Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
imported>TawakkalMS8
imported>TawakkalMS8
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:

[[Picha:مکارم اخلاق.jpg|thumb]]
'''Al-Nafs Al-Ammara''' (Kiarabu: '''''النفس الأمارة''''') Nafsi yenye kuamrisha ; ni hali ya kinafsi ambayo inavuta na kumshawishi mtu kufanya mambo, maovu, mabaya na [[dhambi|madhambi]]. Istilahi hii imechukuliwa kutoka katika [[aya]] ya 53 ya [[Surat Yusuf]]. Maana ya matamanio ya nafsi ni ileile nafsi ya kuamrisha. Hali kadhalika kinachokusudiwa katika [[jihadi ya nafsi]] au jihadi kubwa ambayo imebainishwa katika [[Hadith|riwaya]], ni kupambana na nafsi yenye kuamrisha.

Anonymous user