Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
→Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa
Salim (majadiliano | michango) |
Salim (majadiliano | michango) |
||
Mstari 51: | Mstari 51: | ||
== Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == | == Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == | ||
Baada ya kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), kundi la Ansari lilikusanyika katika ukumbi wa [[Saqifa Bani Saidah]] ili kumchagua Sa'd bin Ubadah kuwa khalifa. Lakini wakati Muhajirina akiwemo Abu Bakr bin Abi Qahafa, Omar bin Khattab na [[Abu Ubaydah Jarrah]], walipoungana nao, kulizuka mabishano na migongano. | Baada ya kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), kundi la Ansari lilikusanyika katika ukumbi wa [[Saqifa Bani Saidah]] ili kumchagua Sa'd bin Ubadah kuwa khalifa. Lakini wakati Muhajirina akiwemo Abu Bakr bin Abi Qahafa, Omar bin Khattab na [[Abu Ubaydah Jarrah]], walipoungana nao, kulizuka mabishano na migongano.<ref>Ibnu Athir, al-Kamil, juz. 2, uk. 325, 1385 H.</ref> Abu Bakr, ambaye yeye mwenyewe alikuwa mmoja wa Muhajirina alisema kwamba Muhajirina walikuwa bora kuliko Ansari na hivyo walistahili zaidi [[ukhalifa]].<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 219-220, 1387 H.</ref> Habab bin Mundhir, ambaye alitokana na Ansari, alipendekeza kuchaguliwa kwa Amir kutoka kwa Ansari na Amir kutoka kwa Muhajirina ambapo pendekezo lake lilipingwa na Omar bin Khattab. Kisha Abu Bakr akapendekeza Omar bin Al Khattab na Abu Ubaidah Jarrah, ambao walikuwa miongoni mwa Muhajirina kwa ajili ya ukhalifa. Lakini wawili hao hawakukubali, na kwa kusema mambo mazuri kuhusu Abu Bakr, walimwona kuwa anastahiki ukhalifa na wakatoa baiya kwake.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 220-221, 1387 H.</ref> Kisha [[kabila la Bani Aslam]], ambao walikuwa na mfungamano na Muhajarina liliingia Madina na kutoa baiya na [[kiapo cha utii]] kwa Abu Bakr.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 205 1387 H.</ref> | ||
== Muhajirina Mashuhuri == | == Muhajirina Mashuhuri == |