwa kutegemea hadithi isemayo: ''المُجاهِد مَن جاهَدَ نَفْسَه''; ''Mwenye kufanya jihadi ni yule mwenye kupambana na nafsi yake''<ref>Sayyied Radhi, al-Majazat al-Nabawiyyah, 1422 H, uk. 194</ref>, ameandika kwamba; makusudio ya jihadi ya nafsi ni kupambana na nafs ammara yenye kuamrisha maovu<ref>Mutahhari, Majmu'i-e Athar, juz. 23, uk. 592</ref>.
 


== Rejea ==
== Rejea ==
Anonymous user