Nenda kwa yaliyomo

Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 35: Mstari 35:
== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina ==
== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina ==


Baada ya [[Mtume (s.a.w.w)]] kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na [[kufunga udugu]] kati ya Muhajirina na Ansari. [27] Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. [28]
Baada ya [[Mtume (s.a.w.w)]] kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na [[kufunga udugu]] kati ya Muhajirina na Ansari.<ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 99, 1426 H.</ref> Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. <ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 101, 1426 H; Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 1, uk. 69, 1420 H.</ref>


Mtume alianzisha udugu baina ya [[Abu Bakr]] na [[Khārija bin Zayd]], [[Omar bin al-Khattab]] na [[ʿItbān bin Mālik]], [[Uthman bin Affan]] na [[Aws bin Thabit al-Khazraji]], [[Abu Ubayda al-Jarrah]] na [[Sa'd bin Mu'adh]], [[Abd al-Rahman bin 'Awf]] na [[Sa'd b. Rabī']], [[Talha bin Ubaydulla]] na [[Kaʿb bin Malik]], [[Zubayr bin Awam]] na [[Salamah bin Salam]], [[Salman al-Farsi]] na [[Abu Darda’]], na [[Ammar bin Yasir]] na [[Hudhayfa bin Najjar]] au [[Thabit bin Qays]] kwa mujibu wa nukuu nyingine. [29] Aidha, Mtume kwa upande wake alifunga mkataba wa udugu na [[Ali bin Abi twalib (a.s)]]. [30]
Mtume alianzisha udugu baina ya [[Abu Bakr]] na [[Khārija bin Zayd]], [[Omar bin al-Khattab]] na [[ʿItbān bin Mālik]], [[Uthman bin Affan]] na [[Aws bin Thabit al-Khazraji]], [[Abu Ubayda al-Jarrah]] na [[Sa'd bin Mu'adh]], [[Abd al-Rahman bin 'Awf]] na [[Sa'd b. Rabī']], [[Talha bin Ubaydulla]] na [[Kaʿb bin Malik]], [[Zubayr bin Awam]] na [[Salamah bin Salam]], [[Salman al-Farsi]] na [[Abu Darda’]], na [[Ammar bin Yasir]] na [[Hudhayfa bin Najjar]] au [[Thabit bin Qays]] kwa mujibu wa nukuu nyingine.<ref>Diyar Bakri, Tarikh al-Khamis, juz. 1, uk. 353.</ref> Aidha, Mtume kwa upande wake alifunga mkataba wa udugu na [[Ali bin Abi twalib (a.s)]].<ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 103, 1426 H.</ref>


Ansari walikuwa wakitoa himaya na msaada wa kimaada kwa Muhajirina walioacha mali zao huko [[Makka]], hadi katika [[mwaka wa nne Hijria]] ambapo, Mtume (s.a.w.w) aligawanya [[ngawira]] zilizopatikana katika [[vita na Bani Nadhir]] miongoni mwa Muhajirina kwa makubaliano ya Ansari na hivyo himaya na msaada wa kimaada wa Muhajirina ukafikia tamati. [31]
Ansari walikuwa wakitoa himaya na msaada wa kimaada kwa Muhajirina walioacha mali zao huko [[Makka]], hadi katika [[mwaka wa nne Hijria]] ambapo, Mtume (s.a.w.w) aligawanya [[ngawira]] zilizopatikana katika [[vita na Bani Nadhir]] miongoni mwa Muhajirina kwa makubaliano ya Ansari na hivyo himaya na msaada wa kimaada wa Muhajirina ukafikia tamati.<ref> Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 1, uk. 191-192, 1420 H.</ref>


== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari ==
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari ==
confirmed
343

edits