Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

imported>TawakkalMS8
imported>TawakkalMS8
Mstari 13: Mstari 13:
== Nafs Ammara, nafsi ya daraja ya chini zaidi ==
== Nafs Ammara, nafsi ya daraja ya chini zaidi ==


Baadhi wanaona kuwa, nafsi ina daraja tofauti tofauti na wanaihesabu na kuiweka Nafs Ammar (nafsi yenye kuamrisha maovu) katika daraja ya chini zaidi ya nafsi.  Wanasema kwamba; Nafsi ina daraja kadhaa; ambapo daraja ya chini zaidi ni nafs ammara (yenye kuamrisha mabaya), ambapo katika hali ya nafsi hiyo, mwanadamu hawezi kutumia wala kufuata maamrisho na maamuzi ya akili salama. Nafsi ya juu zaidi ya hiyo ni [[nafs lawwamah]] kwa maana ya nafsi yenye kujialaumu, ambapo katika hali hiyo mwanadamu ni mwenye kujilaumu kutokana mambo na matendo mabaya ambayo ameyafanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya [[nafsul ammara]] ni nafs Mut’mainnah [5]. Katika hatua na daraja hii ya nafsi, ni kwamba kutokana na mtu kufuata maamuzi ya akili sahihi kwa muda mrefu na kwa daima, hivyo kitendo hiki huwa na athari na mazoea chanya katika nafsi yake na kuipelekea nafsi kufikia hatua na daraja ya utulivu na yakini [6].
Baadhi wanaona kuwa, nafsi ina daraja tofauti tofauti na wanaihesabu na kuiweka Nafs Ammar (nafsi yenye kuamrisha maovu) katika daraja ya chini zaidi ya nafsi.  Wanasema kwamba; Nafsi ina daraja kadhaa; ambapo daraja ya chini zaidi ni nafs ammara (yenye kuamrisha mabaya), ambapo katika hali ya nafsi hiyo, mwanadamu hawezi kutumia wala kufuata maamrisho na maamuzi ya akili salama. Nafsi ya juu zaidi ya hiyo ni [[nafs lawwamah]] kwa maana ya nafsi yenye kujialaumu, ambapo katika hali hiyo mwanadamu ni mwenye kujilaumu kutokana mambo na matendo mabaya ambayo ameyafanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya [[nafsul ammara]] ni nafs Mut’mainnah<ref>Mishabah Yazdi, Ayne Parvaz, uk. 26-27; Mutahhari, Majmu'i-e Athar, juz. 3, uk. 595-596</ref>. Katika hatua na daraja hii ya nafsi, ni kwamba kutokana na mtu kufuata maamuzi ya akili sahihi kwa muda mrefu na kwa daima, hivyo kitendo hiki huwa na athari na mazoea chanya katika nafsi yake na kuipelekea nafsi kufikia hatua na daraja ya utulivu na yakini<ref>Mishbah Yazdi, Ayne Parvaz, uk. 27</ref>.


=== Kutopingana nafsi tofauti na utambulisho mmoja wa mwanadamu ===
=== Kutopingana nafsi tofauti na utambulisho mmoja wa mwanadamu ===


Maulamaa wa dini tukufu ya kiislamu wanasema kwamba, mwanadamu ana nafsi (ambayo ni yeye mwenyewe yaani mmoja) na mtu kuwa na nafsi moja haipingani na suala la uwepo wa nafs Ammara, nafs lawwama wala nafs Mut’mainnah ambazo zina maana ya nafsi yenye kuamrisha maovu, nafsi yenye kujilaumu kutokana na makosa yake na nafsi yenye utulivu na yakini. Wanazuoni wa Kiislamu wanaamini kwamba, istilahi hizi (za aina za nafsi) ni hali, hatua na daraja mbali mbali ambazo zinaonyesha nafsi na kuitambulisha hali zake [7]. Yaani ni kwamba; wakati ambapo nafsi inapotoa amri ya (mtu) kufanya mambo mabaya au matendo maovu, tunasema kwamba hiyo ni nafs ammara yenye kuamrisha maovu. Wakati ambapo nafsi (ya mtu) yenyewe inajilaumu kutokana na makosa yake, nafsi hiyo tunaiita kwa jina la nafs Lawwama  au nafsi yenye kujuta kutokana na  makosa yake [8].
Maulamaa wa dini tukufu ya kiislamu wanasema kwamba, mwanadamu ana nafsi (ambayo ni yeye mwenyewe yaani mmoja) na mtu kuwa na nafsi moja haipingani na suala la uwepo wa nafs Ammara, nafs lawwama wala nafs Mut’mainnah ambazo zina maana ya nafsi yenye kuamrisha maovu, nafsi yenye kujilaumu kutokana na makosa yake na nafsi yenye utulivu na yakini. Wanazuoni wa Kiislamu wanaamini kwamba, istilahi hizi (za aina za nafsi) ni hali, hatua na daraja mbali mbali ambazo zinaonyesha nafsi na kuitambulisha hali zake<ref>Al-Majlisi, Bihar al-Anwar, juz. 67, uk. 36-37; Mutahhari, Majmu'i-e Athar, juz. 3, uk. 595; Mishbah Yazdi, Akhlaq va Efrane Islami, uk. 8</ref>. Yaani ni kwamba; wakati ambapo nafsi inapotoa amri ya (mtu) kufanya mambo mabaya au matendo maovu, tunasema kwamba hiyo ni nafs ammara yenye kuamrisha maovu. Wakati ambapo nafsi (ya mtu) yenyewe inajilaumu kutokana na makosa yake, nafsi hiyo tunaiita kwa jina la nafs Lawwama  au nafsi yenye kujuta kutokana na  makosa yake<ref>Mishbah Yazdi, Akhlaq va Erfane Islami, uk. 8</ref>.


== Kupambana na al-nafs al-ammara ==
== Kupambana na al-nafs al-ammara ==
Anonymous user