Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari
Salim (majadiliano | michango) |
Salim (majadiliano | michango) |
||
Mstari 43: | Mstari 43: | ||
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == | == Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == | ||
Kwa mujibu wa Jawad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w) katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]], kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya [[Hassan bin Thabit]], [[Nu’man bin Bashir]] na [[Tarmah bin Hakim]]. | Kwa mujibu wa Jawad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w) katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]], kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya [[Hassan bin Thabit]], [[Nu’man bin Bashir]] na [[Tarmah bin Hakim]]. <ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 134, 1422 H.</ref> Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na [[Mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu]]. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina.<ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 136, 1422 H.</ref> | ||
Kwa mujibu wa JaWad Ali, kulikuwa na mgogoro kati ya Muhajirina na Ansar wakati wa zama za [[Muawiya bin Abi Sufyan]] na zama za [[Yazid bin Muawiya]]; ingawa, katika kipindi hiki, neno Muhajirina na Ansari lilitumiwa kwa uchache mno na zaidi kulitumika maneno kama vile Qureshi na Yamani. | Kwa mujibu wa JaWad Ali, kulikuwa na mgogoro kati ya Muhajirina na Ansar wakati wa zama za [[Muawiya bin Abi Sufyan]] na zama za [[Yazid bin Muawiya]]; ingawa, katika kipindi hiki, neno Muhajirina na Ansari lilitumiwa kwa uchache mno na zaidi kulitumika maneno kama vile Qureshi na Yamani.<ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 134-136, 1422 H.</ref> | ||
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, [[tukio la Saqifa]] ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari. | Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria, [[tukio la Saqifa]] ilikuwa medani na uwanja wa ushindani na mzozo kati ya Muhajirina na Ansari.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 220-221, 1387 H.</ref> Wakati wa kupewa baiya na kiapo cha utii Abu Bakr, Habab bin Mundhir, ambaye alikuwa anatokana na Ansari, alichomoa upanga na kuwaelekezea Muhajirina. Aidha Omar bin al-Khattab alimhutubu [[Saad bin Ubadah]], aliyekuwa mmoja wa shakhsia wakubwa wa Kiansari na kumuita kuwa ni [[mnafiki]].<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 220-221, 1387 H.</ref> | ||
== Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == | == Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == |